Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu....we bhana Weee☹️ ndo nimejikuta nimependa toppest....Yaan nimepitiliza kama ni temperature bas imekuwa 45 C.

NB:Najua tutaachana🙄 maana hamkawii🤒
Dah Kuna pisi Kali sana nimeipenda ya chuga uko🤦🤦 nadhani inajisikia raha sana
Ningeweka picha ila nikakumbuka Kuna mzabzab na Mzee wa kupambania

NB NAJUA INACHEAT ILA HAIWAHUSU😂😂
 
Onhoo,sawa
bb.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom