Una mipango gani kwa miaka 10-20 ijayo?

Forgotten

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,346
10,220
Habari wana-JF. Kama tunavyojua mpango kazi kwenye maisha ndiyo dira itakayokuongoza katika maisha yako na kufikia malengo yako.

Kwangu nahisi safari ndiyo kwanza inaanza na maamuzi yangu ya leo yatakuwa na mchango mkubwa kwa maisha ya baadaye.

Nikiwa kwenye early 20s (23) tayari nipo kwenye first phase ya mpango kazi wangu. Mimi shule nilikuwa siipendi kabisa kwa miaka 11 yote niliyosoma elimu ya msingi mpaka sekondari ila mtazamo wangu ulibadilika baada ya kujiunga chuo nikiwa na 18 na kuanza kusoma kile ninachokipenda.

Toka nikiwa mdogo nilikuwa ni mtu ninayependa kutumia teknolojia ya computer ni kwasababu ilikuwepo nyumbani na mzee wangu alinifundisha nilipokuwa mdogo sana. Nilipenda kucheza games na kufanya simple tasks mbalimbali. Mimi ni mmoja wa Gen Z niliyetumia Windows XP miaka hiyo.

So baada ya kumaliza sekondari nilijua nataka kusomea nini basi moja kwa moja nikainza safari yangu kwenye field ya Information Technology, miaka yote niliifurahia mpaka nilipohitimu kwa ngazi ya Diploma.

Sasa ukiachana na hiyo historia (intro) fupi mpango kazi wangu umegawanyika katika phase 2.

1st phase: 10 years
2nd phase: 10 years

So huu ni mpango kazi wa miaka 20 ijayo. Kwenye first phase ndiyo msingi unapoanzia, kitakachofanyika hapa ndiyo kitaleta picha ya kitakachotokea baada ya miaka 20.

1. Natumaini nitakuwa hai kwa miaka 20 ijayo.

2. Nataka niweze kufanya vitu ninavyovifanya kwenye early 20s kwa uwezo uleule au kwa ufanisi zaidi ya sasa. Hapa ni afya kuwa bora zaidi.

3. Nataka kuamua namna maisha yangu ya baadaye yatakuwa, na siyo magonjwa kuamua muda wangu wa kuishi duniani. Hapa ni kwa kuwa makini zaidi na afya yangu ya akili mpaka mwili.

4. Nataka kuishi kwa miaka 20 ijayo.

1st phase:

1. Career Building. Hapa nataka kujenga career yangu kwenye Web Development & Graphic Design (Freelancer) ndiyo kitu ninachifanya kwa sasa ila ninapotaka kufika ni safari ndefu ambayo siwezi kufika kwa usiku mmoja ndiyo maana ujenzi wa career yangu upo kwenye first phase. Malengo ni kuwa bora kwenye hizo field: bora kweli.

2. Education. Kwenye first phase ya mpango kazi wangu nataka kujiendeleza kielimu mpaka level ya Bachelor Degree. Hii naitaka ikiwa ni mwanzo wa safari nyingine kwenye second phase ya mpango kazi wangu.

3. Health. Afya ndiyo kila kitu, afya ndiyo uzima. Bila afya imara huu mpango kazi si kitu. Hivyo jambo la muhimu zaidi ni kulinda na kuimarisha afya yangu ya akili na mwili kwa miaka 20 ijayo. Hapa ni kwa kupata mlo kamili, mazoezi, kuwa na bima ya afya, kuupa mwili na akili mapumziko panapohitajika, kuyapa vipaumbele mambo yatakayonijenga na kunipa furaha zaidi.

4. Family & relationships. Nataka kuwa karibu zaidi na familia yangu: hao ndiyo watu wangu niliokuwa nao toka siku ya kwanza naletwa Duniani na ndiyo watakaokuwa na mimi katika safari ya maisha yangu. Mahusiano ni jambo la muhimu, hii ni safari nyingine kuelekea kujenga familia bora. Lakini sitaki mahusiano yaharibu mpango kazi wangu kabisa, hivyo ni kazi nyingine ya kutafuta mtu sahihi wa kuwa naye.

5. Personal development. Hapa nataka kuwa bora zaidi kwenye Technology na ndiyo njia ya kuijenga career yangu. Nataka kuachana na addiction zote zinazozuia mpango kazi wangu kufanyika kwa 100%.

6. Finance. Hili jambo la muhimu, mwanzo na mwisho wa mpango kazi huu. Nataka kujenga career itakayonipa fursa za kufanya Duniani popote na kunipa kipato kinachoendena na thamani ya kazi nitakayoifanya. Nataka kuweza zaidi kwenye Cryptocurrency & Stocks: elimu hapa ni muhimu zaidi. Nataka kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji wa kisasa, hii ndiyo back-up plan yangu japokuwa sitaki kuwa na back-up ni njia ya kwanza kujiona nimefeli kwenye mpango kazi wangu mkuu. Nataka kutafuta fursa nyingi zaidi za uwekezaji, sitaki kujipa limit, kujifunza zaidi ndiyo kufanikiwa zaidi.

7. Adventure. Malengo yangu kwa miaka 10 ijayo ni kusafiri zaidi, hasa nje ya nchi: kujifunza zaidi. Kupanda Mlima Kilimanjaro ni jambo lingine nataka kulufanya katika miaka 10, nilishatembelea Mbuga ya Wanyama ya Serengeti, hivyo kwa utalii Kilimanjaro ni my next target.

#: Kufurahia ujana ni jambo la muhimu zaidi kwasababu unakuja mara moja tu kwenye maisha. Kazi ni lazima ifanyike kwelikweli ila kufurahia maisha kila siku ni kushukuru kwa baraka hii tuliyonayo.

2nd Phase:

1. Education. Lengo kubwa kwenye second phase ya mpango kazi wangu itakuwa ni kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya Masters. Hapa nataka kufuata nyayo za mzee wangu aliyehitimu masomo yake ya Masters nchini Netherlands. Nje ya nchi ndiyo lengo langu kuu kupata elimu huko, naamini fursa nyingi zaidi zitapatikana.

2. Family. Hapa sasa naamini ndiyo utakuwa wakati mzuri wa mimi kujenga familia bora baada ya msingi kutengenezwa kwenye first phase.

3. Work career. Hapa sasa ndiyo natarajia kazi kubwa zaidi itafanyika: kufanya kazi, uwekezaji kwa ajili ya kizazi changu.

4. Retirement. Baada ya miaka 20 ijayo natarajia kustaafu nikiwa na miaka 45-50. Ni muda ambao naamini ukifika napaswa kufurahia zaidi maisha na familia yangu bila kuwaza kufanya kazi tena. Lakini hili halitawezekana kama kazi bora na ya uhakika haitafanyika kwenye hii miaka 20 ya mpango kazi wangu.

5. Off-grid. Hapa naaminisha kuishi nje ya mji kabisa na familia yangu, mahali ambako nitafurahia maisha yangu baada ya kuikamilisha kazi kubwa iliyonileta Duniani. Kuwa na farm house ndiyo ndoto yangu kubwa. Kwa Tanzania tayari lipo eneo linalonivutia zaidi kuishi kwenye miaka 20 ijayo.

Yapo mengi ila hapa ni kwa kifupi tu. Ningependa kujua mipango yako kwa miaka 5, 10, 15 au 20 ijayo maana hapa tayari tunatofautiana umri, elimu, vipato.

Nataka kuishi kwa miaka 20 ijayo.
 
Hizi ni project writting za wahitimu wa diploma vyuoni.......sina la kusema zaidi ya kukuambia kwamba "real life is complicated and uncertain" sio bookish
 
Najua. Nakubaliana na wewe katika hili ila huu ni mpango kazi ambao naamini nitaweza kuufanikisha. Kushindwa ni sehemu ya maisha. Katika 100% nataka kufaulu kwa 70% tu katika mpango kazi wangu, ambapo nitapata miaka 10 zaidi ili kufika nilipopatarajia kwa miaka 20 na kuwa miaka 30.

Miaka 20 inanitosha kufanikisha haya.
 
Unasumbuliwa na utoto tu sio jingine, ungejua maisha yenyewe wala usingeandika hayo, haya uhusiano wote na maisha halisi kabisa, determinants za maisha ya mtu nyingi ni external 20% ndo personality yako, sijui kama unalojua hilo?
 
Kuishi kimaandishiandishi si sawa na kula ugali kwa chumvi.Ingekuwa hivyo kila mtu angekuwa yupo vema kimaisha.Stop day-dreams!!
Mtazamo wako unaweza kuwa kweli kutokana na jinsi unavyoyatazama maisha. Ningekuwa naongelea kutimiza haya kwa miama 5 ndiyo tungeita day-dreaming.

Maandishi ni dira ya kipi ninachotakiwa kufanya. Kufeli siyo dhambi, huu nu mpango kama mipango mingine. Maisha yanabadilika na kuja na sura mpya kila siku ila nina uhakika nitafikia angalau 50% ya mpango kazi wangu.
 
Unasumbuliwa na utoto tu sio jingine, ungejua maisha yenyewe wala usingeandika hayo, haya uhusiano wote na maisha halisi kabisa, determinants za maisha ya mtu nyingi ni external 20% ndo personality yako, sijui kama unalojua hilo?
Sawa.
 
Back
Top Bottom