Kuna tatizo gani Wizara ya Katiba na Sheria mpaka Mawaziri hawakai?

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni.

Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani?

Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015

2015 -2017Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb)
2017 - 2019
2019 - 2020
2020 - 2021
2021 - 2022
2022 - 2022
2022 - 2023
2023 -
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb)
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb)
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb)
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb)
Mhe. George Simbachawene (Mb)
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb)
Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb)
 
Badala ya kufanya kazi.wateuliwa wamekuwa wanafanya maigizo."wananchi wengi hawajui katiba","hakuna haja ya katiba mpya"

Wakati ule mchakato wa kuanzisha vyama vingi ,mchezo ilikuwa ni huu tunaona,"walisema eti wananchi wengi hawahitaji vyama vingi",LAKINI Mwalimu J.K.Nyerere akawashtukia akangilia kati na kushauri vyama vingi vianzishwe.
Ushauri:Zama zimebadilika watawala watende haki,dhamira ya dhati itumike kuweka mifumo na taratibu zenye kutatua changamoto zinazochelewesha maendeleo na haki ya mwananchi.
 
Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni.

Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani?

Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015

2015 -2017Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb)
2017 - 2019
2019 - 2020
2020 - 2021
2021 - 2022
2022 - 2022
2022 - 2023
2023 -
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb)
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb)
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb)
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb)
Mhe. George Simbachawene (Mb)
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb)
Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb)
Ukiona hivyo ujuwe hao wanaiendesha wizara hii kimazowea, sasa mambo ni "dynamic", waziri inatakiwa uwepo wake wizarani uibadili utendaji kazi wa kimazowea. Awe na authority ya kufanya Reforms, si kimazowea tu.
 
Maliasili na utalii pia plus ulinzi naona Innocent Bashungwa nae anazungushwa zungushwa tu
 
Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni.

Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani?

Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015

2015 -2017Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb)
2017 - 2019
2019 - 2020
2020 - 2021
2021 - 2022
2022 - 2022
2022 - 2023
2023 -
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb)
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb)
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb)
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb)
Mhe. George Simbachawene (Mb)
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb)
Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb)
Wanahujumu nia njema ya mama Samia ili aachane na katiba mpya....
 
Anajitengenezea visafari vya kutoa elimu ya katiba, halali kuliwa kichwa, hana akili.

SSH anataka reform, uchaguzi wa serikali za mitaa ni mwakani, hakuna pendekezo hata moja la wadau wa demokrasia lililofanyiwa kazi. Hao watu wanautayari wa kufanya hizo reform kweli??
 
Kwa hiyo Ndumbaru amekosa mlungula/ Per diem za kutoa Elimu ya Katiba kwa Watanzania?
Kwa mipango mizuri aliyokuwa nyo Ndumbaro, wananchi WOOTE wa Tanzania, Bara na Visiwani, ilikuwa wapate degree ya sheria kuielewa Katiba, kabla ya kujadiliana.
Kozi kwa watanzania ni miaka mitatu, elimu kwa njia ya posta.
Ni bilioni 9 tu zitatumika kuwaelimisha watanzania kwa miaka mitatu.
 
Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni.

Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani?

Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015

2015 -2017Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb)
2017 - 2019
2019 - 2020
2020 - 2021
2021 - 2022
2022 - 2022
2022 - 2023
2023 -
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb)
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb)
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb)
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb)
Mhe. George Simbachawene (Mb)
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb)
Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb)
Mbona hujataja Aridhi
 
Ukiona hivyo ujuwe hao wanaiendesha wizara hii kimazowea, sasa mambo ni "dynamic", waziri inatakiwa uwepo wake wizarani uibadili utendaji kazi wa kimazowea. Awe na authority ya kufanya Reforms, si kimazowea tu.
Porojo
 
Back
Top Bottom