gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Kiokotee

    Hivi siku Hizi Jinsia gani wana Aibu!!

    Hivi Siku Hizi bado kuna Jinsia au Rika lina Hulka ya kuwa na Aibu kweli au Ndio Ule Mshipa ushakosa kazi,Siku Hizi Mi binafsi mpaka Naogopa navyokodolewa huko kitaa!!
  2. Guselya Ngwandu

    Angalia Russia inategemewa kiasi gani na Dunia yote halafu ropoka kwamba Rais Samia napandisha bei ya vitu

    Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani. Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei? MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki. Ingekuwa hivyo...
  3. Mchokozi wa mambo

    Rais tunaomba usikilize vilio vya watanzania, mfumuko wa bei ni mkubwa mno

    Ni Tanzania pekee duniani mfanyabiashara anaweza kupanga bei aitakayo bila kujali chochote Serikali kupitia waziri wa viwanda na biashara angalieni mfumuko wa bei nchini hasa bidhaa za msingi ni mkubwa mno. Ukiuliza kila kitu unaambiwa ni sababu ya vita ya Ukraine na Urusi. Sio kweli...
  4. K

    Je,ni mtandao gani wa wa kijamii wazawa huko Rwanda ambao tunaweza kuuita JF ya Rwanda

    wakuu tumekuwa tukisikia sifa za wanyarwanda kuwa wako juu sana kwenye hizi issue za tech lakini cha kushangaza mbona hakuna mtandao hata mmoja wa kijamii uliotengenezwa na mnyarwanda ambao tunaweza kuulinganisha na hii JF ya Melo afadhali wakenya wao wana kenyatàlk nk ambao kiuhalisia ni...
  5. Equation x

    Ni muda gani, ambao ni sahihi, kwa mfiwa kuoa/kuolewa na mtu mwingine?

    Aliyefiwa na mke au mume; ni baada ya muda gani ndio anaruhusiwa kuoa/kuolewa? Maisha ya ndoa huwa ni matamu sana, hasa kwa wale wachache waliobahatisha kupata mtu sahihi. Inafikia kipindi, wanakuwa na mfanano fulani; unaweza kuwa wa sura, kuongea, au tabia. Inapotokea mmoja wapo anafariki...
  6. kindikinyer leborosier

    Ushauri nifanye biashara gani kwa mtaji wa Milioni 3?

    Asalaam wanajamii wenzangu! Mimi ni mhitimu wa chuo, nimehitimu miaka kadhaa iliyopita, kwa hali zetu kwa sasa ni ngumu kupata ajira, nimejipiga sana nikasave sh. Mil 3 kwenye harakati za mtaani! Nawaza kwa mtaji wangu huu nifanye biashara gani? nipo mwanza kaa utafutaji! asante!!
  7. T

    Mikoa gani na wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi Tanzania?

    Habari wakuu, natarajia kila moja wenu ako salama. Nimekuja kwenu nikitaka msaada kaa zile kichwa kinajieleza, ningetaka kujua ni mikoa au wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi au ina ardhi ambayo ngano inaweza kuzwa kwa wingi? Nitashukuru sana kwa msaada wa majibu huyu wapenda, natanguliza...
  8. M

    Una nyoa baada ya muda gani?

    Swali kwenu wabobezi na watafiti wa hili jukwaa. Huwa una shave shamba la kufugia nywele/kubebea meno (I mean kichwa cha juu) kila baada ya muda gani? Ni wiki, wiki 2, mwezi au mwaka? Binafs kwangu kunyoa naonaga karaha sana. Ukiona nimeenda saluni ujue masikio tayar yashafunikwa na nywele...
  9. M

    Ni njia gani sahihi unaweza kuitumia kuomba nafasi ya kujitolea ktk kampuni

    imagine kuna kampuni unaifahamu na hakuna mtu unayemfahamu pale lakini unataka kuomba nafasi angalau ya kujitolea ili upate angalau uzoefu hebu tupeane mbinu unaanzaje kufika na kujitambulisha, na ukifika haswa unatakiwa umuulizie nani ambaye atakusimamia mpka upate hiyo nafasi tuu maana...
  10. funaku

    Ni namna gani vita vya RUSSIA na UKRAINE vimeathiri utalii?

    Tumejionea athari za kiuchumi hususani kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Swali langu ni Je sekta ya utalii Tanzania imeathirika au inatarajiwa kuathirika vipi katika kipindi hiki? Ni kwa namna gani tunaweza kukabili mtikisiko huo?
  11. Sky Eclat

    2025 CCM watakuja na manifesto gani tutakayoiamini kama manifesto za miaka 60 hazijatekelezwa?

    Uchumi wa wananchi mmoja mmoja ni mgumu sana, vijana wanashinda vijiweni kwasababu hawana kazi. Wengi hujiingiza katika ulevi , kucheza kamari na kuvuta bange kutokana na kukosa kitu cha kufanya. Serikali imeweka tozo kila mahali, hawa hawa wasio na kipato maalum bado wanakamuliwa ili...
  12. Magazetini

    Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

    Leo ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi ambao pia utaenda kupitisha mabadiliko ya katiba ya CCM. Kwasasa anaongea katibu mstaafu wa CCM, Yusuph Makamba ambae anasema mchungaji Gwajima alimuuliza yeye kama mtabiri, anatabiri nini kwenye utawala wa mama Samia baada ya kutabiri ubatizo wa...
  13. FOX21

    Madini gani hutumika kutengeza vifaa hivi?

    Naomba twenda direct kwenye point. Ningependa kufahamu aina ya madini yanayo tunika katika vifaa vya electronic hasa saket za simu, tv,remote control, computers...nk. 👇👇👇
  14. A

    Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kina mchango gani katika kusaidia kupunguza ajali nchini?

    Nimeangalia hali ya usalama wa abiria katika vyombo usafiri wa umma kwa maana mabasi na wale ambao tunatumia vyombo binafsi na wadau wengine wanaotumia barabara nchini, ni kwamba kumekuwa na wimbi kubwa la ajali katika kipindi hiki kifupi cha Januari hadi March hii 2022. Ukiangalia vyanzo vya...
  15. OMOYOGWANE

    Ni wilaya gani ambayo unadhani baada ya miaka 15 itakuwa Manispaa?

    Hellow wakuu, Hili ni swali muhimu sana kwa watu wenye mipamgo mirefu, pia linanufaisha kiuchumi kwa mtu mjanja. Mfano mwaka 2007 wilaya ya KAHAMA ilikuwa ni wilaya ya kawaida sana maeneo mengi ya pembeni ilikuwa ni vichaka leo hii miaka 15 imepita hakuna tena vichaka ni majumba tu wajanja...
  16. Erythrocyte

    Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

    Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana...
  17. BAK

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Hili swali linawahusu wale ambao hawatumii majina yao ya kweli hapa ukumbini. Je, jina lako lina maana yoyote? Kuna sababu yoyote ile iliyokufanya uamue kutumia jina hilo!? Nilikuwa nimeamua kutosema lolote kuhusiana na hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu (kuwa bubu) pamoja na kwamba nilikuwa...
  18. Josephat Sanga

    Wataalamu wa macho huu ugonjwa gani?

    Wataalamu huu ni ugonjwa gani mhusika anasema ahisi maumivu yoyote.
  19. H

    Huu wimbo wa fally Ipupa "Eloko oyo" una maana gani?

    Mwenye kujua maana ya Huu wimbo aniambie naupenda Sana
  20. kavulata

    Tanganyika na Zanzibar zinatumia kikokotoo gani kugawana fedha?

    Tanganyika/Tanzania Bara na Zanzibar zina idadi tofauti la ukubwa wa eneo, idadi ya watu, mikoa, Wilaya, majimbo, bila shaka na kata, vijiji na vitongoji. Juzi nikasikia kuwa kwa zoezi la kuweka anuani za makazi Tanganyika imepewa sh. 1billion kila mkoa na Zanzibar sh. 500,000,000 (nusu bil.)...
Back
Top Bottom