gari

  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kuagiza gari nje ya nchi ujipange (2024/25 FY)

    1. Wale wote wanataka kuagiza magari nje ya nchi mwaka ujao wa fedha wajipange maana Dr wa Uchumi (PhD) First class ameongeza tozo ya kuchangia ujenzi/maendeleo ya reli (1.5% mpaka 2.0% ya CIF) katika kodi utakazolipia. 2. Usiseme hukuambiwa, watu wanataka kununua majumba Dubai na kuongeza...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Putin na Kim Jong Un wakibishana nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari

    Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukipata Hela Nunua Gari Kali, Mafundi na Spea tutajua uko uko..

    Kama uchumi unaruhusu, nunua chuma kali tu.. Mengine tutajua uko uko.. Na mafuta tujitahidi kuweka kutoka kwenye vituo vya mafuta vinavyoaminika.. Sema issue ndogo ndogo kama kuosha tujitahidi kupeleka car wash za uhakika ili kutunza rangi.. Na tusijenge hate, acha watu wapigaie picha chuma...
  4. KnucleBreaker

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupokea gari bandarini na kusajili kwa niaba ya mtu mwingine?

    Habari wakuu, Nipo nje ya nchi, nataka niagize gari kutoka japan, kisha nimtume rafiki yangu akanipokelee bandarini ikifika pia anisajilie kwa TIN number yangu. Tutatumia agent kufanya clearance ila malipo nitafanya mimi. Je, kwenye cosignee details wakati wa kununua kwenye website najaza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ndogo ya kukodi kwa ajili ya mizunguko Dar

    Natafuta gari ndogo ya kukodi kw ajili ya mizunguko ya hapa na pale mim sio mkaaj WA Tanzania nakuja tu likzo ya muda mchache. Kama kuna mtu anakodisha gari yake kwa siku 30 had 40 aje inbox. Please Gari nahitaji kuanzia ijumaa hii au Jumamosi.
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwanini gari za tesla ukifika makaburini zinaona kuna watu wakati hakuna watu?

    Ili jambo linazidi kufichwa sana ila litakuja kujitokeza kwenye magari ambayo kwa sasa ndio teknolojia inataka.mfano gari za tesla zimelalamikiwa sana kuwa zinaona watu ambao hawa onekani wakiwa wanapita,tambua mfumo wa gari za tesla una sensa kali. Mfumo wa tesla unaweza kuona magari na...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Huawei & Chery waja na Luxeed S9 gari itakayo compete na Tesla Model Y

    Wakuu. Tulioana juzi kati kwenye Malaysia Auto Show kampuni kutoka China Aion ambayo ni tawi la CAG wamezindua Aion Hyper HT SUV gari linalofanana na Tesla Model X. Wachina bwana: Wameiiga Tesla Model X kwa robo bei Sasa vita bado haijaisha. Kampuni la technology Huawei kwa kushirikiana na...
  8. Emperor of the South

    JamiiForums Tanzania Kurekebisha Redio ya gari Panasonic Strada

    Wakuu kwema? Nimekutana na changamoto kutumia redio iliyopo kwenye gari (ilikuja na gari) aina ya Panasonic Strada kwani hai-respond chochote na inaonekana inatakiwa kuwa na SD card ambayo kwasasa haipo. Je, kuna namna ya kuifanya redio hii ipige kazi fresh?? Ikiwa on inakua na muonekano kama...
  9. ClearingAgent

    JamiiForums Tanzania Zijue gharama za kodi kabla hujaagiza gari

    Habari zenu wana JF tupo hapa kukumbushana mambo kadhaa kuhusu maswala ya uwagizwaji wa magari. Unapotaka kuagiza gari ni vema kujua gharama za kodi linapofika bandarini itakufanya ujipime mfuko wako na kujipanga vizuri kwenye swala la kifedha kuepusha kushindwa kulipa gharama za kulitoa gari...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya mkataba au hesabu

    Habari, Naitwa Device frabius ninamiaka 29,nakaa dar es Salaam Mikocheni natafuta gari Kati ya IST,RAUMU,SPACIAL AU WISH. Kwaajili ya kuwaendesha Waturuki kwa mkataba wa mwaka mzima. Namba yangu 0617146950
  11. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Nahitaji bass spika ya mziki wa gari 10 inch

    Wakuu mulibwanji..... Nahitaji bass spika ya mziki wa gari ambayo haina box iwe uchi. Iwe 4 ohms Iwe na double coil Na iwe na sehemu 2 za kuingizia sauti yaani hasi ziwe 2 na chanya ziwe 2. Iwe haijawahi ungua. Angalia hiyo kwenye picha mfano wake sasa iwe kama hiyo kama ipo nicheck 0756 412 380
  12. L

    JamiiForums Tanzania Lissu amejifunza nini kujitokeza kwa watu wachache sana kumchangia pesa za kununua gari la kifahari?

    Ndugu zangu Watanzania, Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo sababu za msingi. Lissu atakuwa amejifunza kuwa watanzania siyo wajinga na mbumbumbu kama...
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa Million 15 Kushuka chini, naweza kupata Gari kutoka Japan?

    Habari za mishe mishe wakuu. Kila mtu anatamani harufu ya gari kutoka Japan. Tatizo linaweza kuja kwenye budget. Sasa tu-assume tuna maximum budget ya Mil 15 tu, je tunaweza kupata gari kutoka JP? Magari ya Million 15 na kushuka chini 1. Honda Fit (2nd gen, 2007 -2012) Unaweza ukapata hii...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupo tayari kupokea Electrical Vehicles (EVs)?

    Wakuu habari. Bado Watanzania wengi tuna wasiwasi kuhusu "transformation" kutoka kwenye magari ya kutumia mafuta (ICE - Internal Combustion Engine) kwenda magari ya Hybrid (pamoja na Plug-in Hybrid) au kumaliza kabisa full Battery Electrical Vehicles (BEV). Nilikua napenda tujaribu kudiscuss...
  15. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Kwa budget ya 17m napata gari gani kutoka Japan

    Habari wana-JF kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ningependa kujua ni gari gani ya kuagiza kutoka Japan inaweza kupatikana kwa 17m baada ya kodi. Yaani mpaka inafika mkononi icheze kwenye 17 na ikizidi sana basi 18m. Ni gari kwa ajili ya familia na mizunguko ya hapa na pale tu mjini.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nauza gari mbili zote namba "E" XT Subaru na Ractis

    Habari wana JF.. gari hizo hapo juu zote ni namba E zinauzwa nipo dsm kwa maongezi mazuri nitafute namba 0744566124
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini

    Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao. Vile vile madereva wa hayo magari, kama Lewis Hamilton, Max Verstappen nk wakionesha ubabe nyuma ya steering. Ukichukulia poa, utasema vile...
  18. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari kali - BMW 320I 3 series linauzwa

    BMW 320I 3 series YEAR: 2014 Cc: 1,990 MILLEAGE: 64k COLOUR: BROWN PRICE: 36M plus free regstration Cream interior, sports and economy drive, 8 gears change,automatic and manual drive, angel eyes, fog lights, sports rims, back camera, rotating seats, dvd players car in super mint condition...
  19. X

    JamiiForums Tanzania CHINA: BYD waweka rekodi mpya wazindua gari linaloweza kwenda zaidi ya km 2000 bila kuongeza mafuta wala kuchaji na matumizi kidogo sana ya mafuta

    Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta. Kwa maneno rahisi kama chaji kwenye battery imeisha unatumia mafuta and vice versa. Model hiyo imepewa jina la BYD Qin L. Ukijaza...
  20. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

    Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima? Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
Back
Top Bottom