Mwanafunzi aliye re seat hutumia namba gani ya mtihani wa kidato cha nne kuomba mkopo

MropeJP

Member
Jul 16, 2017
6
34
Tumia namba ambayo ni recent, lakini wakati wa kujaza taarifa zako kuna option ya kujaza namba zote kwa wale walio fanya mtihani zaidi ya mara moja.
Nadhani ni muhimu zaidi taarifa ie namba zote mbili zikawapo kwenye form yako.
 

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
11,498
25,102
Kwenye issue ya number unabidi kuwa makini namba ya kuombea mkopo inabidi ifananae na ya form four so u have to be Attentive
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom