Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
355
549
Nilikuwa na mwanamke ambaye nilikuwa nampenda mnoo, naye akasema ananipenda sana, Tukiwa chuo mimi nilikuwa nina kipindi 6 hadi 10 na yeye alikuwa anaingia saa 10 hadi saa 2 nikawa namsubiri atoke kisha namsindikiza kwao kwa daladala.

Siku moja akanambie we nenda tu nikasema sawa sasa kuna mshikaji wangu alinichelewesha muda natoka naona pisi yangu inaingia kwenye IST (Vigari visnichi) shwaaa, akaondoka, nikapotezea siku nyingine tupo kwenye daladala akapigiwa simu alipomaliza kuongea akanambia mi nashuka kituo cha mbele, nikwamuuliza amekuja kukufata tena? akanijibi ni rafiki tu.

Tukateremka wote, jamaa akaja nikamuuliza manzi yangu huyu ni nani yako akanijibu ni mpenzi wangu, dah! niliumia sanaa sikujibu kitu baada yake nikaondoka badaye akanitafuta akanambia alinitania tu, tukaendelea ila nilitamani siku ifike ajue kuwa IST sio kitu ya kudharau upendo wangu.

Mwenyezi Mungu sio Athumani, sasa hivi nina Magari matatu BMW M5, CROWN, na VANGUARD na huwa napita kumsalimia anapofanyia kazi kuonesha kuwa Wakati wa mungu ni sahihi zaidi. Sasa hivi nina Magari anapaparika mno, Ila mapenzi bhana

Tujifunze kuheshimu watu, Maana hatujui nani atakuja kuwa mlango wa Mafanikio Yetu
 
Nilikuwa na mwanamke ambaye nilikuwa nampenda mnoo, naye akasema ananipenda sana, Tukiwa chuo mimi nilikuwa nina kipindi 6 hadi 10 na yeye alikuwa anaingia saa 10 hadi saa 2 nikawa namsubiri atoke kisha namsindikiza kwao kwa daladala. Siku moja akanambie we nenda tu nikasema sawa sasa kuna mshikaji wangu alinichelewesha muda natoka naona pisi yangu inaingia kwenye IST (Vigari visnichi) shwaaa, akaondoka, nikapotezea siku nyingine tupo kwenye daladala akapigiwa simu alipomaliza kuongea akanambia mi nashuka kituo cha mbele, nikwamuuliza amekuja kukufata tena? akanijibi ni rafiki tu. tukateremka wote, jamaa akaja nikamuuliza manzi yangu huyu ni nani yako akanijibu nin mpenzi wangu, dah! niliumia sanaa sikujibu kitu baada yake nikaondoka badaye akanitafuta akanambia alinitania tu.

Tukaendelea ila nilitamani siku ifike ajue kuwa IST sio kitu ya kudharau upendo wangu, Mwenyezi Mungu sio Athumani, saivi nina Magari matatu BMW M5, CROWN, na VANGUARD na huwa napita kumsalimia anapofanyia kazi kuonesha kuwa Wakati wa mungu ni sahihi zaidi. Ila mapenzi bhana, saivi nina Magari anapaparika mnoo.

Ni wengi wamepitia hayo /ni wengi hata muda huu wanapitia haya..
 
Nadhani bado unampenda
 
Hapo Ndugu Yangu Atakusumbua Hadi Uchanganyikiwe.

Wanawake Huwa Wanaona Gari Ni Pesa Kumbe Gari Ni Kama Mke Wa Pili/Mchepuko Kuigharamia & Upendo Wetu Upo Huku Zaidi Ya Hata Ya Kwa Mwanamke.

Wanawake Wangekuwa Na Akili Wangewapenda Wasio Na Magari Maana Kule Wanapewa Hela Zaidi Kuliko Huku Wanagawana Na Vimeo Vya Kuigharamia Gari Na Ku-maintain.
 
Back
Top Bottom