Kwani kuna ubaya gani ukimdanganya unataka kumuoa?!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,238
103,913
Anakuzungusha sana, unakomaa wala hajali. Unaamua kupiga gia kubwa zaidi "nataka kukuoa". Si unajua kupata mume smart ni kazi? Mnyama anakuwa ameingiza Chama, Luis na Baleke na Saido kwenye 18-Huponi.

Sasa nauliza kuna ubaya gani? Kuna watu humu wanasema usimuonee huruma mwanamke
 
Hakuna ubaya maana mwanamke ukimwambia ukweli humpati…ila ukianza kumdanganya danganya unampata! 😂😂
 
Anakuzungusha sana, unakomaa wala hajali. Unaamua kupiga gia kubwa zaidi "nataka kukuoa". Si unajua kupata mume smart ni kazi? Mnyama anakuwa ameingiza Chama, Luis na Baleke na Saido kwenye 18-Huponi.

Sasa nauliza kuna ubaya gani? Kuna watu humu wanasema usimuonee huruma mwanamke
Nachukizwa sana na wanaume wanaofanya hivi, Ni kukosa utu. We fikiria binti anaenda kutambulisha kwao kuwa amepata mchumba anataka kumuoa kumbe mpumbavu anataka apige na asepe, matokeo yake binti anabaki na maumivu ya moyo na anakuwa anaona wanaume wote ni washenzi.
Ukimfanyia hivi dada yangu au binti yangu nakushughulikia mwenywe. Kama hakuelewi si unaachana naye? Kwani mwanamke yuko peke yake Duniani?
Uanaume ni kukubali na ku move on
 
Kwa wanawake wa sasa hivi ukiwaambia unataka kumuoa ndiyo unamfukuza kabisa, kama unataka kweli kumuoa tengeneza mazingira umpe mimba tuu, binti atakutafuta mwenyewe au wazazi wake watakutafuta wakusikilize unasemaje.

ILA KAMA UNATAKA KUPIGA NA KUSEPA ,USIMDANGANYE TENGENEZA MAZINGIRA YA KUMLA TUU KIMASIHARA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom