gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Challenge gani umfanya mkuu wa nchi kujitokeza public ili kuomba kuombewa?

    Habari wakuu,hamjambo? Kumekuwepo na trend ya wakuu wa nchi au wafuasi wao kujitokeza adharani au ktk mitandao yao ya kijamii kuomba kuombewa. Msingi wa swali langu Ni huu, ili kiongozi kufikia hali ya kuomba kuunganishwa na muumba wake kwaajili ya ufanisi wa kazi anakua amepitia changamoto...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Mama Janeth Magufuli amestaafu kazi katika utumishi wa umma? Kwa sasa anafanya kazi gani?

    Mama yetu Janeth Magufuli alikuwa mwajiriwa WA serikali Mwalimu; baada ya Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea Urais na baadaye Rais kazi ya ualimu ilisita japo kwenye utumishi WA umma sijui kama kuna kipengele kinachotoa ajira automatic Kwa mke wa kiongozi. Na kama kipo je ni ajira zote? Kutokana...
  3. Saddie Omary

    JamiiForums Tanzania Kozi gani ina michongo mingi kati ya Civil Engineering, Quantity survey na Geomatics?

    Wakuu kwema, Mimi ni muhitimu wa Diploma ya uhandisi madini (Mining Engineering) kutoka university of dodoma. Natamani kubadili upepo na kuongeza wigo mpana wa ujuzi kwa levo ya degree dirisha la mwaka huu likifunguliwa Inshaallah, katika moja kati ya kozi kama civil eng, Quantity survey na...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanya prank gani?

    Pranks si vitu vigeni. Tumefanya toka utotoni. Social media ni zimezifanya ziwe maarufu sana. Mimi ilikuwa hii. Tulikuwa na jamaa yangu tumetoka chuo Muhimbili tunaelekea Mabibo hostel. Ndiyo tunaanza shule. Tunatembea hadi mtaa wa Congo kuchukua gari za kutoka Mnazi Mmoja. Sasa kufika jengo...
  5. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Hivi kama wewe ni mzazi/ mlezi unachukua hatua au maamuzi gani endapo mtoto wako anakataa kwenda shule?

    Wana JF naombeni ushauri wenu. Kuna kijana wangu atakataa kwenda shule, yupo kidato cha kwanza . Nimfanye nini maana kama kupiga nimepiga na kumshauri lakini haambiliki😭😭
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

    Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini. Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana. Je, niwapi wanaomfata?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwahi kumfunga kiongozi yoyote kutokana na ubadhirifu kwenye ripoti ya CAG?

    Sifurahishwi na ubadhirifu unaoonyeshwa kwenye ripoti za CAG wala siutetei kwa namna yoyote ile Lakini nataka kusema tuache siasa na unafiki, ama hata ripoti za CAG zinaweza kuwa zinatolewa kisiasa kama tunazijadili kisiasa Kuna baadhi ya watu ambao wamekosa hoja ya kutetea siasa zao...
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ndani ya CCM kulikosekana Ufisadi na mafisadi?

    Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM. Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
  9. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unahofia/unaogopa kisikupate mpaka unaimaliza safari duniani?

    Kuna vitu tumekua tunaogopa au kuhofia visije kutupata katika maisha yetu. Tukianza na mimi hivi ni miongoni mwa vitu ambavyo vinanisababishia hofu: Kupata ajali ya aina yoyote pikipiki au gari Kung'atwa na viumbe vyenye sumu kama nyoka, n'ge, tandu au buibui Kuuawa Kupata ulemavu wa viungo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

    Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada? Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu...
  11. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Starehe gani unaifanya ukiwa peke yako na unaifurahia?

    Starehe gani unaifanya ukiwa peke yako na unaifurahia?✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

    Wakuu, nijibuni haya maswali:- Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni? Na kwanini unavaa hayo mavazi?
  13. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilikufanya uamini uchawi upo?

    Ni kitu ganikilikufanya uamini uchawi upo? Ebu tujuzane hapa 👇👇👇👇👇
  14. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Hivi kokoto zinafanya kazi gani kwenye reli?

    Wanajamii naombeni mnijuze kazi ya kokote kwenye reli, najiuliza sipati jibu
  15. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna siri gani kwenye ugoro wazee?

    Wadau za kutwaa!!! Jana katika pita pita Kwa wadau wangu kadhaa wakongwe mujini nikawachana kuwa wadauee "eeee" Leo kijana wenu Dina hela hata ya kipiga masta hebu nitoeni basi mdogo wenu nikazibue kichwa hata na tingisha mbili tu. Ndiyo lijendi mmoja akafungua kanailoni flani kabluu nikaona...
  16. Kamulimuli

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukampenda sana mpenzi wako?

    Moja ya vitu vigumu kuvielezea mbele za watu ni hisia za upendo. Hata ukimuuliza mtu aliyeoa/kuolewa, sababu iliyomfanya kumpenda mwenza wake, majibu mengi yatakuwa ni kwasababu ni mcha Mungu, ana heshima, yuko smart sana. Lakini mtaani wenye sifa hizo wapo wengi, swali gumu kuelezea linabaki...
  17. Okrap

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani mzuri ya kwenda kupunguza stress za mapenzi?

    Mambo, Nisehemu gani mzuri ya kwenda kupunguza mawazo jamani? Una amka vizuri lakini mapenzi yana kuvuluga, khaa!
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani vituo vya polisi? Iundwe tume chini ya DCI Kingai tupewe ukweli. Kila siku ripoti za mauaji

  19. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Mambo gani ulidanganywa kuhusu watu wazima na umegundua ni uongo?

    Tunapokuwa wadogo kuna mambo mengi tunadanganywa na kuamini kuhusu watu wazima. Lakini miaka inavyoenda tunagundua uongo mwingi sana. Uliamini nini na ukashangaa hakuna ukweli wowote. 1. Niamini watu wazima hawapendi wali. Si kwel hata kidogo. Wanapenda wali kuliko hata watoto. Kama uamini pika...
  20. Mshua's

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Wakuu habari za asubuhi. Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka. Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl. Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka...
Back
Top Bottom