Je ukitoka out unavaa saa gani?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,712
10,206
Binafsi, je naenda kukutana na nani?
Hilò ndio swali namba 1. Swali namba mbili huwa je anajua nini kwenye mitindo na fashion?

Basi napenda vitu unique, yaani niwe wa kipekee ndio maana nagharamìa.
Hii ndio saa yangu. Usiulize gharama . Nguruwe hawajuagi madini etii!!!!!!

Saa au nyumba.jpg
 
natembea na kasamsung note 10 plus kawallet ka kwenda basi unyama saa sizijui kabisa nimejizoesha kuangalia kwenye simu many time nacheki kwenye simu tu
 
Back
Top Bottom