Leo ni siku ya Redio Duniani, Kituo gani cha Redio unasikiliza zaidi?

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,366
8,101
1676282462345.png
Siku ya #Redio Duniani ilianzishwa na Kikao cha Umoja wa Mataifa mwaka 2012 kwa kuhusisha Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Redio uliorushwa moja kwa moja kutoka Geneva mwaka 1974.

Siku hii huadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kutambua mchango muhimu unaotokana na Redio katika maisha na jamii. Februari 13 ilichaguliwa kuwa Siku ya Redio baada ya kuanzishwa kwa Redio ya Umoja wa Mataifa mwaka 1946.

Kituo gani cha Redio unasikiliza mara kwa mara?

===================

World Radio Day is celebrated every year on February 13 to mark the important role that radio plays in our lives and in society. The day was established by the United Nations General Assembly in 2012, and its history can be traced back to the first International Radio Conference in Geneva in 1974. February 13 was chosen as World Radio Day as it was the day of the establishment of the United Nations Radio in 1946.

History

The radio was invented in 1895 by Italian physicist and inventor Guglielmo Marconi. He is credited with being the first to develop a practical and successful system of wireless communication, which laid the foundation for the widespread use of radio technology.

The radio quickly became one of the most important forms of communication of the 20th century, revolutionising the way people received and shared information. Radio broadcasting became a vital source of news, entertainment, and educational content, connecting communities and promoting understanding across borders. The radio continues to play a significant role in our lives today, serving as a source of information and entertainment while helping connect people around the world.

Significance
The significance of the World Radio Day lies in the unique power of radio as a medium of communication. Radio is a fast, accessible, and cost-effective way to reach large audiences, making it an ideal tool for sharing information, promoting awareness, and connecting communities. Radio also has the ability to reach remote and marginalized communities, making it an important tool for promoting inclusion and equality.

Theme
The theme for World Radio Day changes each year and is designed to focus attention on specific aspects of the role of radio in society. In 2023, the theme for the World Radio Day is “Radio and Peace” which aims to focus on the importance of independent radio to foster peace and prevent conflict.

In 2021, the theme was "New World, New Radio" which focused on the role of radio in adapting to and shaping the changes brought about by the COVID-19 pandemic.

UNITED NATIONS/ CNBCTV
 
Radio huwa sisikilizi maana FM radio zina ujinga ujinga mwingi, hakuna vipindi vya maana, hizi FM radio zinachangia sana mmomonyoko wa maadili kwakuwa na watangazaji wasio na maadili na wasio jua waseme nini Kwa wakati gani.Yaani mtu akiwa maarufu tu Kwa comedy, Music au sijui alikuwa Big brother anakuja kuwa mtangazaji.

Watangazaji na waandishi wanaonekana ni hamnazo kwasababu tasnia yao imevamiwa Kwahiyo ni ngumu kusikiliza kwasababu huwezi kujifunza kitu chochote kipya zaidi zaidi ni Makelele tu
 
Radio huwa sisikilizi maana FM radio zina ujinga ujinga mwingi,hakuna vipindi vya maana, hizi FM radio zinachangia sana mmomonyoko wa maadili kwakuwa na watangazaji...
Mwenyewe sisikilizi radio kabisa. Ujinga ni mwingi na watangazaji wasio na taaluma. Unakuta mtangazaji sehemu ya kutamka L anaweka R na ujinga ujinga mwingine.

Tasnia ya utangazaji bongo ni mfu.
 
TBC TAIFA.

Vyombo vyoote havina WATANGAZAJI vina wapiga kelele....

Akina Baba levo.
Masanja.
Zembwela
Juma lokole....
Dida.
Swebe.
Kindoki.

Yani saizi hakuna kitu.......

Radio inakufa kifo Cha Asili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom