gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Kifaru86

    Ivi ujauzito huanza kujitokeza au kuonekana baada ya muda Gani

    Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu
  2. Masokotz

    Unaweza kufanya Uwekezaji gani kwa Milioni 50-500 na wenye faida ya kueleweka?

    Mkuu, Kuna watu/mtu ambaye wanaohitaji kufanya uwekezaji serious? Je unaweza kufanya nini ukiwa na access ya Kiasi cha Milioni 50-500?Uwekezaji uwe endelevu,uzalishe ajira,uhifadhi mazingira uzalishe kwa soko la nje na la ndani. Kama una wazo zuri hapa ndo pahala pake
  3. The Dictator

    Wasanii wetu wa kiume wana agenda gani na mavazi yao siku hizi? Wanahamasisha 🏳️‍🌈? Mtazame Harmonize!!

    Huyu ni role model wa vijana wengi hapa nchini. Inasikitisha!
  4. sky soldier

    Tuliowahi kuibiwa vitu majumbani, kwenye gari, n.k -- ni kitu gani hukudhania wangeiba?

    Binafsi nakumbuka nikiwa chuoni Arusha, kuna siku nlikuwa nahamia geto flani. Basi tripu ya kwanza nilipeleka mapazia, meza na kitanda. Sasa wakati nimemaliza kufunga kitanda nimechoka hatari, nikanunua bia mbili, kwajili ya mimi na jamaa kanisaidia kufunga kitanda, tulipiga pafu moja tu...
  5. Riz king

    Hizi ajira za TAMISEMI zinatoka baada ya muda gani?

    Wajuzi wa mambo hii PDF inayosubiliwa na vijana wenzangu wa Kitanzania huchukua kipindi gani hadi kukamilika.
  6. B

    Wanasiasa wenye njaa wanapoendesha propaganda za kuwa ni maafisa vipenyo ni kudhalilisha kipenyo; wakubali njaa Haina siri

    Walionunuliwa Kwa vipande vya fedha Sasa hivi Kwa aibu wanajifanya maafisa vipenyo kwamba walikuwa upinzani Kwa KAZI maalumu; waache ushamba njaa ni njaa tu. Tulitumia nguvu kuwataja lakini Sasa hivi kadri wanavyokataliwa ndivyo wanavyojitokeza kuomba huruma ya uma, tukae kimya wajinyonge Kwa...
  7. Mia saba

    Nyakati gani ngumu uliwahi pitia ikakufanya ujute kuzaliwa? Share nasi

    Vijana tunaozaliwa wakwanza Huwa na Kama baba ukimwacha baba halisi. Nikaamua kwenda kuzisaka pesa kwa ajili ya kuwatunza wazee wangu na Mimi binafsi. Hapo ndipo nilipoona hela Ni ngumu mno kuishika. Nimefanya kazi ngumu ngumu za kuchosha sana mwili Ila ujira huna cha kuhifadhi ugonjwa...
  8. Kijakazi

    Katiba, Nchi gani Dunia hii iliyowahi kubadilisha kwa hiari?

    Sijawahi kusikia hata siku moja Katiba ikiombwa, Katiba hushinikizwa au kulazimishwa kama ukipenda na sababu ni moja wale wanaotaka Katiba mpya wana nia ya kuingia madarakani ambapo kwa Katiba iliyopo wanaona hawana chance, wale waliokuwa na power ambao ni wanufaika wa Katiba iliyopo hawawezi...
  9. R

    Hivi ni Demokrasia gani inayopiganiwa na vyama vya Upinzani? Sioni Chama cha kukipa Nchi

    CCM ni Chama ambacho kina misingi na utaratibu wa namna kinavyojiendesha ndio maana utaona viongozi wanaachiana madaraka kwa taratibu hizo. Utasikia mtu kapita kwa asilimia 100, bila kupingwa etc.. ni taaratibu zao na Wanachama wao wanazipenda. Huku kwetu upinzani Mtu akishaanzisha Chama au...
  10. Michael mbano

    Wazazi wa watoto waathirika wa ulawiti kufunika nyuso zao wakati wa mahojiano ina maana gani?

    Kuna Mwalimu wa day care amelawiti watoto sasa wazazi wa waathiriwa wakati wanahojiwa wamefunika sura, hii ina tafsiri gani wakati wakienda Mahakamani kama walalamikaji au mashahidi watakuwa wazi au wanamwogopa mlawiti? Pamoja na mawazo yenu nafikiri vema kujiamini ktk kulaani jambo hili.
  11. stevhinoz

    Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Kila mtu ana ndoto ya kuwa na mradi mkubwa wa biashara. Lakini lazima tukubali ili ufike sehemu lazima uanzie somewhere. Kwa wajasiriamali wengi huwa tunatamani ukipata mashine au kifaa fulani basi itakufungulia milango na kukusogeza sehemu kuzifikia ndogo zako. Mimi moja ya mashine...
  12. Kifaru86

    Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

    Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe . Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa...
  13. Linguistic

    Bingwa Wa msimu huu anapata kiasi Gani Kutoka Mdhamini mkuu Wa Ligi ya NBC?

    Wakuu Habari ya Jumapili. . Naomba Kujua kwamba ni Kiasi Gani Bingwa Wa Msimu Huu atakipata Kutoka Kwa Mdhamini Mkuu Wa Ligi. . Nimeamgalia Hivi orodha ya fedha atakayoipta Yanga kama Atakuwa Bingwa Wa Msimu Huu sioni fedha atakayoipta Kutoka NBC.
  14. Idugunde

    Ni mfarakano gani uliopo kati ya CHADEMA na Serikali mpaka Rais aitishe Maridhiano?

    Tunasikia tu maridhiano lakini hatuambiwi juu ya mfarakano uliopo? Huyu mwanasheria mkuu wa Serikali anahusika vipi?
  15. Kiokotee

    Nabii gani huyu wa Mchongo?

    Dah! Kumbe kuna Na Hili,Kama Huna Bora ubaki Home...Jesus where are U?
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    Huyu mwalimu wa Rais Samia alisomea combination gani?

    Bi Khadija alimfundisha Mh. Rais Hesabu na Kiingereza alipokuwa form two/three. Je, huyu Mwl Khadija alisomea combination gani mpaka akaja kufundisha Hesabu na Kiingereza?
  17. Michael mbano

    Baadhi ya makabila yanamila hii sijuwi inamaana gani.

    Baada ya mazishi hutangaza pale makaburini tanga ndg litakuwa kesho na siku hiyo watanyoa ndg,jamaa na marafiki.Swali langu kule kunyoa kuna maana gani?Wajuvi karibuni.
  18. Etwege

    Profesa Lipumba: Rais Samia atashinda kwa kishindo urais 2025

    Mwenyekiti wa chama cha wananchi Cuf Prof Lipumba alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara mkoani Tabora amemhakikishia Rais Samia kuwa uchaguzi mkuu ujao wa 2025 atashinda kwa kishindo na wapinzani wanaojaribu kumpinga wanapoteza muda tu wao kwani watanzania wanamwelewa mno kwa...
  19. K

    Hivi mkeo wa ndoa anapokublock kwenye simu anakua na maana gani?

    Kwema waheshimiwa? Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani? NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
  20. Simeone

    Nitumie App gani wakati wa kupiga picha?

    Wakuu nitumie App gani inayoweza kutoa background ya picha wakati wa kupiga picha?
Back
Top Bottom