Namalizia kuandika kataa ndoa linapita gari limebeba maharusi

Nafungua uzi huu, mara paap! Msafara wa magari unapita mbele yangu umebeba harusi/wanandoa wapya
 
namaliza kusoma hii comment ya mwisho mara paah magomeni hii hapa ndinga za maharusi zina pita
 
Namalizia kusoma comment ya juu yangu, nashangaa kusikia mume analia kwa sauti kuu uko chumba cha jirani huku akisema "Kumbe mtoto niliyemlea kwa miaka 7 sio wangu, aaaaaaaaaa aaaaaaaa aaaaaaa Mama Chole, umeniua mwenzio" kisha naskia "Pa!", kisha ukimya unataradadi, ngoja tujikusanye nitaleta uzi hivi punde nikipata taarifa kamili"

Ayo Updates
 
Back
Top Bottom