Njia gani ni bora kwa mtumishi kuhama kutoka halmashauri (local government) kwenda Taasisi zingine?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
1,465
4,675
Jamiiforums kisima Cha maarifa.

Mimi ni mtumishi Mwalimu, Nilisoma PCB advance nikapata division II point 12, nilichaguliwa computer and software engineering Lakini sikwenda, nikazamia Chaka la ualimu wa Physics Nilisoma kwa sababu ya kukosa washauri pamoja na umaskini wa home na nilitaka kuajiriwa mapema Ili nijitegemee , ni kweli baada ya kumaliza chuo nikaajiriwa, Niko na miaka 26 sasa.

Mwaka mmoja kazini sasa, nafikiria mambo mengi kuondoka hapa nilipo shida sio mshahara tulianza na Tgts D3 na Rais Mama Samia alijitahidi kuongeza ongeza (nimpongeze kwa ilo), pia anajitahidi kulipa walimu stahiki zao, kuwapandisha madaraja Pamoja na madaraja mserereko (anaupiga Mwingi) pia watumishi wengi wa halmashauri mishahara yao ni humo humo hakuna utofauti saana, Kwahiyo swala la Mwalimu kua na mshahara Mdogo kuliko watumishi wengine wa halmashauri sio kweli. labda utofauti ni kwamba Mwalimu hana Cha kuiba mpaka Mwisho wa mwezi, pia walimu hawana professional board yani mtu yoyote yule anaweza kumfanyia ujinga Mwalimu maana hana sehemu ya kuguswa mfano hao "Afsa utumishi" CWT na wenyewe wapo wapo tu kula hela ya Mwalimu wakinenepeana bila kazi yoyote Ile hiki chama kingefutwa labda ingeleta tija. Ukiwa wa tofauti wanakuona mkorofi na kukutafutia zengwe upuuzi.

Nafikiria kusoma degree nyingine kabisa mawazo yangu yakanipelekea kusoma meteorology au hiyohiyo computer and software engineering ambayo niliiacha au niende pale ATC nikapige bachelor degree in mechatronics and material engineer?

Nilianza kufanya application Mwaka huu changamoto niliyoipata ni ruhusa wanasema kupewa ruhusa kwenda kusoma degree nyingine ni ngumu, kwa mtu mwenye degree wanatoa ruhusa ya miezi 18 tu?, Hapo swala limekaaje?

Wengine wamenishauri nisome open university mambo ya procurement and supply Pamoja na mambo ya finance kitu ambacho naona kama nitarudi tu halmashauri kujipendekeza wanifanyie "recategorization" kitu ambacho sitaki. Nikifikiria kusoma masters degree ya Education au utawala Lakini naona kama aina faida yoyote kwangu, maana Kuna Mwalimu wa sekondari ana PhD Lakini njaa Kali tu.

Je nikifanikiwa kusoma degree nyingine uwezekano wa kuhamishwa kwenda wizara au Taasisi nyingine upo?
NB, Sina mtu yeyoye ambae naweza kusema Nikisoma kitu Kingine anaweza kunishika mkono hapana, au niachane navyo vyote niende VETA Nikachukue ujuzi mbali mbali nijiajiri Huku nikiwa Teacher?
 
nitarudi tu halmashauri kujipendekeza wanifanyie "recategorization" kitu ambacho sitaki.
Ndugu, kama umeajiriwa na unafikiri huwezi kujipendekeza kwa kila jambo basi hutafanya unachokitaka. Kwenye ajira lazima ujue yuko mkubwa/wakubwa wako. Na ili wakufanyia unachotaka itakubidi ujishushe mda mwingine.

Kwa mfano, unadhani utatoa wapi ruhusa ya kusoma course tofauti na ualimu kama huchezi na afisa utumishi na afisa elimu wako? Acha ubabe, kubali kuliwa ili ule.

Je nikifanikiwa kusoma degree nyingine uwezekano wa kuhamishwa kwenda wizara au Taasisi nyingine upo?
Basi sawa, umefanikiwa kuisoma hiyo degree nyingine bila kujishusha. Je utahamaje kwenda hiyo taasisi? Labda private sio taasisi ya serikali.

Kumbuka, taasisi za serikali zinachukua watumishi kwa vyeo vyao vya muundo, kule wanabadilishiwa mshahara na majukumu tu. Hawawezi kuhamisha mwalimu kutoka local government ili akawe afisa tehama kwao.

Fanya kwanza recartegorization ukiwa huko local government ili uwe afisa tehama halafu omba kuhamia hiyo taasisi kama afisa tehama.

Otherwise, ukishapata hiyo degree ya tehama kwa mfano, omba nafasi kwenye taasisi za elimu, ukifika huko ndio uwaambie umesomea tehama so wakufanyie recategorization uende tehama, (kama gape lipo)

N.B.
Kwa tabia yako ya kutojishusha, sijui hata kama hiyo barua ya kuhama utasainiwa, achilia mbali ruhusa ya kwenda kusoma
 
Ila itabdi upambane maana kama ulimsikia Rais juzi kati aliwaka kuhusu hilo suala .

Kwanza , watu kuomba sana kuhama kwenda taasisi nyingine na pili ishu za kusoma hili upelekea sana upungufu wa watumishi wa umma ..

Ushauri wangu wangu kwa vile unapata mshahara basi soma kozi kwa kulenga sehemu yenye maslahi mapana ,ili kama utasoma usisome kwa wasiwasi .

Kingine usibabaike lenga maslahi mapana ya mbeleni hizi course za mambo ya IT kwa maendeleo ya sasa unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile duniani ,ukisoma mambo ya IT Kama hiyo hapo ni magoli tu milango ikufunguka
 
Jamiiforums kisima Cha maarifa.

Mimi ni mtumishi Mwalimu, Nilisoma PCB advance nikapata division II point 12, nilichaguliwa computer and software engineering Lakini sikwenda, nikazamia Chaka la ualimu wa Physics Nilisoma kwa sababu ya kukosa washauri pamoja na umaskini wa home na nilitaka kuajiriwa mapema Ili nijitegemee , ni kweli baada ya kumaliza chuo nikaajiriwa, Niko na miaka 26 sasa.

Mwaka mmoja kazini sasa, nafikiria mambo mengi kuondoka hapa nilipo shida sio mshahara tulianza na Tgts D3 na Rais Mama Samia alijitahidi kuongeza ongeza (nimpongeze kwa ilo), pia anajitahidi kulipa walimu stahiki zao, kuwapandisha madaraja Pamoja na madaraja mserereko (anaupiga Mwingi) pia watumishi wengi wa halmashauri mishahara yao ni humo humo hakuna utofauti saana, Kwahiyo swala la Mwalimu kua na mshahara Mdogo kuliko watumishi wengine wa halmashauri sio kweli. labda utofauti ni kwamba Mwalimu hana Cha kuiba mpaka Mwisho wa mwezi, pia walimu hawana professional board yani mtu yoyote yule anaweza kumfanyia ujinga Mwalimu maana hana sehemu ya kuguswa mfano hao "Afsa utumishi" CWT na wenyewe wapo wapo tu kula hela ya Mwalimu wakinenepeana bila kazi yoyote Ile hiki chama kingefutwa labda ingeleta tija. Ukiwa wa tofauti wanakuona mkorofi na kukutafutia zengwe upuuzi.

Nafikiria kusoma degree nyingine kabisa mawazo yangu yakanipelekea kusoma meteorology au hiyohiyo computer and software engineering ambayo niliiacha au niende pale ATC nikapige bachelor degree in mechatronics and material engineer?

Nilianza kufanya application Mwaka huu changamoto niliyoipata ni ruhusa wanasema kupewa ruhusa kwenda kusoma degree nyingine ni ngumu, kwa mtu mwenye degree wanatoa ruhusa ya miezi 18 tu?, Hapo swala limekaaje?

Wengine wamenishauri nisome open university mambo ya procurement and supply Pamoja na mambo ya finance kitu ambacho naona kama nitarudi tu halmashauri kujipendekeza wanifanyie "recategorization" kitu ambacho sitaki. Nikifikiria kusoma masters degree ya Education au utawala Lakini naona kama aina faida yoyote kwangu, maana Kuna Mwalimu wa sekondari ana PhD Lakini njaa Kali tu.

Je nikifanikiwa kusoma degree nyingine uwezekano wa kuhamishwa kwenda wizara au Taasisi nyingine upo?
NB, Sina mtu yeyoye ambae naweza kusema Nikisoma kitu Kingine anaweza kunishika mkono hapana, au niachane navyo vyote niende VETA Nikachukue ujuzi mbali mbali nijiajiri Huku nikiwa Teacher?
Kama unajilipia ada kwanini wakuzuie?
 
Ndugu, kama umeajiriwa na unafikiri huwezi kujipendekeza kwa kila jambo basi hutafanya unachokitaka. Kwenye ajira lazima ujue yuko mkubwa/wakubwa wako. Na ili wakufanyia unachotaka itakubidi ujishushe mda mwingine.

Kwa mfano, unadhani utatoa wapi ruhusa ya kusoma course tofauti na ualimu kama huchezi na afisa utumishi na afisa elimu wako? Acha ubabe, kubali kuliwa ili ule.

Basi sawa, umefanikiwa kuisoma hiyo degree nyingine bila kujishusha. Je utahamaje kwenda hiyo taasisi? Labda private sio taasisi ya serikali.

Kumbuka, taasisi za serikali zinachukua watumishi kwa vyeo vyao vya muundo, kule wanabadilishiwa mshahara na majukumu tu. Hawawezi kuhamisha mwalimu kutoka local government ili akawe afisa tehama kwao.

Fanya kwanza recartegorization ukiwa huko local government ili uwe afisa tehama halafu omba kuhamia hiyo taasisi kama afisa tehama.

Otherwise, ukishapata hiyo degree ya tehama kwa mfano, omba nafasi kwenye taasisi za elimu, ukifika huko ndio uwaambie umesomea tehama so wakufanyie recategorization uende tehama, (kama gape lipo)

N.B.
Kwa tabia yako ya kutojishusha, sijui hata kama hiyo barua ya kuhama utasainiwa, achilia mbali ruhusa ya kwenda kusoma
Asante mkuu kwa kunifungua kitu nisichokijua.
 
Shukrani maana unao uelewa mkubwa wa Mambo, Je ninaweza kuomba Taasisi nyingine za elimu huku nikiwa Mwalimu wa kawaida? Inawezekana bila kua na mkono mrefu?...ninachopigania Mimi mkuu ni kufanya kazi Taasisi nyingine mfano Nikisoma mambo ya meteorology ndani ya halmashauri Kuna ofisi zinazoshugulikia hayo mambo ya Hali ya hewa?... au tuseme mechanical engineering. Kwamba hata nikirudi halmashauri wanifanyie recategorization then niombe kwenda Taasisi nyingine huku nikiwa nimeshafanyiwa?

Mfumo wa malipo wa Lawson upoje? Nimeambiwa kwamba mfano nikienda kusoma hata nikiajiriwa sehemu nyingine utazingua kwenye malipo kwa sababu Mimi tayari ni muajiriwa sehemu nyingine, au Ndio tunarudi kule kwa Afsa utumishi kunifanyia re-categorization?.
 
Sorry, naireserve hiibpost, nitakijibu baadae kidogo maana kwa sasa niko kwenye heka heka na hapa nahitaji kukufafanulia kidogo ili unielewe.

Nitarejea kwa maelezo ya kina.
 
Back
Top Bottom