Viongozi gani hao waliomuona “Dada wa Watu Nyani” na waimbaji wenzake?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
Habari za jumapili!

Leo nimebahatika kuusikia wimbo wa mwanadada mmoja ambaye nimemfahamu kupitia wimbo huo.

"Mnatuona Nyani" ndio jina la wimbo huo.

Huyo dada amelalama, amelalamika, ametoa dukuduku lake, ametoa yamoyoni mwake, ametoa yanayomsibu, ametoa mtazamo wake dhidi ya wale wanaomkashfu, wale wanaomtazama kama Nyani, wanaomfanyia kama Nyani.

Aaaa! Dada wa Watu Kalia. Dada wawatu kagaragara.

Hao viongozi waliomuona huyu Dada kuwa ni Nyani NI kina Nani?

Wimbo ule ulinitia huzuni, nilijikuta na ng'ata Meno, agriii! Mpaka mwisho sikusikia jina la kiongozi yeyote aliyetajwa.
Nilitaka kuwajua hao viongozi wanaomuona huyo Dada wawatu kuwa ni Nyani. Hao viongozi washughulikiwe.

Baadaye tena nasikia amekamatwa. Jamani! Embu Polisi twendeni polepole. Dada wawatu analalama, anahitaji msaada, anatoa mtazamo wake, Mbaya zaidi hakuna aliyekuwa anamjua, hata Mimi Taikon Master sikuwa namjua.
Msikilizeni, tendeni mambo Kwa utulivu, Hekima na Busara.

Hii nchi inawatu tofauti, wengine wanaona wanaonekana Nyani na watu wengine. Wengine wanawaona Nyani wengine bila ya wao kujua au Kwa kujua kupitia Matendo Yao, maneno Yao, mitazamo Yao n.k.

Nataka kujua ni viongozi gani hao waliomuona huyo Dada na waimbaji wenzake kuwa ni Nyani?

Mmemkamata ili kumsaidia awatajie hao viongozi Mtakuwa mmefanya vyema. Lakini kama ni vinginevyo mtakuwa hamtendi HAKI.
 
Ila kweli wanayotufanyia wanatuona kama nyani
 
Tumetoa muda wa kutosha kwa RPC kesho ampeleke mahakamani vinginevyo atajuta kumkamata.
 
Huo wimbo upo wapi

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Huyo dada ni mfuasi wa Mchungaji Mwakipesile wa Isyssye Mbeya. Mchungaji huyu ana bifu na TISS. Sasa amejiingiza kushambulia serikali bila sababu akisema wamemuulia mwanaye tena Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kafanya hivyo. Jamaa hashauriki, vijana wake hao waliokamatwa hawashauriki wao wanatokana na kujiona wajuaji. Kiburi, kutojinyenyekesha, ujuaji mara nyingi huenda kwenye anguko.

Sasa kumezuka wimbi kubwa la watumishi wanaosimama na kuoneshana umwamba na serikali. Hakuna duniani mtumishi wa Mungu aliwahi ishinda dola nasi wajibu wetu ni kushauri na kuiombea mamlaka na siyo kushindana nayo
 
Kumaanisha hakuna huyo Mungu wanaomhubiri.
Ukishasema mtumishi wa Mungu hakuna aliyewahi kuishinda Dola, kimantiki unaeleza kuwa hakuna Mungu.
 
Back
Top Bottom