gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Pachu pachu ina maana gani?

    Ni maneno yanayo tamba Sana
  2. JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani gharama za maisha kupanda na mfumuko wa bei ulivyo guess taratibu zako za maisha?

    Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba. Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
  3. JamiiForums Tanzania National park ni kitu gani?

    Hivi tunavyosema national park tunamaanisha nini? Ni sahihi kusema ni Mbuga za wanyama au mbuga za taifa? Kwani national park lazima iwe mbuga? Lazima iwe na wanyama? Tafsiri sahihi ya national park ni nini?
  4. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chakula Tanga Jiji inalipa kiasi gani?

    Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaan restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula gani wanapenda na wapi bora kuanziasha naombeni ushauri wadau?
  5. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chakula Tanga Jiji inalipa kiasi Gani?

    Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaani restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula Gani wanapenda na wapi bora kuanzisha. Naombeni ushauri wadau?
  6. JamiiForums Tanzania TRA Mwanza kuna shida gani?

    Mnamo tarehe 4 June nililipia sh 70,000 kwa ajili ya driving licence, nikaambiwa nitatumiwa ujumbe mfupi wa maneno nikaifate. Hadi leo tarehe 30 June sijapata huo ujumbe katikati hapo nilienda kufatilia wakaniambia mashine ya kuprint imeharibika. Ina mana mpaka leo mashine imeharibika?au kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Wewe ni msomi halafu unavuta sigara, usomi wako una faida gani sasa?

    Mwenye biashara yake kakuambi kabisa hii bidhaa ni hatari kwa afya yako bado unanunua sa tunakutafsiri vipi wewe? Kwanini usomi wako usiutumie kufundisha wengine madhara ya sigara? https://news.un.org/sw/story/2020/01/1079881
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hii picha ina Maana Gani kwa Kinachoendelea Ngorongoro?

    Huyu Mtalii kavaa kimasai inaonekana anafurahia pia kuwa karibu na wamasai ,Nini maana Je wamasai ni sehemu ya utalii walipaswa kuachwa? Na kama wakiondoka je itapunduza watalii wanaokuja kwa Ajili kuwaona na kuvaa hizi Nguo?
  9. JamiiForums Tanzania Kuna shida gani CRDB salary advance

    Nimeingia kwenye simbanking app nikiangalia kwenye menu sioni icon ya salary advance,imetolewa au kuna marekebisho wamefanya...?
  10. JamiiForums Tanzania Ni Taarifa gani nzuri au kitu kizuri ulishawahi kuipata/kupata ukamshukuru Mungu/Mwenyezi Mungu?

    Hello wakuu, Habari ya weekend, hivi ni taarifa gani nzuri ulishawahi kupata ukaishia kumshukuru Muumba, Mimi nakumbuka kwenye matokeo ya std 7 st Kayumba, nilichaguliwa kidato cha kwanza kwenda boarding school, na mtaani kwetu ilikua ukifaulia mbali kidogo au boarding unaonekana noma,sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya nini?

    Mapenzi ya miaka hii ni full stress, unakuta umemtongoza binti amekukubali vizuri, ila kutoa mbususu hataki, ukimwambia nikuoe hataki, basi tuachane napo hataki sijui huwa wanataka nini?
  12. JamiiForums Tanzania Audio Tunatumia Shazam Kuutambua Wimbo, Vipi kwa Video Ambayo Huijui Unatumia App Gani?

    Heshima kwenu wakuu. Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia. Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...? NAWASILISHA.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kozi ya Social protection inayotolewa na IFM ilianzishwa kwa madhumuni gani?

    Hii kozi wahitimu wake wengi naona wanaishia kufanya kazi za sales kwenye makampuni ya kichina na kulipwa ujira kidogo sana. Hivi IFM waliianzisha kwa madhumuni gani haswa?
  14. J

    JamiiForums Tanzania CCM wanawacheza mchezo gani haswa? Maana hata iweje hawana nia na Katiba Mpya kabisa

    Wakuu jana CCM wametoa press na kusema kuna haja ya kufufua mchakato wa Katiba mpya Katiba mpya ambayo imekuwa kilio cha muda mrefu cha wapinzani na wataka mabadiliko nchini, inatarajiwa kukuza demokrasia, kuleta uwajibikaji, ugatuaji wa madaraka na ufanisi wa kuendesha serikali Sasa CCM ambao...
  15. JamiiForums Tanzania Maswali gani huulizwa Utumishi kwa kada ya Auditor II?

    Kwa wale tulioomba kazi za Auditor II huko utumishi waajiri wakiwa Ministries, departments local government na CAG. Tunaomba wale waliowahi kufanya written and oral interviews za kada za auditor ii huko utumishi mtupe uzoefu wenu wa maswali mliyowahi kuulizwa ili nasi tuzidi kujinoa ipasavyo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hayati Mobutu wa Zaire alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi?

    Kwa wale wahenga na wajuvi wa hizi mambo huyu mwamba aliyeitawala Zaire kwa mkono wa chuma alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi? Nakumbuka huyu mwamba zilikuwa haziivi kabisa na mzee Nyerere pamoja na mzee Museven sasa aliwezaje kupitishia siraha zake hapo bandari ya Dar
  17. JamiiForums Tanzania Wazoefu wa Instagram na Facebook. Ni bidhaa gani zinauzika kwa haraka kwa anaefanya kama winga?

    Naomba mawazo yenu mnaotumia Instagram na Facebook kuuza bidhaa. Kwa winga anaechukua vitu kariakoo ni bidhaa gani rahisi kuuzika ukiweka insta na FB alafu ukaipromote? Tusaidiane uzoefu, keki ni kubwa kila mtu walau apate kipande.
  18. JamiiForums Tanzania Je, huu ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?

    Habari ndugu zangu. Natumaini mu-wazima. Naomba msaada kwa atakayekuwa na utaalam au ushauri juu ya hili gonjwa. Inaanza kuuma kwenye visigino na nyayo, usaha unakusanyana na baadaye inakuwa kama kidonda. Kinapona baada ya muda kinarudi.
  19. JamiiForums Tanzania Ni Style gani bila kuifanya wakati wa tendo unahisi halijakamilika?

    Habari za Jioni wadau, JF never bored. Nimekaa nipo upweke upweke baada ya kutoka job nikaona niingiee humu nishee swali la kipuuzii lakini linamhusu kila mmoja wetu humu 18+ Kwa maana ya tendo la kujamiiana nalo lina nafasi kubwa katika maisha sababu kila mtu anaishi kwa hisia na hakuna kati...
  20. JamiiForums Tanzania Mishahara ya Ngorongoro Conservation Area huwa ni kiasi gani?

    Habari wakuu. Tafadhali naomba msaada kujua mishahara ya ngorongoro conservation area? Naomba kujua hasa NCAA 3, NCAA 4 na NCAA 5. Na je hili jeshi usu huwa inachukua muda gani kuhitimu. Asanteni sana🙏🏾
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…