Hii mashine ni nzuri sana na sifa ya kipekee kuhusu hii mashine ni kwamba inakuwa reference table upande wa nyuma hivyo kumuwezesha mtu yoyote hata ambaye ni layman kuweza kupima battery yoyote na kujua kama ni nzima.
Ina uwezo wa kuanalyse na yenyewe ikakuambia state of health ya hiyo...
Katika anga ya kisiasa na kijamii, kulinganisha nchi na gari kunatoa mtazamo mzuri wa kuelewa uhusiano wa watu na utawala. Tufikirie Tanzania kama gari kubwa linaloelekea kwenye safari ya maendeleo. Kama gari lenyewe, viongozi wetu wanaweza kulinganishwa na dereva, mawaziri na maafisa wa...
Wakuu poleni na majukumu, Kuna ajali ya gari ndogo nasikia imetokea maeneo ya Iringa, mwenye taarifa kamili atujuze.
Dah, nimepata taarifa juu juu, Kuna ndugu yangu amesafiri, simpati kwenye simu
Leo tena Tanzania imeshuhudia kupanda kwa bei za mafuta ya petroli, dizeli na kerozini. Haya ni maumizi kwa wananchi na serikali haina namna ya kufanya kuleta aueni kwa wananchi. Bei ya mafuta kote duniani haijatulia kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine.
Swali la kujiuliza ikiwa mishe zako...
Naomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa.
Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na jina la meli itafika tarehe ngapi nikawa naitrack fresh kabisa.
Nikaambiwa wanaandaa documents...
Engine ni 5VZ Ilichanganya oil na maji nipo hapa kwaajili ya marekebisho ya gari. Mimi ni fundi Nipo bunju b dar es Salaam karibu kwa marekebisho ya Gari yako. Pia nafukia popote ulipo
0788887129
0755539092
Niwaombe tu Wamiliki wa hizo Gari kisirisiri Kuzifunga Camera ili wawe Wanajionea Video X za bure pale wakitaka kutoka kwa Madereva Wao waliowakabidhi hizo Gari ili wabebe Watoto wenu.
Madereva ambao GENTAMYCINE nawazungumzia hapa ni wale ambao Asubuhi hubeba Wanafunzi kutoka Majumbani kwa...
Habari wakuu.
Kumekua na ongezeko la watumiaji wa system ya gas kwenye magari nchini... hofu yangu ni hamna elimu yoyote inayotolewa kuhusu matumizi ya nishati hiyo japo kua ni nishati cheap sana ukilinganisha na mafuta. Je, nishati hii haiwezi kua hatari kwa usalama wa chombo au hata uhai?
Mchezaji wa simba che malone alisababisha ajali na kumua dereva wa bodaboda katika ajali iliyotokea mikocheni juzi.
Havari zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema mchezaji huyo alikuwa akitokea masaki kula bata kwenye pati
Aidha imebainika kwamba si kweli kwamba mchezaji huyo alitoka...
Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dr Shoo amekabidhiwa gari mpya Toyota Landcruiser ya Mwaka 2023 mpya kabisa 0 km iliyonunuliwa kiwandani
Ahadi ya kumnunulia Zawadi ya gari ilitolewa kwenye misa ya shukrani ya Mchungaji Dkt. Kimaro ambapo Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa Dini, Viongozi wa Siasa na...
Ninasikitika sana!
Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau?
Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana.
Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani...
Hata kama gari ina CC 500, bado wapewe heko wenye nayo, huu mwezi wa tisa umekua na jua kali balaa, na linanipiga vilivyo, ifike hatua sasa nitafute hata ya mil 3.5 kwakweli, jua litaniua
Katika kuhakikisha elimu inawafikia watu wengi zaidi kuhusu Ugonjwa wa Saratani, Taasisi ya Ocean Road imeanza Kampeni ya kutembelea Hospitali za Rufaa za Mikoa ili kushirikiana na Wataalam mbalimbali.
Dkt. Maguha Stephano ambaye ni Meneja wa Huduma za Kinga anazungumzia kuhusu huduma hiyo...
1. Matatizo ya Mazida Verisa.
2.Naomba kujua Kama inaweza kuinuliwa Juu maana kako Chini Sana
3.Naiataji kujua ubora wa Mazida Verisa au Vtz ipi nzuri zaidi kwa Ubora wa uimara wake.
Ingawa yote ni magari ya kazi, nahisi kuna linalomudu zaidi mazingira ya "kipori pori" kuzidi "jenzake".
Muda mrefu litakuwa likitumika Kanda ya Ziwa na mara chache Nyanda za Juu Kusini, hasa Rukwa na Katavi.
SIFA ZA GARI LINALOHITAJIKA:
1. Double Cabin Pick Up
2. Limudu safari ndefu za mara...
Salam wadau
Ni takribani wiki mbili sasa nimeshindwa ku-clear invoice ya kununua gari kutoka Japan kutokana na ukosefu wa Dola sokoni. Nimewekwa kwenye lisit ya kusubilia, hila kila nikienda bank naambiwa kuwa bado.
Ili kutatua changamoto hii, nimepewa option mbili
1. Kufungua akaunti ya dola...
Wakuu, samaleko. 😎
Hizi "water marks/stains" kwenye vioo zinaathiri sana ung'aavu kamili wa kioo na kupunguza muonekano mzuri.
Ni jinsi gani ya kuziondoa? Ni ngumu mno kuzitoa, ni sugu!!!
-Kaveli-
Kwa masikitiko napenda kutoa taarifa kuwa gari inayoonekana pichani imeibwa.
Aina ya gari: Nissan Gloria
No za usajili T887 CKW
Rangi: Nyeusi, iliibwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam.
Yeyote atakayeiona atoe taarifa kwa jeshi la polisi.
Ahsante kwa ushirikiano.
Wako
Mmiliki, Bemendazole
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.