Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?
Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia...
Na kubwa kuzidi yote mara nyingi wanaume ndio huwa tunaamua game ichezwe vipi kuanzia location, staili, raundi ngapi na hata kwenye suala la kuvaa helmet (conddom), wanawake uwanjani huwa wana nguvu ndogo sana ya maamuzi.
Game za kwanza najua wengi huwa tunaipiga kwa ndom, ila kuna kipindi...
Wasalamu ndugu wana JF wote.
Historia ni somo muhimu na lenye tija sana kwa kuzingatia ukweli kwamba historia inatunza kumbukumbu muhimu kwa taifa, Kuanzia ngazi ya shule za msingi mpaka vyuo vikuu somo hili limekuwa linawajengea wanafunzi , walimu na wanahistoria kwa ujumla uwezo wa kutoa hoja...
Kuna vitu vingi katika maisha yetu ambavyo vina hatari kubwa, lakini tunavichukulia poa tu na maisha yanasonga bila kufikiria athari zake. Ukija kushtuka huwezi kurudi kunyuma, na ukibahatika kunyanyuka basi unakuwa umepoteza pakubwa.
Mfano kula vitu ovyo ovyo, tunajua tunajaza sumu kibao...
Dunia sasa hivi imehamia kwenye ( computer technology) nataka nisome IT, chuo gani kizuri?
UCC au VETA? Kama ni ucc branch gani wapo vizuri? (Udsm au Posta?)
Nataka kwanza nisome kozi yupi fupi za IT then baada ya hapo ndo nitafikiri nisome certificate then Diploma.
Vitu vyangu vingi (...
Wanamudu na kustahimili uzito wa matumaini na matarajio ya wa Tanzania?
Wanathamini na kuheshimu thamani wanayopewa na wananchi?
Unaaminika kwa kiasi gani kubeba jukumu kubwa na zito la kuongoza nchi?
Nini kifanyike upinzani uwe na sura, sauti na uelekeo moja?
Hebu njoo taratibu na kwa...
Nimekuwa natafakari tambo na uongo wa viongozi wajuu wa CCM dhidi ya CHADEMA. Mpaka wachambuzi nguli kama Pascal Mayalla wamediriki kutamka kuwa CDM haijawa tayari kukabidhiwa nchi.
Nimejiuliza kipindi cha kugombea uhuru, TANU ilikuwa na watu wachache mno lakini wasomi ndo walikuwa haba...
Habari wakuu.
Nataraji kufanya biashara ya kuuza dagaa wa wakavu wa mwanza,Vijiji gani naweza kupeleka dagaa na nikawauza kwa bei ya jumla?
Ama hata isipokuwa kuuza kwa jumla ama reja reja?
Vijiji ama miji iwe Ni kuzunguuka ukanda huu wa ziwa na maeneo ya Tabora na Igunga ama ikishindikana...
Tuwe wakweli hakuna kinachouma kama kulipa kodi na unalipa huku unajua kabisa pesa hizi haziendi kuleta maendeleo ya nchi, wanaenda kunufaika familia flani ukibisha hili soma ripoti ya CAG na angalia kinachoendelea TANESCO na sisi tunaofanya biashara za mazao huwa tunapita vijijini utakubali...
Album zake ni 1.Tokooos
2.Arsenal de Belles Melodies 3.Droit Chemin 4.Tokooos II 5.Power "Kosa Leka" 6.Control 7.Formule 7.
Kwangu album kalii kutoka kwake ni control na ina vibao kama maria na flye ila album zilizo nikosha roho sana yaani kali sana ni Tokooos kuna...
Habari zenu wakuu, nimerudi tena kuuliza swala ambalo limekuwa likinipa shida sana mwezi huu nadhani akili imewaka mpaka sasa sijui mwisho ila sijakata tamaa.
Nilifungua huu uzi hapa chini nikiomba msaada kwa mwenye msaada anisaidie kunipa nyumba yake nichukulie mkopo, Bank nilizoenda zote...
Habari wakuu
Haka ni kastori kafupi namimi niwaambie leo.
Nilipokuwa Nina miaka tisa siku moja jioni wakati naenda ziwani kuchota maji jioni nilikutana na mama mweupe kidogo wa makamo Kama 23 yrs hivi amesimama kandoa ya njia niliyokuwa napita ambapo kulikuwa na kichaka pembeni yake...
Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo Yanga atatinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika na kukutana na baadhi ya vigogo na kuwafanga hapa nyumbani au ugenini kwani kwa Yanga hili linawezekana kabisa.
Hii ni kwasbabu, baada ya Yanga kutinga makundi kombe la Shirikisho na kufikia...
Habari za jumapili!
Leo nimebahatika kuusikia wimbo wa mwanadada mmoja ambaye nimemfahamu kupitia wimbo huo.
"Mnatuona Nyani" ndio jina la wimbo huo.
Huyo dada amelalama, amelalamika, ametoa dukuduku lake, ametoa yamoyoni mwake, ametoa yanayomsibu, ametoa mtazamo wake dhidi ya wale...
Humu ndani Kuna watu waliofanikiwa Lakini "Wanacode" ambayo wanahisi kwamba ni mbinu mojawapo iliowasaidia wakaanza Kuona Mwanga.
Je, ni siri gani yoyote unayoifahamu ya mafanikio? Au juhudi peke yake na consistency?
Mimi ninaona Siri pekee ya Mafanikio ni kuanza kufanya (Action) au kuanza...
Huu ni uzi maalumu kuelezea tuvitu twa ajabu ajabu ambavyo kila mmoja asipo vifanya vinamnyima uhuru wa kuwa comfortable kwenye mambo yake ya msingi.
Bwana bwana mimi binafasi nina kaugonjwa kangu ninako kaita"Toothpicks disease".
Kutokana na tabia yangu ya muda mrefu ya kupenda kusoma vitabu...
Battle hili hapa la walio kuwa kundi moja na baadae kuvunjika na kuunda Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi.
Makundi yote haya mawili yali bahatika kutoa mikwaju mikali way back naweka battle kati ya mikwaju yao maarufu miwili.
Tatu bila ya Tmk wanaume halisi
VS
Dar mpaka...
Habarini ndugu,
Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market yangu ni watu wa kipato cha chini na cha kati.
Naomba msaada wenu
Kila mechi wapo, si ya nyumbani wala ugenini. Kwasasa hata mechi za kimataifa nje na Tanzania wapo.
Huwa wanafanya kazi zao muda gani? Na huwa wanafanya kazi gani? Au ndio wana vibanda vya urithi Makumbusho?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.