gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nauliza 2025 Magufuli atagombea Urais kupitia Chama Gani?

    Ndugu zangu wahenga walishasema kuuliza siyo ujinga,, Mijadala inayoendelea nchini inanifanya niamini kuwa Magufuli yupo Chato anachunga Ng'ombe zake. Nimatuamaini 2025 atarejea tena ulingoni maana washindani wake huku wamepamba moto , CCM wanamsema Magufuli, Chadema wanamsema Magufuli. Sasa...
  2. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Ufaulu huu anaweza kusoma kozi gani nzuri ya afya?

    habari za humu? Huyu dogo amepata three ya 23 na matokeo kama ifuatavyo; Civic-D, Hist-D, B/Math-F, Eng-D, Biology-C, Kiswahil-B, Physics-D, Chemistry-D
  3. K

    JamiiForums Tanzania Iko siri gani kwenye haya mabonanza yaliyozagaa Tanzania nzima ?

    Nimelazimika kuuliza swali hili maana kuna msela wangu mtu mzima kabisa na mwenye familia amekuja kwangu kuniomba ushauri wa nini afanye ili aweze kuacha kwenda kwenye mabonanza angalau kwa wiki moja tu Amenieleza mambo mengi sana ambayo mengine siwezi kuyaongea hapa maana mimi bado sijaleft...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa computer, nina documents nyingi sana katika laptop, namna gani naweza kuzipanga iwe rahisi kuzipata in a friendly way!

    Nina thousands of documents, nyingine hata kuzipata ni kazi japo za muhimu. Kuna namna naweza kufanya? Au Kuna application inaweza kusaidia? Naiingizaje hiyo application? Any one with experience ?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Polisi watakuja na kisingizio gani? Walisema hawawezi kumhoji Lissu kwasababu hayuko nchini

    Polisi walisema hawawezi kuchunguza kwasababu wameshindwa kumhoji Lissu. Na kisingizio cha kutokumhoji Lissu ni kwasababu alikuwa nje nchi. Sasa Lissu amerejea Tanzania. Natarajia jeshi litamhoji na kuwakamata mara moja waliohusika. Au wataleta kisingizio kingine?
  6. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani vinatumika kuteua na kutengua Ma DC

    Naomba wajuzi wa mambo Pascal Mayalla na Lucas mwashambwa mnisaidie uelewa na wengine wasio na uelewa kama mimi. Hivi ni vigezo gani vinatumika kumteua DC au kumtengua DC. Hawa walioteuliwa wana sifa gani na waliotenguliwa wana matatizo gani.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazopinga ushoga zinatumia kigezo gani? Mbona hazipingi ukahaba na uasherati?

    Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake? Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Niweke viungo gani kwenye supu yangu iwe na ladha ya kuvutia?

    Kuna siku nilisikia kuna vidonge vya supu ili kuifanya kuwa na ladha lakini niliyemsikia akisema siweza kupata fursa ya kumuuliza kwa kuwa nilikuwa safarini na yeye ni muuzaji wa njiani na alikuwa amezongwa na wateja wengi. Je, ni kweli kuna vidonge vya supu? Au niweke nini kwenye supu ili iwe...
  9. daizouh

    JamiiForums Tanzania Ni gari Gani Tano 5 zilizoagizwa zaidi mwaka 2022 Tanzania??

    Kwa upande wangu Mimi gari zilizoagizwa zaidi Tanzania mwaka 2022 ni 1. Toyota IST 2. NISSAN Dualis 3. Rumion 4. Forester 5. Harrier
  10. R

    JamiiForums Tanzania MS Outlook inakera je email gani client nzuri iwe mbadala wa outlook

    Habar wadau !!! Hope wote mpo poa niende moja kwa moja kwenye mada nadhani wengi kati yenu mnatuia outlook na karibu ofisi nying zinatuia outlook for person and office work Mi kinachoniudh kwenye outlook ni WHITE BACKGROUND kwenye inbox hiki kitu sio kigeni wngine wanakiita themes means...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ishara gani za Kisaikolojia ukiziona zinamaanisha leo Mkeo / Mpenzi wako anaenda kukusaliti kwa Mwanaume mwingine?

    Kazi yangu Kubwa leo katika Uzi huu ni Kusoma tu Comments zenu ili nizichakate na nikizielewa na kuziamini Mwanadamu wa Kike ambaye niko nae akirejea Kesho Asubuhi apande Basi la Kimbinyiko arejee mazima Kwao.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Maoni kwa Wizara mbalimbali yaliyotolewa na Wadau wa Twitter Space ya Jamiiforums Januari 26, 2023

    Jamiiforums kupitia ukurasa wake wa Twitter imeandaa space ambayo itatoa fursa ya dakika 2 kwa Wananchi kutoa maoni au (kupaza sauti yao) kuhusu suala lolote linalowagusa katika Wizara yoyote hapa nchini. Mjadala huu unatarajiwa kuongozwa na Mwandishi wa Habari Sammy Awami Ili kupata nafasi...
  13. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Picha: Kipanya ana maana gani hapa?

  14. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Kozi gani kijana wa kiume asomee VETA?

    Wakuu, nina mdogo angu age 18 kamaliza four mwaka huu, bila shaka hatoweza pata maksi za kwendelea. Sasa ni kozi gani ambayo itamsaidia mbeleni uko hata kwa kujiajiri. Ya kwanza napendekeza udereva, ila ningetaka kujua na nyingine ambayo haitopitwa na wakati maana maendeleo haya ya sayansi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hivi huwa nini kinajadiliwa kwenye Baraza la Mawaziri? Kuna umuhimu gani wa kutupa taarifa kuwa wamekutana?

    Naombeni wanaoelewa sana mambo haya wanisaidie kufahamu. Inavyoonekana kikao cha Baraza la Mawaziri huwa ni cha siri. Kinachonisumbua ni kwamba mara nyingi wakikutana kwa kikao tunajulishwa kuwa wamekutana. Na kwenye hilo Baraza huwa mambo gani hujadiliwa na vikao vya siku ngapi?
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaridhia kuingiza masuala ya kijinsia kwenye utekelezaji wa mipango yake ya maendeleo

    Usiku huu wakati napita huku na huko mitandaoni ili kutafuta usingizi nimekutana na hii post. Kwa kweli imenishtua kidogo, hata hivyo masuala yenyewe hayajawekwa wazi sana. Niliwahi kusoma Mahali kuhusu IMF Inclusion Policy. Kama hivyo ndivyo basi hatari ni kubwa, otherwise Mwigulu Nchemba...
  17. Unavoidable Servant

    JamiiForums Tanzania Ni brand gani ya haya majiko ya gesi ya plate mbili iko imara na ndio habari ya mjini kwa sasa?

    Wakuu JF ndio kila kitu, kabla ya kukurupuka kwenda shopping ni vyema ukipata muongozo JF. Nimenunuwa Mara mbili majiko makubwa West Point yenye plate mbili gase na plate mbili umeme chini oven lakini yote yamezinguwa, hili la Pili Sasa hivi halitowi moto wa blue linatowa moto kama koroboi na...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Vituko vya jikoni, ushawahi fanya kitu gani wakati unapika?

    Mko poa? Salaam, Jikoni kuna wakati yanatukia matukio jikoni wakati unapika mpaka unatamani unashangaa, mwenzenu nilimwaga mboga wakati napika ugenini kisa kapita panya na sikuwa najua kama nyumba ina panya. Nimeaza kupika ile naipuka mboga Panya kakatiza nikaona mkia tu nikadhani nyoka...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

    Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake. Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake. Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi. Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kero gani nitapata nikijenga karibu na mashine ya kusaga?

    Wakuu habari. Nimebahatika kununua kiwanja, viwanja vyetu vya skwata, Ila niliyepakana naye anaweka mashine ya kusaga. Je niendelee na ujenzi wa nyumba ya kuishi, au ni kero gani naweza kupata nikijenga Naomba mawazo yenu
Back
Top Bottom