gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

    Huko watakaoenda kufanya kazi maswala ya mipunga yamekaaje maana shortlist kwa ajili ya interview washatoa. Kwa ambao mna ufahamu ama uelewa wa MDA na LGA tuwekane sawa.
  2. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya makucha huwa yana faida gani kwa wanawake?

    Dada zetu tunajua urembo ni jadi yenu ila haya makucha hapana aiseeeh. Embu fikiria dada mwenye makucha kama haya eti ana ndoto za kuolewa,subutu hakuna mwanaume ndezi namna hiyo akuone na mikucha kama hiyo eti atangaze ndoa hiyo ni big hapana. utapigwa pipe miaka ndenda rudi na hauta sikia...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani NIDA?

    Naomba mniulizie kwa mtendaji mkuu wa NIDA Kibaha mkoa wa Pwani. Kwanini inachukua zaidi ya mwezi kupata namba (sio kitambulisho) katika ofisi ya Kibaha? Tunaomba mkuu wa mkoa aingilie kati.
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Materials gani hutumika kutengeneza shanga?

    Eti wakuu. Shanga huundwa na materials gani? Maana plastic si plastic.
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni engine gani naweza funga kwenye Nissan civilian nje ya engine yake? Original

    Naomba kujuzwa ni type gani ya engine inaweza kufit kwenye Nissan civilian. Kwa ku Forge alimradi gari ifanye kazi.
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?

    Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani. Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja...
  7. DEICHMANN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni hatua gani za kuanzisha forum kama jamiiforums,nairaland au red it.

    Habari. Ni hatua gani za kufuata kuanzisha forums. Kama Jamiiforums Nairaland Au Red it.
  8. Execute

    JamiiForums Tanzania Digrii, Masters na PhD zote zifutwe tuanzishe mfumo wa elimu unaoendana mazingira yetu

    Tanzania hakuna madaktari bali watoa dawa, hakuna wahandisi bali watu wa kufanya replacement ya vifaa, hakuna wasanifu bali watu wa kukopi, hakuna wanasiasa bali wachumia tumbo, nk Hii elimu ya sasa haina manufaa kwetu kwasababu hatuitumii kufanyia uvumbuzi wowote zaidi ya kuagiza bidhaa nchi...
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kampuni za kubeti wanatumia teknolojia gani ili wasifilisike?

    Hawa jamaa Kuna uchawi wanatumia au namna yoyote ya ndumba ?mbona hawafilisiki jamani?
  10. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Lissu, Lema na Diaspora wengine?

    Hivi nini maana ya diaspora? Na Je, Lissu na Lema nao si diaspora au tofauti yao na hao diaspora wetu ni nini? Kwa nini wao tunawarusu kupiga siasa za nchi yetu na kuwaruhusu kugombea hadi uraisi wa nchi yetu? Kwani Katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusiana na jambo hili?
  11. Beesmom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

    Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba, wake zenu yaani. Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke. Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake. Nyumba ikikosa amani tendo halifanyiki, nguvu za kiume hupungua(stress). Nyumba...
  12. Thailand

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali ya Tanzania inakusanya kiasi gani kutoka Zanzibar?

    Mara zote nimekuwa nikisia pesa inatoka Tanganyika kwenda Zanzibar. Mfano soma nukuu hii kutoka kwa rais wa JMT; ”Kwa mfano mwezi huu kulikuwa na vimaneno sijui hakuna pesa serikalini pesa kwasababu mikopo tulikopa imechelewa ya kufanyia kazi hizi lakini mbili kuna mikopo iliyo ‘mature’ kwa...
  13. Execute

    JamiiForums Tanzania Rais Samia analipa kodi kiasi gani kwa mwezi kutoka kwenye kipato chake?

    Mimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi. Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika kujenga nchi kwa kulipa kodi.
  14. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Je, nchi zinaanza kukimbilia dhahabu kama pesa? Tanzania tuna akiba kiasi gani cha dhahabu?

    Habarini. Habari za nchi kukimbilia matumizi ya dhahabu zimekuwa nyingi sana siku za karibuni. Ghana baada ya kuzidiwa na madeni na kuishiwa akiba ya fedha za kigeni, imeamua kutumia dhahabu kununua mafuta. Kuanzia mwezi huu makampuni ya kuchimba dhahabu yatatakiwa kuiuzia benki kuu ya Ghana...
  15. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani unatamani ungepata majibu toka kwa kiongozi wako wa aina yoyote ndani ya 2023 ambalo linaongoza kukukera toka 2022?

    Binafsi the most irritating question ambalo nimevuka nalo ni; 1. KADCO ni ya serikali ama si ya serikali? Hili swali linanisumbua sana japo likajitokeza la nyongeza huku tukiwa tunakatiza mwaka nalo ni, KADCO ikitoa ufafanuzi inaongea kwa niaba ya serikali ama kwa niaba yake? Mwenye most...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa asali katika picha ya Ikulu Mbowe alipokutana na Dkt. Samia ina maana gani?

    Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote. Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiangalia sana nimeona kwenye mandhari ya nyuma ya picha kumewekwa chombo chenye asali ndani yake. Nimejiuliza maswali mengi bila majibu. Kwa...
  17. marehem x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Newcastle United anasiri gani wakuu? Nimefatilia uwezo wake safiri hiii anatisha

    Wakuu hongerani na kazi. Wengi wetu tunafatilia Sana ligi za Ulaya Moja ya ligi pendwa ni English premier league. Katiba msimamo wa ligi Newcastle timu iliyokuwa unafanya vema enzi hizo ni kawaida kitobeza timu. Kwa Sasa inasonga vzr Sana kias Cha kuwa tishio Kwa nyingine kama Liverpool...
  18. Vangigula

    JamiiForums Tanzania Msaada, kisheria hapa nichukue hatua gani?

    Wasalam waungwana na nakutakieni kila lenye kheri kwa mwaka 2023. Direct kwenye point Kuna plot tulinunua mkoa mmojawapo wa kaskazini na malipo yalikuwa kwa installments 2. Baada ya malipo ya awali, ambayo yalikuwa ni kama 2/3 ya malipo yote, tulimuomba mzee aliyetuuzia copy ya hati ya...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kitu gani huwa kinaishikilia reli ardhini?

    Eti wakuu sana. Ni kitu gani kinaishikilia reli ya treni ardhini?
  20. DissDotCom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuoa na kuchepuka?

    Yaani najiuliza baada ya kuoa tu ndio michepuko inakuja mingi tofauti na mwanzoni nilikua naipata kwa shida sana. Hata nimejaribu kumshirikisha jamaa yangu na yeye anasema baada ya kuoa ndio mizigo inafululiza vibaya sana. Tatizo ni nini hapo?
Back
Top Bottom