Habari wana JF? By make a story short, let jump to the topic. Mimi kitu ambacho sintoweza sahau ni pale mshikaji (Hassan) alikuwa akichungulia majibu kwa jamaa (Boni) wa pembeni alipo mchania mkeka.
Ilikua hivi, mtihani wa hesabu. Boni alikua mzuri kwenye hesabu hivyo Hasani akawa anakopi...
Kwa maisha ya sasa na wanawake wengi, utagundua wengi hawatumii au hawana akili. Na ndiyo maana wanajibidiisha sana kwenye muonekano, ila kichwani hamna kitu kabisa. Hopeless.
Mwanaume : Fikiria huyo mwanamke uliyenaye kama ni mke au mpenzi. Ukiondoa ngono anabaki na nini kwako? Anabaki na...
Katika mahojiano VOA Swahili amesikika mkenya mmoja akidai kuwa ukiichokoza Kenya umemchokoza Biden na Europe kwa ujumla ni baada ya kijana wa Museveni kuandika kwenye Twitter utani wa kuivamia Kenya.
Naombeni ufafanuzi wa madai haya ya mkenya bandugu .
Habari za muda huu wana JF,
Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio hapa walivutiwa na Nini mpaka wakaweka makazi ya kudumu maeneo haya.
Mfano, Mimi niliwahi kutembelea...
Ni nchi gani nyingine hapa duniani hutokea Mambo ya ajabu Kama haya?, haiwezekani nijiunge kifirushi Cha tsh2,000 kupata MB 1024 halafu Tena wanatuma sms eti nilijiunga kifirushi Cha tsh 1,000😲.
Wakubwa huu siyo ujambazi?
Katika maisha yetu kuna baadhi ya matukio tulishawahi kufanya au kututokea ambayo huwa ukiwaza unabaki unacheka kulingana na aibu iliyojitokeza. Kwangu mimi haya ni matukio ya aibu kabisa katika maisha yangu.
1. 2015 nikiwa nasoma kidato cha tano kuna dogo wa Olevel nilimtongoza akaingia kingi...
Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika...
Habari zenu wadau.
Nimesikitishwa na huduma mbovu za benki ya CRDB. Ukweli siku ya juzi nikiwa safarini kuna mtu alinipigia simu alikuwa na uhitaji wa haraka wa fedha kiasi. Na wakati huo huyo mtu alikuwa ananidai kiasi fulani cha pesa.
Sasa kwa uhitaji wake wa haraka akaniomba kama niko...
Nilijifunza kutokupuuzia ndoto nnazoota huwa najitahidi kufatilia na kuulizia maana yake, kwani nimekua naota mambo halafu yanatokea kweli yanatokea vile vile nnavoona kwenye ndoto, hadi najihisi unabii unaninyemelea.
Wiki kama mbili hivi zilizopita niliota nimepita njiani kuna kisima kimejaa...
Wanajamvi Naomba Msaada wa Kujuzwa Program Gani ambayo Nitaandika kwa Kiswahili kisha intranslate kwa English.
Naitaji Kuandika Makala za Mada Kazaa..Sasa Siitajia kufanya makosa katika Uandishi wangu
Ndugu wanajf Africa Ni bara kubwa lenye nchi takriban 56 na watu wenye asili tofautitofauti Sasa je naomba kujua ni nchi ipi iliyo na rasilimali nyingi lakini watu wake hawana akili ya kuzitumia??
Mwaka 1848 Karl Marx na Friedrich Engels waliandika kitabu The Communist Manifesto. Kuna hatua kumi walipendekeza kwa nchi kuchukua. unakubaliana kiasi gani na mapendekezo hayo?
Kukomesha umiliki binafsi wa ardhi na kuweka kodi kwenye ardhi yote kwa ajili ya manufaa ya umma.
kodi kubwa...
Habari 👋
Ikiwa ni siku ya wazee na siku muhimu ya kutambua mchango wao katika mataifa mbalimbali, ningependa kufahamu mchango wa wazee katika Taifa–Tanzania.
Maana ni rahisi kufahamu na kutambua mchango wa wazee kwa mataifa kama Malaysia, Indonesia, Qatar, Pakistan, India na mengineyo
Miaka...
Tulipaswa kukomaa ili waliokula bil kumi zetu wazitapike.
Mbowe na genge lake walipaswa kuzitema.
Leo hii tunahangaika kupata mapato.
Join ze chain imefeli na sasa tuje na mkakati gani kuchangishana pesa?
Habarini
Naomba tushee mauzoefu apa kwenye huu uzi. Naamini katika hatua za mwanzo katika umri fulani kila mdau alianza kutafuta pesa. Wengine wameanza mapema sana, wengine wamesoma wakachelewa kuanza kutafuta pesa, wengine watoto wa mashavuni wanakula maisha tuu...nk.
Nikiwa mdg miaka 13...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.