SoC02 Je, nyuma ya uchi kuna siri gani?

Stories of Change - 2022 Competition

Ghalib01

Member
Aug 29, 2022
15
18
Nitauzungumzia UCHI kwa kuwa watu wanaoruhusiwa hapa ni kuanza miaka 18 basi hakuna tatizo. JE, NYUMA YA UCHI KUNA SIRI GANI!? Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kutoa Elimu hii, lakini kabla ya kwenda kwenye Mada husika, kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni MSINGI wa DUNIA ama MWANZO wa SAYARI, lakini pia Sayansi ya Uumbaji ina Kanuni zake, miongoni mwa Kanuni zake, Viunganishi vya maneno huwa hatuvifanyii Sayansi ya Uumbaji yaani hatuvifanyii hesabu, sasa tuijue Sayansi ya Uumbaji kupitia Sayansi ya Uumbaji, tazama.

Sayansi Uumbaji kinamba

S=19, A=1, Y=25, A=1, N=14, S=19, I=9, U=21, U=21, M=13, B=2, A=1, J=10, I=9.

Tuzijumlishe namba moja moja ndo formula ya Sayansi ya Uumbaji yaani 1+9+1+2+5+1+1+4+1+9+9+2+1+2+1+1+3+2+1+1+0+9= 66, hivyo SAYANSI ya UUMBAJI kupitia Sayansi ya Uumbaji ni namba 66 na MSINGI wa DUNIA ni hivyo hivyo, tazama.

Msingi Dunia kinamba

M=13, S=19, I=9, N=14, G=7, I=9, D=4, U=21, N=14, I=9, A=1

Tuzijumlishe namba moja moja ndo formula ya Sayansi ya Uumbaji yaani 1+3+1+9+9+1+4+7+9+4+2+1+1+4+9+1= 66, hivyo MSINGI wa DUNIA kupitia Sayansi ya Uumbaji ni namba 66 kama ilivyo SAYANSI ya UUMBAJI ni namba 66 kimaana SAYANSI ya UUMBAJI ni MSINGI wa DUNIA, lakini pia ni MWANZO wa SAYARI, tazama.

Mwanzo Sayari kinamba

M=13, W=23, A=1, N=14, Z=26, O=15, S=19, A=1, Y=25, A=1, R=18, I=9

Tuzijumlishe namba moja moja ndo formula ya Sayansi ya Uumbaji yaani 1+3+2+3+1+1+4+2+6+1+5+1+9+1+2+5+1+1+8+9= 66, hivyo MWANZO wa SAYARI kupitia Sayansi ya Uumbaji ni namba 66 kama ilivyo SAYANSI ya UUMBAJI ni namba 66 kimaana SAYANSI ya UUMBAJI ni MWANZO wa SAYARI pia, na imekuwa hivyo kwa kuwa Dunia ni SAYARI pia, hivyo SAYANSI ya UUMBAJI ni MSINGI wa DUNIA na pia ni MWANZO wa SAYARI. Hatujatumia Viunganishi vya maneno kwa sababu Kanuni ya Sayansi ya Uumbaji huwa hatuvifanyii hesabu Viunganishi vya maneno, na izo Nambari na Herufi zinatokana na mpangilio wa Namba na Alfabeti.

Baada ya kuijua Sayansi ya Uumbaji ni nini, sasa ni wakati wa kupata Elimu ya UFAHAMU ambayo mada yake ni JE NYUMA YA UCHI KUNA SIRI GANI? pia kwanza tujue Elimu ni nini!? Elimu ina maana nyingi tu kulingana na mazingira husika ila kwa hapa maana hii inatosha, Elimu ni ujuzi wa utambuzi wa jambo ama kuwa na maarifa juu ya jambo na maarifa hayo yakaleta matokeo chanya.

Kwa iyo kupitia Elimu hii ninatarajia matokeo chanya kwenye jamii, twende kwenye mada, JE NYUMA YA UCHI KUNA SIRI GANI!? mbona MAUAJI kila kukicha? hemu turejee kwenye MAUAJI ambayo chanzo chake ni UCHI.

*MWANAFUNZI FARAJA KASOLE ‘16’wa kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya SINDE JIJINI MBEYA, amemuua kwa kumkata na SHOKA SHINGONI MWANAFUNZI HUMPHREY NGOGO ‘17’ambaye anasoma Kitato cha tano Shule ya Sekondari LAUDA, amemkata na SHOKA baada ya kushindwa KUMBAKA.

*Mkoa wa DODOMA PETER MWAKWESILE kamuua MKE wake AISHA RAMADHANI MKAZI kwa KIPIGO cha FIMBO.

*Mkoa wa PWANI KHAMIS SAID AMEMUUA MKEWE na kumchoma moto mwili wake kwa NGUNIA mbili za MKAA.

*Mkoa wa MWANZA SWALHA ameuawa na MUMEWE kwa kupigwa RISASI Saba, baadae MUMEWE nae kujipiga RISASI.

Kuna Visa vingi vya Mauaji mfano wa hayo ambayo kila kukicha hujitokeza, na ukitizama basi chanzo KIKUU ni UCHI, sasa umefika muda wa kujiuliza, JE NYUMA YA UCHI KUNA SIRI GANI!? Sayansi ya Uumbaji ina jibu la swali ilo kimaana NYUMA YA UCHI KUNA KIFO yaani kuna Uhusiano baina ya UCHI na KIFO, Sayansi ya Uumbaji inathibitisha ilo tazama

Uchi kinamba

U=21, C=3, H=8, I=9

Tuzijumlishe namba moja moja ndo formula ya Sayansi ya Uumbaji yaani 2+1+3+8+9= 23, hivyo UCHI kupitia Sayansi ya Uumbaji ni namba 23 na KIFO ni hivyo hivyo, tazama

Kifo kinamba

K=11, I=9, F=6, O=15

Tuzijumlishe namba moja moja ndo formula ya Sayansi ya Uumbaji yaani 1+1+9+6+1+5= 23, hivyo KIFO kupitia Sayansi ya Uumbaji ni namba 23 kama ulivyo UCHI ni namba 23 kimaana kuna Uhusiano baina ya UCHI na KIFO.

Kutokana kuna Uhusiano baina ya UCHI na KIFO ndio maana FARAJA baada ya kushindwa kumbaka HUMPHREY alimkata na SHOKA SHINGONI.

Kutokana kuna Uhusiano baina ya UCHI na KIFO ndio maana KHAMIS alimchoma MKEWE na NGUNIA MBILI za MKAA.

Kutokana kuna Uhusiano baina ya UCHI na KIFO ndio maana PETER alimuua MKEWE kwa kipigo cha FIMBO.

Kutokana kuna Uhusiano baina ya UCHI na KIFO ndio maana SWALHA aliuawa na MUMEWE kwa kupigwa na RISASI saba, MAUAJI yote hayo ni WIFU wa MAPENZI na unapozugumzia WIVU wa MAPENZI unauzungumzia UCHI moja kwa moja.

Hivyo JAMII ni muda wa kujua kwamba kuna UHUSIANO baina ya UCHI na KIFO, kutokana na UHUSIANO huo JAMII izingatie KANUNI hizi ili kujaribu kukikwepa KIFO kinachotokana na UCHI.

*USILE CHA MTU KAMA HUTAKI KULIWA.

*UWAZI NI MUHIMU SANA KWENYE MAHUSIANO.

*KUWA MKWELI ENDAPO HURIDHISHWI AMA UMEMCHOKA.

Natarajia kupitia Elimu hii inaweza kuleta MABADILIKO endapo JAMII ikiishi katika KANUNI izo.
 
Hiyo mada yako iko hivi,kuna uhusiano mkubwa wa dhambi na kifo lakini hiyo yako bado hainiingi aklini...
 
Hii inakusaidia au kutusaidia sisi nini? Jifunzeni maarifa yenye faida badala ya uchawi na ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom