Naombeni msaada, nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani? Nipo Kinondoni - Dar es Salaam

ABDUL FUNGA

New Member
Sep 3, 2022
4
2
Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali.

Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa laki 5 ndugu zangu nifanye biashara gani?
 
Mkuu ingia k.koo nunua ile mikanda wanayouzaga 3000 ..kwa jumla inauzwa buku buku ...wala huhitaji kutumia hela yote hiyo anza hata na 200k tuu
So unanunua kwa jumla 1000 ..unauza 3000 hapo ukiweza kuwa na ushawishi utapiga sana hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali.

Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa laki 5 ndugu zangu nifanye biashara gani?
Unajua udereva hata wa bodaboda
 
Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali.

Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa laki 5 ndugu zangu nifanye biashara gani?
Iyo ni hela nyingi sana na ni hela ndogo sana ebu tembea tembea mtaani huwezi kukosa idea usiweke hela yote anza na biashara ya mtaji wa laki ili upate uzoefu wa biashara.
 
Back
Top Bottom