Askari Polisi gani mwenye utu na Weredi kama ACP Theopista Mallya?
Shikamoo Afande
ACP Theopista Mallya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, naamini ni moja ya toleo bora la Askari Polisi tunaojivunia.
Aliwahi kuwa Msaidizi wa Mkuu wa Trafiki Tanzania Staff Officer Mnadhimu wa Polisi Makao Makuu...
Na baada ya Kuyaingiza Ili Wafukuaji Wabobezi wa Taarifa Ngumu, za Ndani na za Hatari akina GENTAMYCINE wasijue akaona Ili Kutuzuga na Kutuficha Watanzania ayawekee Nembo ( Chapa ) ya Kampuni kubwa inayoidhamini Klabu Moja ya Mpira isiyopendwa na GENTAMYCINE na iliyomsajili Mchezaji Mmoja Mwizi...
Kama nilivyoanza hapo juu kuuliza kuna kitu gani kinaendelea ndani ya bar za Dar es Salaam.
Mmimi sio mtu wa maji ila napenda kujichanganya na wana siku moja moja kutazama EPL na wana huku tukipata maji na kutoa lock si unajua bhana maji ya baba ni mazuri kwa afya ya kiumbe hai yoyote yule...
Morning wapendwa,
Hivi kwa mfano haujaanza maisha kutokana labda na kusoma upo nyumbani unasubiri matokeo yako ili uendelee kuangalia mikakati mingine ya kimaisha hapo nyumbani unaishi na ndugu na wadogo zako baada ya muda wadogo zako wanaanza kukudharau, mfano kuna dogo hapa home kaninunua...
Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umefanyika hivi karibuni mjini Beijing. Matokeo makubwa ya kisiasa na kiitikadi yaliyopatikana kwenye mkutano huo si kama tu yataekeleza maendeleo ya China katika kipindi kichacho, bali pia yatanufaisha dunia nzima...
Hii adhabu tunayoisikia kila uchwao ya kunyongwa hadi kufa ina maana ya kumtundika mtuhumiwa kwenye kamba au hutekelezwa pia kwa njia zingine kama kiti cha umeme au sindando ya sumu hapa kwetu?
Je, ni kauli gani uliyotamka ndani ya familia ikaleta taharuki na hamaki ambayo hadi leo unajutia na kuomba siku au wakati urudi nyuma uweze kuifuta kama siyo kuirekebisha?
Kwa upande wangu kuna siku nilishikwa na hasira nikamwambia mwanamke aandae vitu vyake maana nitamfukuza ila nikamsamehe...
Aisee kwa walioa ama kuolewa wanaifahamu hii siku, inakuwa tamu lakini yenye presha nyingi.
Binafsi siku hii jasho halikuacha kunitoka na hata uchangamfu ulitoweka, lakini ni siku yenye kumbukizi tamu, hasa ukute unayemuoa ama kuolewa naye ni mtu unayemhusudu.
Kwa upande wako ilikuwaje siku hii?
Matukio yanayonihuzunisha
1.Wanapiga makonda mpaka wanawapa vilema
2.Mwalimu akizingua wanamchapa kama mtoto mdogo
3.Yaani shule wanaingia saa 4
Kuhusu taaluma
1.Kufaulu 1 kati ya 120
2.Mwanafunzi mwaka mzima kasoma page 2
3.Muda wa masomo wanashinda vijiweni wakicheza kamari
4.Akienda...
Wakuu salaam,
Watu wengi tumekuwa tukihangaika kupata matibabu ya magonjwa mbalimbali yanayotusumbua kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote. Tunatembelea hospitali mbalimbali, kupata vipimo na kupewa dawa (medications) tofautitofauti lakini mwisho wa siku hatupati nafuu.
Lakini kwa upande...
Habari wana JF
Ni matumaini yangu hamjambo wote mnaendelea vizuri. Kwangu mimi kuna suala lanitatiza kidogo hapa.
Et wanaume wezangu baada ya sex ni lazima kumpa mwanamke hela au demu wako unayempenda?
Kwangu naona kama nikimpa hela kwa muda huo naona kama anajiuza kwangu yaani kama nimelala...
Mwenzenu nimewahi kukaa ukweni zaidi ya miezi nane, nikiwa na ujauzito wa miezi mitatu mpaka nikajifungua, nilikuja kuondoka mtoto anamiezi mitatu. Katika muda wote huo niliwahi kufanya tukio ambalo najutia sana ingawa lilitokea kwa bahati mbaya tu.
Mume wangu alinikataza kitu fulani nikakubali...
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, binafsi nilikuwa napenda kipindi Asubuhi na Vodacom Cha legend Freddy Fidelis RIP kukiwa na tangazo la HEBU NIAMBI VODACOM NI NINI, NIPE ZAWADI YANGU, NANI KAKUAHID ZAWADI.
Pia kulikuwa na tangazo la bia SAFARI NI SAFARI IWE USIKU AU...
Toka saa 11 alfajiri nataka kumtumia mtu pesa kupitia number yangu ya simu lakini kila nikijaribu naambiwa connection error.
Kuna mwingine amekutana na hiyo changamoto au ni simu yangu ndio ina tatizo?
Wanajamii wenzangu, barua yangu ya uhamisho katika ngazi za wilaya ilikamika kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine baada ya kusota kwa muda mrefu na nilishapeleka mkoani.
Nashindwa kuelewa process ya mkoani kwenda wizara itachukua muda gani isije ikawa zinawekwa kapuni mana mpaka naifikisha mkoani...
Katika hali inayoelekea kuonyesha ukosefu wa uthibiti wa bei za vifurushi, Mitandao ya simu imeendelea kupandisha bei za vifurushi.
Hadi jana shilingi 2500 ulikuwa unapata MB 1400, Sasa leo wameshusha tena, mtu unapata MB 1229
Hawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.