Audio Tunatumia Shazam Kuutambua Wimbo, Vipi kwa Video Ambayo Huijui Unatumia App Gani?

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,857
2,074
Heshima kwenu wakuu.

Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia.

Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...?

NAWASILISHA.
 
Mi nataka niwe natumia simu iyi iyo shazam kutambua wimbo uliopo eg instagam kwenye simu iyo iyo moja, nafanyaje?
Fungua shazam kisha tap and hold ile search button ya shazam kisha iache bila kuifunga (utaona imeandikwa "auto shazam on") kisha ingia popote pale penye muziki unaoupenda na muziki utakuwa determined automatically
 
Heshima kwenu wakuu.

Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia.

Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...?

NAWASILISHA.
Tengeneza hiyo app

Acha utelezi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom