gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya wanawake wanapenda wanaume wafupi?

    Mwanamke mrefu anapenda mwanaume mrefu. Mwanamke mfupi, anapenda mwanaume mrefu, Sasa mwanaume mfupi atapendwa na nani?
  2. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ni kiumbe gani hukipendi/ unakiogopa mpaka leo?

    Nimefanikiwa kua na urafiki na paka, mbwa, kuku, ngombe, mbuzi. Urafiki in a way kwamba akikuona anakufata anataka awe karibu yako. ila Binafsi nyoka ni kiumbe ninaemchukia kuliko wote, hata niende Zoo niambiwe huyu hana sumu, Kwanza ila ngozi yake siipendi kabisa.
  3. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni kabila la pande gani?

    Habari zenu ndugu wote. Naomba samahani kwa kuwa nitakuwa natuma nyuzi nyingi fupi fupi kuanzia leo hadi nimalize yaliyo moyoni mwangu. Moyoni kumejaa uzito juu ya suali zima la "Hadhi maalumu" kwa wana diaspora. kwa leo naanza kwa kuuliza suali langu la hapo juu, hivi jamani watanzania ni...
  4. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania URITHI; Mtoto wa nje alitaka nyumba zote ziuzwe ili apate hela kubwa. Ni shukrani gani hii?

    Habari wana Jamii forum. Ngoja leo nilete hii kesi niliyoishuudia kwa macho yangu. Kulikuwa na Baba mmoja na familia yake wa watoto 4, wapili ni wakiume ambae alimzaa nje na wengine 3 Wandoa wakike alizaa na mkewe. Niliambiwa hivi, Baada ya mkewake kujifungua mtoto wa kwanza ikapita kama...
  5. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kidato cha pili kuna jinamizi gani kupelekea wafunzi wengi kupata mimba?

    Ukizungumza na mabinti ambao hawakuweza kuendelea na shule kwasababu ya ujauzito, wengi wao watakwambia walipata mimba walipokuwa kidato cha pili. Sasa nauliza kidato cha pili kuna jinamizi gani?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Katibu wa UVCCM Lulandala ana umri gani? Mbona kama umri umesogea?

    Naona kama Lulandala anaelekea 50yrs ; kwanini kateuliwa kuwa katibu wa UVCCM? Lakini pia kwanini vijana wa CCM wasijichagulie katibu wao? Lini watapevuka kama hata viongozi watapangiwa?
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wapinzani tutumie mbinu gani kuwang'amua wapinzani feki na vibaraka wa CCM ambao wametukwamisha kupata ukombozi

    Tunakwamishwa na vibaraka wachumia matumbo yao kupitia siasa. Inatakiwa kuwatambua mapema na kuwakataa kwa manufaa ya ukombozi wa Mtanzania. Wametufanya sisi kama Mazumbukuku bana.
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya Pesa, Umasikini na kelele

    Mara nyingi mahala ambapo kuna Pesa au watu wamefanikiwa huwa kuna utulivu. Masoko ya matajiri (supermarkets na Malls) huwa ni patulivu kuliko uswahili masoko yetu. Wanapokaa matajiri (masaki, Oysterbay, Kapripoint (mwanza) ) huwa ni patulivu kuliko kwetu uswahilini. Maskini huwa wanakelele...
  9. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Serikali Ina mkakati gani wa kuondoa foleni ya malori Tunduma

    Takribani malori elf 10 toka nchi mbalimbali uvuka kwa mwezi mpaka wa Tanzania na Zambia mji mdogo wa Tunduma,shida kuu ni foleni sababu ya miundombinu mibovu. Unakuta foleni ya malori inafika hadi kilometers 30 sawa na kutoka Posta Dar hadi mlandizi. Yakingojea kuvuka yakiwa na mizigo ikiwemo...
  10. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Ahadi gani ukipewa na mpenzi wako, unatoa utamu fastaaaa...

    Haya mkujeee nasema mkujeeeeeeeeee mimi nikiambiwa napelekwa Santorini jamaaani,natoa yoooooooooooooooooteeeeeeee
  11. Start-Menu

    JamiiForums Tanzania Unaponunua laptop iliyotumika fanya hivi kupima battery inakaa muda gani, usitegemee kauli mali

    Walengwa ni hasa wale tunaonunua laptops zilizotumika lakini pia vyuo vinakaribia kufungua ni kipindi ambacho laptops zinanunulika sana. Unaponunua Pc ni rahisi kukagua Ram, Hard Disk, Processor, Speaker, tachi, n.k. lakini wengi wanategemea kauli mali linapokuja suala la battery, utaambiwa tu...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Namna gani unaiba mademu wakali wakiwa na wanaume zao mabishoo sehemu za viwanja./Bata

    Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye mitoko wao wanadhani Heineken na savanna ndio kila kitu. Sasa mimi silaha yangu kuu huwa ni kula...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ngozi kuwasha baada ya kuoga ni shida Gani

    Nimekuwa nataabika na tatizo hili kwa muda Sasa... Kila nikitoka kuoga basi dakika kumi nitakuwa nawashwa sehemu mbali mbali za mwili tena katika hali ya kukera kabisa.. hii husababishwa na nini
  14. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Je, Postamasta wa Zamani Macris Mbodo atakuja kufanya kazi gani? Je, Mamlaka ya Uteuzi ilichemsha kumlinda Maharage?

    Yeye mwenyewe anatuambia kuwa POSTA MASTA aliyekuwapo anafanya kazi nzuri sana. Macris Mbodo ameifanya Tanzania Posts Corporation kuwa mbele kuliko mashirika ya Posta yaliyo mengi katika bara la Afrika. Na kwa kutambua hilo yuko masomoni kujinoa ili afanye vizuri zaidi. Huku nyuma anatuletea...
  15. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Dunia na maajabu yake huyu ni mchezaji gani? 😂

  16. Bounty hunter

    JamiiForums Tanzania Kuna taarifa gani kuhusu JKT kwa kujitolea?

    Nimepata fununu kua mwaka huu JKT raia walioomba ni wengi wanaangaika kuwapunguza. Ndugu zangu, nyinyi mna taarifa gani?
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mchoro huu unahusu chama gani cha siasa?

    Nikiwa nafuatilia siasa za Tanzania na hata za east africa, huwa nazingatia zaidi tones, emotions, body language, color ya dress code ya muhusika, colar ya background au mapambo ya jukwaa au ukumbi wa mkutano na mwishowe nakua makini kuwazingatia watu wa karibu walioambatana na mwanasiasa...
  18. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ni sound track gani kali kuipita hii?

    Zipo nyingi ikiwamo furaha iko wapi ila hii naipenda zaidi https://youtu.be/1ecD4YhxBFs?si=9gt_nHJi2_zprqit
  19. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Raisi wetu Samia Suluhu, tumwombee dua gani Watanzania ili aachane na Viongozi wasiofaa?

    Tanzania ni nchi moja nzuri sana tena saaana, ila haijabahatika kuwa na mwendelezo wa viongozi wazuri wenye uchungu na nchi Ukweli napenda nisisitize, 17 march 2023, TANZANIA ilipoteza kiongozi mwenye TANZANIA yake hata kama hatutakubaliana wote. Kwa mara ya kwanza nilisikia na kuona maajabu...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si Ujinga; Maharage Chande anafanya biashara gani na TTCL? Kwanini Biashara hiyo inafichwa?

    Tunauliza haya kwa uzuri tu, wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali, na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa Umma hatuamini kama ni makosa kujua taarifa zake. Mimi mwenyewe ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa pia, kwahiyo si ajabu mtu mwingine kufanya biashara. Bali kikubwa ni biashara...
Back
Top Bottom