gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. FourTwoNet

    JamiiForums Tanzania Ni mikoa gani pisi kali za kichotara zinapatikana

    Wakuu, wasalaaam, Ni mikoa gani pisi kali haswa za kichotara chotara ivi zinazojielewa zinapatikana? Naskia Tanga kuna za kiarabu kali kali. Mnaonaje wadau? Hivi ni kweli? Na kama kuna anayejua mikoa mingine, itakuwa poa sana kutiririka humu wakuu. Kwa hayo machache,nawaomba na hili...
  2. cold water

    JamiiForums Tanzania Huwa unachukua hatua gani kuhusu hili

    ...
  3. Fund man

    JamiiForums Tanzania Hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(mke wa pili)?

    Habarini wana JF. Naomba msaada je, ni hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(kuoa mke wa pili)? Hapa nazungumzia wale wasio waislam. Karibuni.
  4. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Smart kitochi cha kampuni gani ni rahisi kutoa lock na kuweka laini nyingine ya kampuni tofauti?

    Wadau naomba kufahamishwa kuhusu smart kitochi ya kampuni gani ambayo nikiinunua itakuwa rahisi kutoa lock na kuweza kuweka laini ya mtandao mwingine wowote tofauti.
  5. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Sensa ilipoanza niliulizwa nyumba ina choo cha kuvuta au cha shimo, leo wamekuja kuona kama nyumba ipo na ni ya aina gani?!

    Sensa ilipoanza nilisema walioandaa sensa hawajawahi kushiriki sensa, hii ilitokana na aina ya maswali yakiwemo ya uchuro, yaani umewahi kufiwa humu ndani. Leo nimeulizwa namba ya mita ya umeme, nategemea watarudi tena kuuliza namba ya mita ya maji. Kingine ni je, unategemea kuifanyia...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani serikali ifanye ili iweze kuboresha sekta ya elimu na ajira?

    1. Kubadilisha mfumo mzima wa elimu, kutoka elimu ya mitihani hadi uelewa? 2. Je, ni kutengeneza sera ambazo zitawalinda na kuwasaidia wafanya biashara wadogo? 3. Au kutoa mafunzo zaidi kuhusu biashara na ujasiriamali?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kunusurika kifo? Nini kilikuwa chanzo na njia gani ulitumia kujinisuru?

    Habari Watanzania! Leo nina stori ya kweli ambayo imetokea katika maisha nikiwa mkubwa hivi. Basi bwaana baada ya kumaliza masomo nilianza vijikazi vya hapa na pale kuendesha maisha yangu. Nilipigana kama miezi 5 bila mafanikio. Niliamua kwenda mwambao wa ziwa Victoria kuangalia fursa zingine...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Unaposikia ama kuona neno TOZO kwa mara ya kwanza akilini mwako anakujia mtu gani?

    Me Binafsi nikisikia ama kuona neno TOZO akilini mwangu mtu wa kwanza anaenijia ni Mwigulu sjui kwako ww mdau
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane, roho inayoishi ndani ya mioyo yetu. Ni faida gani umepata?

    Sio wote hatujui chochote kumhusu mjenzi huyo wa kizazi kipya cha wanasiasa chipukizi hapa Tanzania. Yupo anaejua alipo. Anayejua alipo yupo miongoni mwetu, na kila tunachozungumza kumhusu mwendazake huyu anakiona, yupo! Yupo anasonya kwa kuwa tu tumenyimwa uwezo wa kumjua ila yupo. Huenda...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kusajili Hiace, Coaster au basi LATRA

    Salamu, Naomba kufahamishwa gharama/ada ya kusajili chombo cha usafiri kwa ajili ya kubeba abiria pale LATRA ni kiasi gani? Natanguliza shukrani.
  11. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya washika dini sana na roho mbaya/ubinafsi? Maana ni kama hivi vitu havitengani!

    Kichwa cha mada kimejitosheleza, yaani kwa utafiti hawa watu machoni petu huonekana wema na wenye msaada mkubwa sana kwetu. Ila ukianza kuwa karibu nae ndio utagundua ni watu hatari sana kwenye maisha. Kwako anaweza onekana mwema sababu kilichowakutanisha ni suala la dini tu. Ila kwa wale...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Tozo zimekuwa nyingi na hazionekani zinafanya kazi gani

  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni namna gani tutaipiku Uchina katika Science na teknolojia, na kuwa wawekezaji wakubwa na wauzaji wa teknolojia kote duniani

    UTANGULIZI Ndugu msomaji wa makalia hii, nilicho kiandika hapo juu, kuhusu jinsi nchi yangu pendwa, Tanzania inaweza kuipita Uchina katika technologia Miaka ijayo, kama Tuu tutaamua kuwekeza katika Elimu yetu kwa kiwango cha mapinduzi. Pia hili lilikua ni ndoto kwa Uchina miaka ya 60's kuipiku...
  14. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Ulipata funzo gani wakati wa COVID-19 Kama mwajiriwa?

    Katika lile tukio lililoshtua ulimwengu, katika tasnia ya ajira tuliona wengi kupunguzwa makazini. Binafsi nilijifunza kuchapa kazi mno Kuna tija mno maana kusimamishwa inamaanisha Kuna watu wanaweza fanya ata wewe usipokuwepo kuhusu saving hapo nilijifunza ni Jambo la msingi mno. Karibu...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni bidhaa za kuanzia kiasi gani zinastahili kutolewa risiti hapa Tanzania?

    Naomba kujuzwa suala hili? Sisi machinga tunaomba mfumo wa risiti kwa ajili yetu ili na si tushiriki katika kujenga uchumi na taifa letu, Endapo mmetuondolea mfumo wa vibali vya elfu ishirini basi huku ambapo tupo rasmi tunaomba tutengenezewe mfumo rasmi wa utoaji risiti kwani hili litaongeza...
  16. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Je Ni Uzi/Riwaya Gani Yenye Mafunzo?

    Tupo wengi humu, uzi upi unaofuatilia humu JF ulio na mafunzo ndani yake na wenye kuburudisha? Au ni riwaya gani unaifuatilia humu ni nzuri na yenye mafunzo na maadili mazuri? Karibu unijuze
  17. 1

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko makubwa katika Sayansi na Teknologia yanayofanyika katika nchi zenye uchumi imara yana maana gani kwetu? Ni ipi dira yetu?

    Nchi zenye uchumi mkubwa duniani kama Marekani na China zinapiga hatua kubwa katika Nyanja mbalimbali za teknologia wakati sisi Tanzania(Africa kwa ujumla ) tukiwa bado tuko nyuma. Mifano mizuri tumekuwa tukiona mapinduzi yanayozidi kufanywa katika utengenezaji wa magari, kampuni moja ya hukou...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Sera ya CCM ya kula na kila anayebwatuka na kusema udhaifu na ubadhirifu wake, umeonesha jinsi gani viongozi wetu wanavyopenda pesa na si kutetea

    Hii ni dhahiri kuwa, Kwa Africa na Tanzania, kuwapata viongozi wenye focus na maisha ya watu wao ilivvyo ngumu kupatikana. Sera ya CCM ya kuwalambisha Asali wote wenye vidomodomo na kiherehere, imetuomyesha jinsi watu hao malengo yao si kuwatetea wananchi, Bali kutafuta furusa za kwao na...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

    Wakuu, wale wanaopiga risasi angani wakati wa sherehe au kutisha watu. Je, risasi hizo zinaweza safiri umbali gani angani? Wakati wa kushuka zinaweza kumdhuru mtu, na risasi inayopigwa horizontally inaweza kusafiri umbali gani na kudhuru mtu?
  20. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Aliyetangaza Agosti 23 kuwa siku ya Mapumziko kwa ajili ya Sensa hakufikiria?

    Kwa mujibu wa Mama Anne Makinda, Zoezi litaendelea kwa Siku 7, yaani endapo hukufikiwa Leo, utafikiwa siku zijazo, sasa ni nini mantiki ya kupumzika leo? Tumeambiwa tupumzike ili tupate muda wa kuona picha za viongozi wakihesabiwa? Haya kesho inafika saa 11 tunaingia barabarani kupambana na...
Back
Top Bottom