Azam wanatumia njia gani kuajiri wafanyakazi?

Mzeru_

Member
Sep 22, 2020
19
17
Nimejitahidi kutafuta ajira za Azam ila sioni popote kama kuna matangazo yao ya ajira, naona wapo tofauti kidogo na METL. Kwa ambaye anajua kama Azam anatoa nafasi za ajira anisaidie niangalie kama kuna nafasi.

Swali: 1. Je, unapeleka cv ofisi zao? Na kama unapeleka je ofisi zao ziko wapi?

2. Je, kwanini hatuoni poster zao wala matangazo kwenye recruitment za ajira?
 
Ndio,warabu na wahindi wapo hivo,hata kwa MO usidhani kila kazi anatangaza

Nawajua watu wameishia form 4 na wanakula utawala ofisi za warabu wenzao
Mo ujue mpaka ana recruitment yake, na anatoa ajira kwa watu tofauti tofauti hata interview anafanya japo nafasi zake ni chache ila unaona matangazo yake ya kutoa ajira na kutaka wafanya kazi ila kwa Azam ni tofauti yani huoni hata wakisema wanataka wafanya kazi
 
Uwe unasema "Mwanyazi"
😂Kuna siku nikiwa form 4 niliwahi kwenda msikitini bana kupiga msosi afu mimi christian,hii ilikuwa kawaida yetu maana nimesoma islamic seminary

Sasa hiyo siku bwana wameshamaliza kuswali pale, ghafla wakaja wahindi na jeneza na mapanga huku wanaimba kwa shari🤣 tulijua ile siku tunakufa,jeneza wamebeba begani,walipofika wakaweka chini kumbe ni utaratibu wao wa kawaida tu
 
Mo ujue mpaka ana recruitment yake, na anatoa ajira kwa watu tofauti tofauti hata interview anafanya japo nafasi zake ni chache ila unaona matangazo yake ya kutoa ajira na kutaka wafanya kazi ila kwa Azam ni tofauti yani huoni hata wakisema wanataka wafanya kazi
😂Huenda bado anaemploy ndugu zake kwanza,kumbuka Azam ni investment ya billions,lazima aweke ndugu zake wa Za'zibar kwanza,sisi weusi kama pua ya mbwa tusubiri
 
😂Huenda bado anaemploy ndugu zake kwanza,kumbuka Azam ni investment ya billions,lazima aweke ndugu zake wa Za'zibar kwanza,sisi weusi kama pua ya mbwa tusubiri
Issue sio hiyo swala hapa ni kwamba kampuni ina nyanja kibao na kila nyanja lazim wakae watu huwezi weka ndugu kila sehemu sasa hata kama anaweka ndugu ndio hata matangazo ya ajira tusione😂😂
 
😂Kuna siku nikiwa form 4 niliwahi kwenda msikitini bana kupiga msosi afu mimi christian,hii ilikuwa kawaida yetu maana nimesoma islamic seminary

Sasa hiyo siku bwana wameshamaliza kuswali pale, ghafla wakata wahindi na jeneza na mapanga huku wanaimba kwa shari🤣 tulijua ile siku tunakufa,jeneza wamebeba begani,walipofika wakaweka chini kumbe ni utaratibu wao wa kawaida tu
Islamic seminary alafu wahindi tena?
Na mapanga seriously?
 
Issue sio hiyo swala hapa ni kwamba kampuni ina nyanja kibao na kila nyanja lazim wakae watu huwezi weka ndugu kila sehemu sasa hata kama anaweka ndugu ndio hata matangazo ya ajira tusione😂😂
Kaka warabu huwajui😂,nasemaje, kila sehemu watakaa ndugu wa damu alafu baadaye wanafuata ndugu wa imaaani mpaka hapo nafasi zimeisha si ndio maana huoni Tangazo
 
Islamic seminary alafu wahindi tena?
Na mapanga seriously?
Serious, huo msikiti haupo ndani ya shule,ni pale kigoma mjini kuna msikiti fulani wanaswali sana wahindi, hii kitu ipo huwa wanabeba hayo mapanga kumkumbuka mtu fulani kwenye dini yao sijui anaitwa nani nimesahau kwa sasa ,aliuliwa kwa mapanga
 
Back
Top Bottom