gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara. Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo? Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa. =========== SIMILAR CASES: =========== May 18, 2012: May 10, 2014: May 16, 2014...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nasikia vibuyu vinaliwa, ni kweli?

    Na ni fursa gani zingine za kichumi zinatokana na vibuyu? Wapi Tz vinalimwa sana?
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nitumie njia gani Kuongeza Uboho (bone marrow)?

    Habari wakuu, naomba kufahamu njia hususani vyakula, vinavyoweza kunisaidia kuongeza uboho. Mimi ni mdau sana wa mbuzi choma, story za vijiweni zinadai kuwa mbuzi choma ni chanzo cha upungufu wa uboho, ningependa kufahamu vyakula vya kuuongeza ili ni balance mambo. Asanteni.
  4. Edgar 8900

    JamiiForums Tanzania Nimesoma HGE nisome Degree gani?

    Nimesoma HGE kozi gani inanifaa pale SUA au ARDHI
  5. Nkuruvi

    JamiiForums Tanzania Toyota Probox hii ina shida gani?

    Wakuu, Toyota Probox hii ina kama mwaka mmoja toka niingize nchini toka Japan. Imekuwa ikifanya vizuri toka nimeinunua ila hivi karibuni, ilianza kupunguza nguvu, haiendi zaidi ya 80KM/HR barabarani na kwenye mlima haizidi 40km/hr. Mlio wa gari pia umebadilika sana na inakula sana mafuta sasa...
  6. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Ili uzi udumu muda mrefu humu kuna vigezo gani?

    Jana nimeweka uzi humu nikihoji kwanini ofisi nyingi za ujenzi kwenye wilaya au manispaa hazipo ktk mwonekano mzuri? Kuanzia majengo. Je serikali haioni?
  7. sumu-ya-panya

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani katika macho

    Habari Wana jamiiforums, Kidogo Nina tatizo kwa mtoto wa miaka 4, Kuna muda macho Yana mwasha ,yanakua mekundu , kama unavyoona kwa picha,naomba kufahani ni ugonjwa Gani au hali gani. Asante
  8. Edgar 8900

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa matokeo haya naweza kusoma kozi gani Chuo?

    Naomba nnisaidieni kozi pale SUA na ARDHI Nina Hist-D, Economy-D, na Geo-C ASANTE.
  9. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Wasomi: Hii ina maana gani!

    Nimeona nikasema niwashirikishe labda inaweza kuwa fursa..
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni hatua gani nifuate ili kuonana na Rais?

    Nina shauri langu la ardhi lakini naona linapindishwa waziwazi hakika sina pa kukimbilia sina wa kumlilia naona nitadhulumika waziwazi. Ni dhuluma za kipuuzi kabisa ardhi pameoza workers are not for customers or listening or do for normal clients. Naomba taratibu za kumuona Rais nimechoka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ofisi za wanaoshughulika na ajira portal zipo sehemu gani kwa Dar es Salaam?

    Nimekuwa na tatizo kidogo kuhusiana na mfumo wa ajira portal ie online application. Hapo wameweka namba za msaada kama ukihitaji kuwapigia. Lakini hizi namba huwa aidha hazipatikani kabisa au unaambiwa ziko busy! Sasa nimeamua kufuatilia ofisini na ndio maana naomba maelekezo kwa anayefahamu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni kifurushi gani cha UTT ni bora kwa June 2022

    Ndugu wadau, wengi wamekuwa wakinishauri niwekeze akiba yangu UTT lakini hawanipi taarifa muhumu hasa kwenye gawio linalopatikana kwa vifurushi mbalimbali vya UTT. Ndo najiuliza kwa sasa June 2022, ni mfuko gani wa UTT unalipa gawio vizuri kuliko mwingune ,je ni liquid au bond au umoja? Bado...
  13. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Umekula mlo gani Leo?

    Habari wana jukwaa. Tueleze tumekula mlo gani siku ya leo? Kwa mimi leo nilikarabati mwili kama ifuatatavyo: Asubuhi
  14. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Njombe mjini lodge gani nzuri ya kufikia

    Kwa wenyeji wa njombe ni Lodge gani nzuri naweza fikia pia na leta shukrani zangu kwa yule ndugu wa JF aliye nipa namba za watu wa ABC VIP class hakika ni usafiri mzuri 🙏🙏
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unaweza kutumia kiasi gani cha hela kumnunulia zawadi EX wako? Brad Pitt ametumia £60m

    Pamoja na zawadi ya £60m Brad pia ameinunua nyumba waliyoishi na Jeniffer wakiwa wanandoa na kumpa Jennifer kama zawadi. Nyumba hii iliuzwa kama sehemu ya makubaliano ya talaka. Brad aliongea na Jennifer baada ya ndoa yake na Angelina Jolie kuanza kusua sua na Jennifer alimueleza mapenzi yake...
  16. Poker

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya kumfahamu na kumjua mtu?

    Wataalamu wa lugha naombeni mnieleweshe. N.B kama hujui usicomment nisije nikakupiga bure!
  17. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Wavaaji huwa Wana maana gani?

    Kuna aina ya bangili huwa zinauzwa na wamasai za copper Mara nyingi huvaliwa na wanaume, je huwa Zina msaada gani mwilini au hasara gani kwa mvaaji?. Nawasilisha
  18. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani CRDB Bukoba?

    Wakuu. nipo huku mkoa wa BUKOBA hakika nimesikitika kupata taarifa kutoka kwa wajasiriamali wa hapa juu ya benki hiyo tawi la Bukoba kusitisha utoaji mikopo na kufunga matawi yake yote ndani ya mji. tawi la Zamzam limefungwa na yale yote yaliyoko pemmbezoni mwa mji. Wajasiriamali wanasema kuwa...
  19. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Ni game gani kwenye simu au PC ulicheza ka kufika the highest score?

    Weka screenshots za scores waje watu wakuchallenge. Namaanisha games za aina yoyote za kielekronic na zingine zikijumuisha PlayStaions. Mi jana nimekutana na haka kadude kaninusumbua mwenye aidia anipe. Kama umekacheza na unako tupigie picha kakiwa kamevurugika na baada ya kukapanga 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni gharama kiasi gani zitatumika kulipia server kwa website yenye watembeleaji sawa na jamii forum ?

    Ni fedha kiasi gani zitatumika kulipia server kwa site kama hii ya Jamii Forum Msaada tafadhali kwa mwenye uelewa na hizi mambo
Back
Top Bottom