Kila nikiweka kibubu cha kununua gari kinaporomoka

Sijawai kumiliki gari, nataman sana kumiliki ila kila nikijitahidi sifikii lengo,
Nataka ninunue hata used ya 10M,
Niliweka kibubu kikafika 2.5M ila ni mwezi wa nne huu kimebakia 1.2M.

Nifanyeje na mimi nimiliki gari? Sitaki kukopa

Wapo wauzaji magari wanaoruhusu mkataba wa kulipa kwa kudunduliza, kiasi mlichopatana kikifikia unapewa gari lako...
 
Sijawai kumiliki gari, nataman sana kumiliki ila kila nikijitahidi sifikii lengo,
Nataka ninunue hata used ya 10M,
Niliweka kibubu kikafika 2.5M ila ni mwezi wa nne huu kimebakia 1.2M.

Nifanyeje na mimi nimiliki gari? Sitaki kukopa
Mkuu nakushauri utemane na wazo la kumiliki Gari kwa sasa hivi. Hata ukifikisha iyo m10 ukanunua bado itakuwia vigumu kwako kwenye uendeshaji.

Jipange kwanza vizuri. Ila ushauri wangu siyo lazima uufwate huko huru kuamua upendavyo.
 
Back
Top Bottom