gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwa watu kufunga biashara zao siku ya Jumanne?

    Salaam Wakuu, Ifikapo Jumanne kwa Dar es salaam imekuwa ni siku ya shida kupata huduma mbalimbali katika maeneo ya biashara. Maeneo kama Saloon, Baa na maduka ya bidhaa mbalimbali yanafungwa katika siku hii. Je, kuna siri au sababu yoyote kwa jambo hili? Anayefahamu naomba kuelimishwa.
  2. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

    Taarifa zaidi badae, Kuna mtu yupo Kahama kanitaarifu kuwa Kuna ndege imeanguka, ambulance na fire zinakimbia eneo la tukio. --- UPDATES; Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura huku watu 10 wanasadikiwa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Redio Duniani, Kituo gani cha Redio unasikiliza zaidi?

    Siku ya #Redio Duniani ilianzishwa na Kikao cha Umoja wa Mataifa mwaka 2012 kwa kuhusisha Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Redio uliorushwa moja kwa moja kutoka Geneva mwaka 1974. Siku hii huadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kutambua mchango muhimu unaotokana na Redio katika maisha na jamii...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wanaokwenda kwenye nyumba za ibada wafanyiwe maombi ya kupata mume, wanaishi mitaa gani ambako hakuna wanaume?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanakwenda kweny nyumba za ibada(kanisani & msikitini) kuomba maombezi ya kupata mume wa kuwaoa, hivi ni kwel mitaa wanamoishi hakuna wanaume au wanaume wa mtaa wanaoishi wanajua tabia zao. Au wanataka kutupa aibu nchi za jirani watuone wanaume wa TZ n...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ni viashiria gani (social Indicators) ambavyo vinaonesha kuwa mtawala fulani nchi imemshinda?

    Naomba mnipe indicators ambazo mtu anaweza kuzitumia kuonesha kuwa Rais fulani/mtawala fulani/serikali fulani imeshindwa kutawala....
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni vikwazo gani vinasababisha viwanda vya toothpicks kutokuendelea/kufanikiwa nchini Tanzania au Afrika Mashariki?

    Habari, wanajukwaa! Ni muda mrefu nimekua nikifuatilia viwanda vidogo vya kutengeneza toothpicks Tanzania na hata Africa Mashariki ili kuona hatua na mafanikio katika kuanzishwa kwake na muendelezo wake. Naona vingi haviendelei kama ilivyo ilivyotarajiwa. Kuna kiwanda bora kabisa kilikuwepo...
  7. Hold on

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinapeleka watu mkiwa kwenye privacy zenu muji record?

    Ndugu sikuizi watu wengi wakiwa kwenye faragha wanapenda kujirecord na wanatoa ushirikiano mzuri tu, sasa sijajua sababu hasa ya kujirecord ni ipi? Wengine mnasema et for feture use feture ipi inaweza kuja kutumia izo video zenu za faragha na zikivuja mnaaza kulia
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ni wizara gani ungependa mawaziri wake wasiwe wanakaa kwa muda mrefu kwenye hiyo wizara?

    Ni dhahiri zipo baadhi ya wizara zipo very delicate kiasi kwamba waziri akiyumba kidogo tu watanzania wote wanapoteana. Hivi sasa zipo wizara zinalalamikiwa kila siku sio mtaani, wala bungeni, wala mtandaoni, pengine hata kwenye mikutano ya vyama. Kutokana na kuyumba kwa maamuzi ya wizara basi...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya mvua na foleni za barabarani Dar es Salaam?

    Moja ya jambo ambalo inawezekana changamoto ni miundombinu au labda ni vyombo vyetu vya usafiri, bado huwa nashindwa kuelewa vizuri, yaani ikitokea mvua imenyesha kidogo tu kwenye Jiji la Dar es Salaam hasa maeneo ya town, lazima foleni barabarani ziibuke kwa kasi. Najiuliza, hivi tatizo ni...
  10. Mzeru_

    JamiiForums Tanzania Azam wanatumia njia gani kuajiri wafanyakazi?

    Nimejitahidi kutafuta ajira za Azam ila sioni popote kama kuna matangazo yao ya ajira, naona wapo tofauti kidogo na METL. Kwa ambaye anajua kama Azam anatoa nafasi za ajira anisaidie niangalie kama kuna nafasi. Swali: 1. Je, unapeleka cv ofisi zao? Na kama unapeleka je ofisi zao ziko wapi? 2...
  11. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Waafrika/watu weusi tuna matatizo gani?

    Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini. SWALI Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia? Karibuni kwa maelezo na majibu yenu...
  12. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Tunaotumia ringtone za dini kwenye simu yetu tukutane hapa. Je unatumia wimbo gani?

    Watu wengi hutumia ringtone zilizokuja na simu, na tupo sisi tunaotumia ringtone za miziki na nyimbo tuzipendazo. Mimi natumia ringtone za nyimbo za injili, nyimbo ni sehemu yangu ya ibada, je wewe unatumia wimbo gani? NI DAMU IDONDOKAYO Wimbo: There is a fountain R.L.175, S.S. & S. 129, N.K...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mboga gani unaweza otesha nyumbani ili kukabiliana na mfumuko wa bei na ugumu wa maisha?

    Infaltion inafanya maisha yanakuwa magumu sana. Athari kubwa zinakuwa upande wa lishe. Si vema kupata utapiamlo na hali unaweza solve kwa kuotesha mbogamboga hapo nyumbani. Tushirikishane juu ya mbogamboga na vyakula vingine ambavyo mtu anaweza kuzalisha nyumbani. 1. Kisamvu. Hapa nazungumzia...
  14. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania JE NINA TATIZO GANI LA KIAFYA.

    Habari wakuu. Nimeamka nije hapa Jamii Forum niweze kupata Ushauri WENU ndugu zangu. Ninasumbuliwa na Ugonjwa kwa Miezi Mitatu sasa. Historia Fupi ya Ugonjwa. Nilikuwa nasumbuliwa na kikohozi kikavu kwa week Tatu kuanzia Tarehe Tano 5 Desember 2022 Hadi 23 Desember 2022. Ndipo nilipona...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania eSIM ni kitu gani? nini tofauti yake na SIM(Line za kawaida)?

    Wakuu nimeona baadhi ya simu zinakuwa na sehemu ya SIM na eSIM. ni sawa na hizi zenye dual SIM? Line za eSIM ni kitu gani. Tofauti yake na line za kawaida nini? Unaweza kuzitumia Bongo? Natanguliza shukrani.
  16. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Daktari ni kiasi gani?

    Katika kada inayoongoza kwa kulaumiwa na kuonewa ni afya. Sasa viongozi wa kada hiyo ni madaktari maana ndio moyo. Nataka kujua, wanalipwa kiasi gani mpaka wanaonewa kiasi hicho? Tulinganishe na watumishi mfano wa WCF, NSSF, PSSSF, TRA, TISS bila roho mbaya wala husda, nani anafanya kazi...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Ni kwa jinsi gani Katiba Mpya inaweza kushusha bei za vyakula?

    Kumekuwa na hoja kutoka siasa za upinzani, wakidai kwamba kuna uwezekano wa bei za vyakula kushuka iwapo tu tungekuwa na Katiba Mpya. Hii ni hoja inayowavutia sana wananchi ila hakuna hata kiongozi mmoja wa upinzani aliewahi kueleza ni kwa jinsi gani jambo hili linawezekana. Tafadhali kama...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa Makonda ni Raia wa nchi gani?

    Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
  19. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi solar panels orginal ambazo zinaweza kusukuma pump ya maji kwa wingi na je zinaweza kuwa pannel ngapi na zitakuwa na gharama kiasi gani?

    Wakuu habari za ijumaa ya leo naimani tuko salama humu ndani. Kama kichwa kinanavyojieleza hapo naomba kama kuna mtaalamu wa solar atupe elimu kidogo, kuhusiana na aina gani za Solar ni orginal na je naweza kufunga panel ngapi ambayo zinaweza kusukuma mashine ya maji kwa wingi kwa ajili ya...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nauliza 2025 Magufuli atagombea Urais kupitia Chama Gani?

    Ndugu zangu wahenga walishasema kuuliza siyo ujinga,, Mijadala inayoendelea nchini inanifanya niamini kuwa Magufuli yupo Chato anachunga Ng'ombe zake. Nimatuamaini 2025 atarejea tena ulingoni maana washindani wake huku wamepamba moto , CCM wanamsema Magufuli, Chadema wanamsema Magufuli. Sasa...
Back
Top Bottom