Aina gani ya Nyumba inayofaa Kuchukulia Mkopo Bank?

Comrade Liu Yang

Senior Member
Aug 16, 2023
145
242
Habari zenu wakuu, nimerudi tena kuuliza swala ambalo limekuwa likinipa shida sana mwezi huu nadhani akili imewaka mpaka sasa sijui mwisho ila sijakata tamaa.

Nilifungua huu uzi hapa chini nikiomba msaada kwa mwenye msaada anisaidie kunipa nyumba yake nichukulie mkopo, Bank nilizoenda zote walikataa nyumba ya mtu ambae ni mwana familia.

Baada ya kugonga mwamba niliwashukru walioweza jitoa muhanga kuniamini eneo hilo mpaka mtu anaridhia kukupa hati yake ya nyumba sio masihara ndugu zangu Jamii Forums ina watu na Malaika hakika.

Basi baada ya kukaa kutafakari nimerudi tena kwenu kuuliza wajuzi...

Bank wanahitaji Mtu uwe na kiwanja ulichokiendeleza, nikawaza haraka haraka Je nikiamua kuinua nyumba ya kawaida kabisa kwa bajeti ya 3m-5m nitoe room ya vyumba vitatu tu au chumba na sebule.

Hapa naongelea nyumba ya kawaida kabisa kabisa isiyo na chembe ya mbwembwe aina yoyote ile very local house lakini perfect one ambayo mtu anaweza kuishi vizuri tu.

Je, kwa nyumba ya Chumba na Sebule na Choo au Chumba, Sebule, Sebule , kisha Baada ya kumaliza hiyo nyumba nirudi bank tena sasa kukopa.

Hii nyumba itakubalika au watataka nyumba kubwa kabiisaa hii yangu wataiona kibanda? Na Je nikishaijenga nilazima niingie nianze kuishi hapo au nikiinua tu nikaimaliza inatosha?

Labda sijaeleweka swali, nauliza kwa nyumba hiyo mkopo nitapewa? Maana bank wanaweza nipa up to 30m kwasasa kulingana na mzunguko wangu wa biashara.

Je hizi 30m wakija kuangalia nyumba wakikuta ni Local, hawatoninyima? Naomba msaada wa mawazo wakuu.

Maana malengo yangu nitoe mtaji wangu ofisini kama 3m-5m nijenge room chumba na sebule, then niende bank wanipe 30m nikitoa 5m nikirudsha kwenye mtaji nabaki na 25m ambazo zinanitosha sana.

Mawazo yenu ndugu zangu, nina hesabu ambazo sielewi nauliza ili nipate uhakika nisije choma mtaji biashara ikafa nikaishia kubaki na nyumba ambayo hata si ya ndoto au hata mawazo yangu.

Asanteni kwa mtakaoshiriki kunishauri.
 
mkopo wa nyumba au mali isiyohamishika unazingatua zaidi thamani ya mali husika.

huwezi jenga nyumba ya milioni 3,thamani ya kiwanja(eneo) milioni 5,ukapewa mkopo wa milioni 10,una nyumba ya thamanj angarau 50mln basi mkopo wa 30 milion utapata.kumbuka hiyo ni dhamana lazima izingatie rejesho kamili la mkopo na gharama zake kwanza,ndipo afisa mkopo husika atatoa greenlight ya mkopo kupitishwa.
 
mkopo wa nyumba au mali isiyohamishika unazingatua zaidi thamani ya mali husika.

huwezi jenga nyumba ya milioni 3,thamani ya kiwanja(eneo) milioni 5,ukapewa mkopo wa milioni 10.kumbuka hiyo ni dhamana lazima izingatie rejesho kamili la mkopo na gharama zake kwanza,ndipo afisa mkopo husika atatoa greenlight ya mkopo kupitishwa.
Kwa maana hiyo nyumba lazima iwe na thamani hiyo mkuu au watajumlisha kiwanja + nyumba?
 
Ukiwa huna biashara hata ue na nyumba ya ml 100 hupewi mkopo maana benki hawanunui wala kuuza nyumba, biashara yao ni pesa. Kuuza nyumba huwa ni matokeo ya mkopaji kudefault.. Kwahiyo ukijenga zako kajumba ndio itakuwa starting point yako nzuri ya kukwepa kodi na ukahamia kwako, majaribu mengne ndio njia ya kukufikisha nchi ya ahadi.
 
Ukiwa huna biashara hata ue na nyumba ya ml 100 upew mkopo mana benk hawanunui wala kuuza nyumba biashara yao n pesa kuuza nyumba ua n matokeo ya mkopaj kudefault.. kwaio ukijenga ako kajumba ndio itakua starting point yako nzur ya kukwepa kod na ukaamia kwako, majarbu mengne ndio njia ya kukufikisha nchi ya ahad.
Biashara ipo mkuu, changamoto ni nyumba tu.
 
kiwanja ni sehemu ya nyumba,kama kipo eneo lenye soko kubwa ukubwa na ubora wa nyumba unaweza usiangaliwe sana.

mfano kiwanja ukubwa huo eneo hilo ni milioni 25,hata nyumba ikisa ya milion 3,bado mkopo utakua mzuri.
Mfano kama kiwanja hakipo eneo zuri ndio wanaangalia ubora wa nyumba sasa ili wakupe huo mkopo?

Na wanajuaje thamani ya nyumba husika mkuu maana unaweza angalia nyumba ukaiona ya kawaida kumbe imekula pesa nyingi sana, gharama nyingine zinaanziaga kwenye msingi kuliko juuu.. huwa wanafanyaje mkuu hapo kwenye uthaminishaji?
 
Habari zenu wakuu,nimerudi tena kuuliza swala ambalo limekua likinipa shida sana mwezi huu nadhani akili imewaka mpaka sasa sijui mwisho ila sijakata tamaa.

Nilifungua huu uzi hapa chini nikiomba msaada kwa mwenye msaada anisaidie kunipa nyumba yake nichukulie mkopo, Bank nilizoenda zote walikataa nyumba ya mtu ambae ni mwana familia.

Baada ya kugonga mwamba niliwashukru walioweza jitoa muhanga kuniamini eneo hilo mpaka mtu anaridhia kukupa hati yake ya nyumba sio masihara ndugu zangu Jamii Forum ina watu na Malaika hakika.

Basi baada ya kukaa kutafakari nimerudi tena kwenu kuuliza wajuzi...

Bank wanahitaji Mtu uwe na kiwanja ulichokiendeleza, nikawaza haraka haraka Je nikiamua kuinua nyumba ya kawaida kabisa kwa bajeti ya 3m-5m nitoe room ya vyumba vitatu tu. au chumba na sebule

Hapa naongelea nyumba ya kawaida kabisa kabisa isiyo na chembe ya mbwembwe aina yoyote ile very local house lakini perfect one ambayo mtu anaweza kuishi vizuri tu.

Je,kwa nyumba ya Chumba na Sebule na Choo au Chumba,Sebule,Sebule , kisha Baada ya kumaliza hiyo nyumba nirudi bank tena sasa kukopa.

Hii nyumba itakubalika au watataka nyumba kubwa kabiisaa hii yangu wataiona kibanda? na Je nikishaijenga nilazima niingie nianze kuishi hapo au nikiinua tu nikaimaliza inatosha?

Labda sijaeleweka swali, nauliza kwa nyumba hyo mkopo nitapewa? Maana bank wanaweza nipa up to 30m kwasasa kulingana na mzunguko wangu wa biashara.

Je hizi 30m wakija kuangalia nyumba wakikuta ni Local,hawatoninyima? naomba msaada wa mawazo wakuu.

maana malengo yangu nitoe mtaji wangu ofisini kama 3m-5m nijenge room chumba na sebule,then niende bank wanipe 30m nikitoa 5m nikirudsha kwenye mtaji nabaki na 25m ambazo zinantosha sana.

Mawazo yenu ndugu zangu,nina hesabu ambazo sielewi nauliza ili nipate uhakika nisije choma mtaji biashara ikafa nikaishia kubaki na nyumba ambayo hata si ya ndoto au hata mawazo yangu.

asanteni kwa mtakaoshiriki kunishauri
Bank statement yako inazungusha kiasi gani kwa mwezi
Una mtaji wa bei gani?
Una miliki kitu gani kingine?
Kwa kuanzia huwezi pewa hiyo pesa wakikupa nyingi sana ni 10M tena kwa madhumuni ya kuendeleza biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtaji huo the most utapata 5 mpaka 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thamani ya dhamana yako inatakiwa iwe 125% ya mkopo unaochukua. Na hii ni forced sale value sio market value. Forced sale value ni thamani iliyoshushwa ambayo ndio hutumiwa na mabenki. Mfano una nyumba ambayo market value ni 50M (kiwanja na jengo) inapunguzwa kwa 15% (sio fixed), inakuwa 42.5M hiyo ndio forced sale value. So kwenye hiyo FSV ya 42.5M gawa kwa 125% unapata 34M hiyo ndio unastahili kuipata kama mkopo. Kwa ufupi ukihitaji mkopo wa 30M, uwe na nyumba yenye market value ya 50M.
 
Thamani ya Dhamana yako inatakiwa iwe 125% ya mkopo unaochukua. Na hii ni forced sale value sio market value. Forced sale value ni thamani iliyoshushwa ambayo ndio hutumiwa na mabenki. Mfano una nyumba ambayo market value ni 50M (kiwanja na jengo) inapunguzwa kwa 15% (sio fixed), inakuwa 42.5M hiyo ndio forced sale value. So kwenye hiyo FSV ya 42.5M gawa kwa 125% unapata 34M hiyo ndio unastahili kuipata kama mkopo. Kwa ufupi ukihitaji mkopo wa 30M, uwe na nyumba yenye market value ya 50M.
Nimeielewa sana hii mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom