gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Jamani hizi ndoto huwa Zina maana gani?

    Kuna muda unaweza kuota ndoto zingine za ajabu Sana mpaka ukaanza kujiuliza imekuwaje kuwaje mpaka ukaota ndoto ya hivi? Imagine unaota unafanya mapenzi na mtu unayemheshimu Sana.Anaweza kuwa boss wako,mwalimu wako au mke wa mtu na unamheshimu Sana,Yaani Sana tu na hujawahi fikiria hata siku...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hii ni sarafu ya nchi gani na ina thamani gani?

    Eti wakuu,hii ni sarafu ya nchi gani na iko na value gani?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kununua nyumba au kiwanja cha mirathi documents gani za msingi za kujiridhisha kabla ya kununua

    Habari ya uzima wanajamii forum Kwanza natanguliza shukrani kwa ushauri wowote ntakaopata kutoka kwenu naomba niulize ukinunua nyumba au kiwanja Cha mirathi ni documents gani za msingi za kupatiwa Kama mnunuaji wa nyumba/kiwanja Cha mirathi hiyo. Nimetanguliza swali hili kutokana na story yangu...
  4. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Je, Kituo chako Cha Ajira Kiko Wilaya gani Tanzania, unadhani ni sehemu yenye 'Future' kwako au unatamani kuhamia Mkoa tofauti- Utaje

    Binafsi, Niko Kilimanjaro kikazi lakini hata ikitokea napata uhamisho usiku wa manane nasepa. Kilimanjaro nadhani ni Mkoa wa wastaafu na siyo sehemu ya utafutaji. Na maisha ya huku ni tofauti sana. NI mkoa mdogo sana. Ni mkoa wenye idadi ndogo sana ya watu, mostly wazee. Ni mkoa wenye Ardhi...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho watu wengi hawakijui?

    (1) Kujifanya uko busy na simu yako ndiyo njia rahisi kwa watu wengi kuepuka hali au mtu mbaya (2) Huko Italia, sio kosa kuiba chakula ikiwa una njaa. (3) Kulingana na uchunguzi wa zaidi ya ndoa 3000, kadiri unavyotumia pesa nyingi kwenye pete ya uchumba, ndivyo uwezekano wa kuachwa...
  6. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Serikali ina mtazamo gani kwenye matukio haya kwa watoto?

    Habari zenu Kumezuka tabia ya wazazi au walezi kufungua akaunti za mitandao ya kijamii huku walijipatia umaarufu kupitia video za watoto wao. Kwangu mimi si busara mtoto kumuingiza katika dunia ya mitandao wakati bado anahitajika kusoma na kujifunza mambo mengi lakini kinachotokea wazazi...
  7. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulichonacho kilichokuhuzunisha zaidi maishani mwako?

    " KITU GANI ULICHOKIONA MAISHANI MWAKO KILICHOKUHUZUNISHA ZAIDI ?!" Peace be with you all, Maisha yana mengi ya kufurahisha, kushangaza, kuchekesha lakini pia kuhuzunisha. Leo niwashirikishe jambo lililonihuzunisha zaidi maishani, pia wewe tuambie nini kilikuhuzunisha zaidi. Mwaka 2009...
  8. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

    Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani. Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu. Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi. Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani wa vifaranga vya kuku?

    Wanajf ninaomba msaada kuhusu ugonjwa huu wa vifaranga vya kuku! Kwenye sehemu ya haja kubwa anatoa kinyesi laini mithili ya mapovu! Mwishowe mapovu hayo hukauka na kuwa magumu mwishowe vifaranga hudondoka na kuiaga dunia! Mwenye uelewa anisaidie, huo ni ugonjwa gani, unatibiwaje! MSAADA WA...
  10. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
  11. Stroke

    JamiiForums Tanzania Pamoja na gharama za maisha kuwa juu Bei ya mafuta yaongezeka kwa sh.149 kwa lita. Ruzuku ina faida gani?

    Hawa Ewura naona wanamkakati wananchi tutembee kwa miguu katika shughuli zetu za kila siku. Pamoja na gharama za maisha kuwa juu bado bei ya mafuta imepanda kwa Tshs. 149 kwa lita. Mafuta ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wa nchi hivyo kama yakipanda bei basi ni mara moja tu madhara yake...
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Raila Odinga anawezaje kupata wafuasi wengi hivi Kenya? Amewaloga Wakenya na uchawi gani?

    Wakuu kwema? Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote yaliyotoka vituoni na kusainiwa na mawakala wa pande zote yote yalikuwa uploaded online Na kama kuna wizi...
  13. Desierto

    JamiiForums Tanzania Je tatizo hili ni facebook yangu?

    Yaani huko juu namba chochote wala sehemu ya kusearch au kuona ujumbe hakuna.
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tukio au jambo gani lilifanya uzidi kuuchukia umaskini?

    .
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nimepata rafiki wa kizungu nianze na shida gani kumweleza anisaidie

    Nimepata rafiki wa kizungu nianze na shida gani kumweleza
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Ni mtu gani humu JF hutamani apewe ban

    Hellow Hii ni jamii na jamii ni watu na tupo watu tofauti wenye tabia tofauti na sifa tofauti ni mtu gani wewe utamani apewe ban kabisa anakufurahisha na unamkubali sana mimi na anza na hawa watu DeepPond huyu kwa story zake huwa zina furahisha lakini zinajenga Extrovert huyu michango yake...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa nchi kutuambia Wananchi kuwa Mawaziri na Makatibu wa Wizara Wanagombana kuna faida gani Kimaendeleo?

    Sasa kama Wewe Kiongozi umeshindwa Kuwapatanisha wakati Unawamudu na ndiyo Umewateua kuwa hapo kwa Kukurupuka Kwako pasi na kuwafanyia Vetting au Kutokubali Ushauri wa Wasaidizi wako unataka Sisi Wananchi tuseme nini? Hebu acheni Kutusanifu Wananchi.
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

    Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa. Kizazi kijacho kiko...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Unapendelea juisi ya tunda gani?

    Nawasalimu wote, Mimi napenda sana kunywa jusi ya nanasi na parachichi natupia na pasheni inanukia na inakuwa tamu sana. Juisi hii huwa siweki sukari hata kidogo kutokana na utamu wa nanasi nasaga matunda hadi yanalainika sana, nachuja naweka kwa kipozeo tayari kwa kunywa taratibu. Wewe...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kila akisifia mazuri yaliyofanywa na Hayati Magufuli; Nderemo, shangwe na makofi hutawala. Hii ina maana gani?

    Asalaam Aleykum wapendwa wana jamvi. Ama baada ya salamu hizo napenda kuishukia mada tajwa hapo juu kama ifuatavyo; Nimefanya utafiti kulingana na kiwango changu cha elimu nilichonacho, nikagundua kwamba, kila mara Mh. Rais, mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hasani akimtaja mtangulizi wake kwa...
Back
Top Bottom