financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,127
- 40,685
Hello wakuu,
Habari ya weekend, hivi ni taarifa gani nzuri ulishawahi kupata ukaishia kumshukuru Muumba, Mimi nakumbuka kwenye matokeo ya std 7 st Kayumba, nilichaguliwa kidato cha kwanza kwenda boarding school, na mtaani kwetu ilikua ukifaulia mbali kidogo au boarding unaonekana noma,sasa nakumbuka darasani kwetu niliwawakilisha kwenda hako kaboarding school, sijui hata ilikuaje maana sikua kipanga hivo ukilinganisha na wengine🙏 nauli from home to hiyo shule ilikua TZS 500 tu kwa daladala au unaweza kutembea kwa miguu tu😂😂 ila furaha yake si mchezo.
Baada ya kumaliza chuo, msoto kidogo mtaani(broke), huku nikipambana na interviews na kusambaza CVs, interviews zingine nyingi tu nilikua nafeli🤭 nakumbuka siku niliyopigiwa simu kwamba, umepata kazi uje kucheki mkataba, Aisee nilijiskia vizuri mno.
Ni mengi mazuri Muumba ametutendea, ila karibu ushare na sisi lolote utakalojisikia.
Happy week ending wote.