gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Ni muda gani viongozi wetu wanakaa na kutulia kufikiria uelekeo wa Taifa

    Ukiwa Kiongozi wa Nchi pamoja na mambo mengine ni kuwa mtulivu , kuwa na muda mrefu wa kutafakari kwa fikra tunduivu uelekeo wa Taifa. Kwa kufanya hivyo unatoa uongozi na majawabu pale vyombo na taasisi zilizopo kisheria zinapokushauri. Meditation inahitaji muda na utulivu . Nachoshangaa ni...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya kuitwa ‘Balozi’ huwa ina faida gani kwa mtu asiyetumikia tena ubalozini?

    Huenda kuna kitu sikijui au kimenipita. Hivi mtu ambaye aliwahi kuwa balozi, na sasa hatumikii tena kazi hiyo, kuendelea kuitwa balozi huwa kunaongeza nini kimaisha yake ukiondoa sifa za kujidai kijamii au kumbukumbu za zamani? Je, kuna posho huwa wanalipwa kwa kuwa na hiyo hadhi ya kuitwa...
  3. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Habari Picha: Hii picha imebeba ujumbe gani?

    the THE BIG SHOW, FaizaFoxy na Lucas mwashambwa njooni mtueleze
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?

    Wakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria. Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo. Kanda ya Ziwa...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Wizara ya Katiba na Sheria mpaka Mawaziri hawakai?

    Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni. Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani? Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015 2015 -2017 Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb) 2017 - 2019 2019 - 2020 2020 -...
  6. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Kizimkazi lina manufaa gani kwa taifa?

    Akina Mwijaku na machawa wenzie wote...vyombo vya habari na waandishi wake...baadhi ya watendaji wa serikali. Wamejaa huko kwa kugharamiwa mavazi malazi na chakula. Promo kila redio na TV ni tamasha la Kizimkazi...pesa imelipwa ya matangazo. HILI LINA FAIDA GANI KWA TAIFA? achaneni na hoja mfu...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tukio gani lilikufundisha kuheshimu kila mtu bila kujali hali yao?

    Na hasa kwa wale ambao wamewahi au wapo juu kimaisha aidha kiuchumi, vyeo, akili, kiafya, umaarufu, mvuto, n.k. Kuna siku nilikuwa naitafuta sehemu fulan mtaa fulani ila nikamuona kijana fulani mtumiaji wa dawa za kulevya nikamfuata kumjulia hali na kumwambia shida yangu, bahati nzuri alikuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Course gani inayohusiana na biashara ambayo itakuwa na mashiko Kwa hapa Tanzania

    Course Gani inayohusiana na biashara ambayo itakuwa na mashiko Kwa apa bongo. Naomba ushauri
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwani Suzuki Escudo ina shida gani wakuu?!

    Wakuu hamjambo?! Hivi nikivuta Suzuki Escudo nitakumbana na vipengele gani? Kama kuna wakuu wanapinga Suzuki Escudo basi watoe maelekezo nichukue gari gani yenye size hiyo
  10. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani ni positive au negative?

    nimetoka kumpina girl wangu jana usiku sasa mpaka sasaiv sijaelewa mm sikusoma sayansi ajanipa majibu sahihi kwahiyo waungwana nisaidieni huyu kaungua ua ili nijue niendelee na safari au niishie njiani?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Plate number moja kwenye magari huchukua wastani wa muda gani kujaa?

    Naomba kujua huchukua wastani wa muda gani plate number moja mfano kwa magari yaliyooanza na namba "D" kujaa kabla ya kuingia namba "E" iliyoko sasa? Kuna mdau alinunua gari mwaka 2015 (kwa maelezo yake) na gari yake ni namba "D" kitu ambacho kidogo kimenishangaza kuona namba hiyo ipo tangu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ni zao gani linafaa mwinuko wa m 1200?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema. Wataalamu wa kilimo huo mwinuko ni rafiki wa mazao gani? Mwinuko huo mnau weka katika kundi lipi low land au highland. Lengo langu ni mazao yafuatayo 1. Mahindi 2. Viazi aina yote 3. Matunda kama avokado,miembe, furisi, matunda damu, papai, limao chungwa. Tope...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwani kuna ubaya gani ukimdanganya unataka kumuoa?!

    Anakuzungusha sana, unakomaa wala hajali. Unaamua kupiga gia kubwa zaidi "nataka kukuoa". Si unajua kupata mume smart ni kazi? Mnyama anakuwa ameingiza Chama, Luis na Baleke na Saido kwenye 18-Huponi. Sasa nauliza kuna ubaya gani? Kuna watu humu wanasema usimuonee huruma mwanamke
  14. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Tukio gani limewahi kukutokea mpaka ukajisemea kweli Mungu yupo?

    Katika dunia tunapitia mambo mengi ya huzuni na furaha, ya amani na magomvi vipi katika maisha yako jambo gani limewahi kutokea na ukajisemea kweli Mungu yupo. Binafsi ni jinsi nilivyo faulu kidato cha sita yaani daah! Nikikumbuka naishia kusema kweli Mungu yupo na anatenda maana nilijua...
  15. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Njia gani ni bora kwa mtumishi kuhama kutoka halmashauri (local government) kwenda Taasisi zingine?

    Jamiiforums kisima Cha maarifa. Mimi ni mtumishi Mwalimu, Nilisoma PCB advance nikapata division II point 12, nilichaguliwa computer and software engineering Lakini sikwenda, nikazamia Chaka la ualimu wa Physics Nilisoma kwa sababu ya kukosa washauri pamoja na umaskini wa home na nilitaka...
  16. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Gari gani zuri la kuanzia maisha?

    Gari gani zuri dogo dogo la kufanyia mizunguko hapa mjini Ukinzingaria mambo kama ya ulaji wa mafuta na pia urahisi wa kujipenyeze, vipuli etc
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni wajumbe gani wanaopiga kura kumchaguwa Askofu mkuu wa KKKT Tanzania kwa mujibu wa katiba yao?

    Igweeeeee, Kama heading ya thread inavyojieleza naomba kufahamu kwa anayefahamu katiba ya kanisa la KKKT Tanzania ni kina nani ni wajumbe wa mkutano mkuu wa kumchaguwa Askofu mkuu? Kwa upande wa Kanisa Katoliki nadhani iko wazi hakuna Askofu mkuu wa kanisa katoliki Tanzania, maaskofu wote ni...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kazi na dawa, chimbo gani zuri kwa hii wkend?

    Ijumaa ndio hii, inakaribia kuishia. Maisha ni kufurahi na marafiki, sio kila siku kuwaza kununua matofari tu; kuwekeza mwilini kwa kuupa furaha ni muhimu zaidi. Wako wapi wazee wa kale, waliishi miaka mia mbili, wengine miaka mia tisa, sasa wako wapi? Kwa sababu tunaishi mara moja, muhimu...
  19. Mwenda_Pole

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nichague kozi gani na chuo gani kati ya hizi?

    Heshima mbele wadau, Kuna mtoto wa sister namsapoti kachaguliwa masomo ngazi ya cheti (certificate) kozi hizi; 1. IFM (Dar) - Certificate in Taxation 2. Mzumbe University (Moro) - Certificate in Law 3. Chuo cha Utumishi wa Umma Dar (TPSC) - Certificate in Records and Archive Management 4. Chuo...
  20. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Una mipango gani kwa miaka 10-20 ijayo?

    Habari wana-JF. Kama tunavyojua mpango kazi kwenye maisha ndiyo dira itakayokuongoza katika maisha yako na kufikia malengo yako. Kwangu nahisi safari ndiyo kwanza inaanza na maamuzi yangu ya leo yatakuwa na mchango mkubwa kwa maisha ya baadaye. Nikiwa kwenye early 20s (23) tayari nipo kwenye...
Back
Top Bottom