Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,192
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Wataalamu wa kilimo huo mwinuko ni rafiki wa mazao gani?
Mwinuko huo mnau weka katika kundi lipi low land au highland.
Lengo langu ni mazao yafuatayo
1. Mahindi
2. Viazi aina yote
3. Matunda kama avokado,miembe, furisi, matunda damu, papai, limao chungwa. Tope tope kubwa nk
4.Miti ya mbao mitiki na milingoti
5.bustani kama karoti, hoho, vitunguu,
6.Mihogo, magimbi, viazi vyote.
7.Ndizi matoke, malindi na bukoba.
8. Karang na kweme
Nataka nifanye Adam Galden of Eden,
Nipande kila kitu kinachostawi hapo, bila kusahau maua.
Nataka niwe navuna kila wiki.
Ardhi ina fan flower, Miyombo na nyasi refu.
Ni virgin land yenye udongo mweusi juu na mwekundu chini.
Nipeni mwongozo.
Hizi ndio mbegu za kweme na topetope kwa ajili ya kuzipeleka shamba