gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Kaka mwisho

    JamiiForums Tanzania Kituo gani kizuri kwa Dar es salaa kinafundisha A-level(form 5&6) kwa mwaka mmoja.

    Wadau wa Elimu kwa Dar es salaam kituo kipi kinafundisha vizuri masomo ya A-level (form 5&6) kwa mwaka mmoja.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

    Nakumbuka huyu mzee mke wake alisafiri baada ya kupata msiba Mbeya sasa, hii nyumba yake ina vyumba vinne vya ndani na vina wapangaji, sasa kuna mpangaji mmoja wa kike anaishi singo, basi bhana mimi ninapolala napakana na chumba chake na mkewe, na havina ceiling board, basi nikasikia mlango simu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hizi kozi zilizotajwa kutumika kama equivalent entry qualification kwenye TCU guidebook ya mwaka 2019 kurudi nyuma ni kozi gani hizo?

    Salaam..... Naomba kujua kozi zilizotajwa kwa jina la BSc (lower second) majoring in Physics/Mathematics, Chemistry, Biology /Zoology. kwenye TCU guidebook ya mwaka 2019 kurudi nyuma kuwa ziliweza kutumika kama equivalent qualification kusoma degree yeyote ya afya yaani medicine, pharmacy nk...
  4. kyagata

    JamiiForums Tanzania Mwenye matokeo haya anaweza kupata MD chuo gani?

    Jamani nina kamjomba kangu kamepata division 1.9 ya PCB. Yani Physics C, Chemistry C, Biology C, BAM D na GS C.ndoto zake ni kuwa daktari wa binadamu. So nimejaribu kupitia matokeo yao ya mwaka huu naona PCB wamefaulu sana hivyo naona ushindani utakua mkubwa hasa kwenye chuo kama muhimbili. So...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kituko gani alikufanyia mtoto wa mwenyeji wako ulipokuwa ugenini huwezi kukisahau hadi leo hii?

    Mimi nakumbuka siku moja nikiwa ugenini, huyu mtoto wa mwenyeji wangu aliing'ang'ania radio yangu na mwenyeji wangu akaniambia tumsubirie asinzie watamnyang'anya nakumbuka walinipatia radio yangu saa nne usiku toka saa 12 jioni Niliwamindi familia yote ila basi tu hawakujua Weka na wewe cha...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ni vitu Gani huvipendi katika Movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili?

    Habari ,Binafsi sio mpenzi za sana wa hizi movie zilizo tafsiriwa ila kuna kitu kimoja nlikiona siku moja nlipoangalia movie moja ya lugha ya kiingereza ni kwamba Tafsiri haiendani na kinachongelwa nilikereka sana . We je vitu gani huvipendi ? Ingawa kuna Madj wako poa
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mpira: Ni utaratibu upi wa kupata sifa ya kuajiriwa kuwa refa ama mshika kibendera, Maslahi ya kazi yapoje, vitu gani vya ziada vizingatiwe?

    Habari ndugu zangu wa humu hjamiiforums, nina ndugu yangu wa kiume kamaliza degree ana ameingia miaka 23 mwezi huu, Kwa sasa yeye anachotaka ni kuwa refa ila hana a,b,c,d za kazi zikoje. Ningependa mnijuze haya.. - Ni sifa zipi zinatakiwa awe na sifa za kuwa refa, - Ataanzia wapi na atatumia...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nimeota hivi ndoto hii ina maana gani

    Nimeota nimevalishwa pete ya uchumba. Ila kama hainitoshi, inadondoka. Naitafuta naipata navaa tena. Nikijisahau inavulika inadondoka. Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina atanichukuliaje.
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya pete inamaana gani

    Nimeota nimevalishwa pete ya uchumba. Ila kama hainitoshi, inadondoka. Naitafuta naipata navaa tena. Nikijisahau inavulika inadondoka. Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina atanichukuliaje.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Wanaume gani watakubali kuingia na wanawake wao kwenye chumba cha kujifungulia?

    Nimemsikia raisi wetu SSH jana akiwa hospital ya CCBRT akisema kuna vyumba ambavyo vitatumika wakati wa mke akiwa kwenye kujifungua mume awe hapo akimtia moyo,akiona shughuli wanawake wanapitia😀😀 ili wapange uzazi,atoe mahitaji na vinavyofanana na hivyo. Mimi sipingi ni jambo zuri lakini tuwe...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa vikokotoo, Bilioni 100 imepunguza Ukali wa Bei ya Mafuta kwa kiasi Gani? Kuna Haja ya kuendelea na hii Ruzuku?

    Habari JF, Bei mpya zimetangazwa kuanza kutumika Tar 6/7/2022, hivi hizi pesa tulikopo IFM na Benki ya Dunia bilioni 100 za ruzuku zimepunguza ukali wa bei ya Mafuta kwa kiasi Gani? Ukiringanisha na kabla ya bilioni 100. Je, kuna Haja ya kuendelea kukopa?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtu gani umepotezana nae na unatamani hata sasa umuone tu hata mara moja?

    Ni mschana fulani hivi nilitokea kumpenda na yeye alitaka nimuoe ila mimi nilikuwa bado sina hata kitanda lakini mwisho wa siku alinipigia simu akiniomba ruhusa nimruhusu aolewe nilimkubalia ila sijajua kama kashaolewa tayari au la ila mimi nimeshaoa tayari
  13. T

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud wa ACT Wazalendo amfagilia Hayati Magufuli. Hii ina maana gani?

    Akihojiwa na mwandishi wa BBC kuhusu mchakato wa katiba mpya, mtaalamu huyo wa Sheria ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, kupitia ACT Wazalendo amesema kwenye utawala uliopita wa awamu ya 5 chini ya Magufuli tumejifunza kwamba kumbe tukipata mtu jasiri tunaweza kupiga hatua. Na...
  14. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi waafrika ni binadamu kamili au bado tuko katika transition stage?

    Hivi sisi ni binadamu kamili kweli au bado tuko katika transition stage? Huko Uganda binadamu wanakulana wenyewe kwa wenyewe kama wanyama pori. Sikiliza clip hiyo hapo nimeiambatanisha.
  15. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya unene na mtu aliyefanikiwa kimaisha?

    Kuna hii hali mara nyingi naiona kwa watu aidha hata wewe unaweza kuwa umekutana nayo unakuta mtu alikuwa mwembamba labda akaanza kunenepa basi watu hutokea sana kumsifia kuwa mambo yake yamekuwa mazuri. Je, unene ni kipimo cha maendeleo yako kimaisha?
  16. Cheology

    JamiiForums Tanzania Pachu pachu ina maana gani?

    Ni maneno yanayo tamba Sana
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani gharama za maisha kupanda na mfumuko wa bei ulivyo guess taratibu zako za maisha?

    Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba. Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania National park ni kitu gani?

    Hivi tunavyosema national park tunamaanisha nini? Ni sahihi kusema ni Mbuga za wanyama au mbuga za taifa? Kwani national park lazima iwe mbuga? Lazima iwe na wanyama? Tafsiri sahihi ya national park ni nini?
  19. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chakula Tanga Jiji inalipa kiasi gani?

    Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaan restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula gani wanapenda na wapi bora kuanziasha naombeni ushauri wadau?
  20. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chakula Tanga Jiji inalipa kiasi Gani?

    Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaani restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula Gani wanapenda na wapi bora kuanzisha. Naombeni ushauri wadau?
Back
Top Bottom