Faida na hasara za kutumia gesi kwenye gari lilitongenezwa kutumia petrol

Mwamba1961

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
610
400
Habari wataalam,

Naomba nijue faida na hasara kwa wale waliotumia gesi kama petrol / diesel kwenye magari au bajaji.

natanguliza shukrani zenu kwangu.

Karibuni wataalam.

1707745553922.jpeg
 
Hasara ni zile nosil za magari zinaharibika. Sababu zilikua designed kupitisha mafuta sasa ukipitisha gesi utakua unazibadili kila siku zinaharibika.

Hizo ndo kesi nyingi tunazoziona huku kwenye magereji yetu sikuizi.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Asante mzee baba Odense ila faida yake uliona kulinganisha na matumizi ya petrol / Diesel ?
 
Back
Top Bottom