Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,836
2,000
Ml.2 naweza fanya biashara gani ambayo utanisaidia kupata pesa ya kula kila siku na akiba angalua 10000 kuweka ?mimi ni single mama nnaehitaji kujishugulisha ili niishi vizuri na mwanangu
Taja location mkuu maana unaweza shauliwa kitu kumbe sehemu ulipo isikuletee tija.
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
22,628
2,000
Fikiri biashara ya something to do with food - mtu ni lazima ale kila siku... kwa hiyo tafuta eneo zuri anzisha Genge - yaani kiduka kisafii cha mbogamboga na matunda ya kila aina - kisha weka na nafaka kama Mchele, Unga wa ngano, Mahindi nk Mtaji wako wa 2m utatosha - Mil moja kwenye eneo la frem na 1m Mzigo.

Nakuhakikishia kwa siku hukosi faida ya 20,000 hadi 25,000 ambapo kwa mwezi ni Tshs. 600,000 hadi 700,000.
 
NOSVELA

Senior Member
Oct 24, 2012
197
225

Nakuunga mkono mkuu
 
John henry

JF-Expert Member
Feb 22, 2014
222
500
Naona kwenye uzi nyingi watu wengi wanashauri kuhusu biashara ya fedha za mitandao, mfano mpesa, tigo pesa nk. Naomba mwenye experience na hii kitu afunguke vizuri kuhusu hii biashara kwa faida ya watu wengi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom