Mapenzi ya nini?

Mapenzi ya miaka hii ni full stress , unakuta umemtongoza binti amekukubali vzuri, ila kutoa mbususu hataki, ukimwambia nikuoe hataki , basi tuachane napo hataki sijui huwa wanataka nn?
Wewe ndio hujielewi,

Hao mabinti wana akili pengine kukuzidi wewe.

1.Hawataki kutoa mbususu ovyoovyo.

2.Wanaelewa ndoa ni nini. Wewe hujui ndoa ni nin.
 
Mapenzi ya miaka hii ni full stress , unakuta umemtongoza binti amekukubali vzuri, ila kutoa mbususu hataki, ukimwambia nikuoe hataki , basi tuachane napo hataki sijui huwa wanataka nn?
Hapo nadhani we ndio haueleweki.... huyo mwanamke anaeleweka hataki kuachana maana yake ni yupo na wewe...ila we ndio hauweki gundi sasa kwenye hayo mapenzi
 
Back
Top Bottom