Kuna siri gani kati ya mabasi ya mikoani na hizi hoteli wanazosimama kulisha abiria?

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Apr 20, 2008
277
548
Je, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na;

Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini kimsingi unakula makapi! Chipsi na zile nyama choma haviivi inavyotakiwa.

Mazingira mazima hasa chooni machafu na yasiyoridhisha.

Hapa shida ni nini wakuu? Maana siamini kama hakuna wawekezaji wanaoweza kuweka mzigo huko na kutoa huduma ya kueleweka.
 
Huwa kama sio hotel ya wenye mabus basi hayo mabus wamiliki huwa wanapata comission kila baada ya muda fulani.

Yani utakuta mwenye hotel anakula deal na mwenye bus zikipita hapo kwa mwezi anampatia commission kiasi fulani.

Kiukweli kama unasafiri na nilazima ule njiani basi bora tu uandae msosi wako nyumbani ubebe take away. Otherwise ni heri ukanunua vi bites bites tu na maji maana kinachoendelea ni wizi mtupu.

Serikali iingilie kati.
 
Je, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na;

Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini kimsingi unakula makapi! Chipsi na zile nyama choma haviivi inavyotakiwa.

Mazingira mazima hasa chooni machafu na yasiyoridhisha.

Hapa shida ni nini wakuu? Maana siamini kama hakuna wawekezaji wanaoweza kuweka mzigo huko na kutoa huduma ya kueleweka.
Tatizo unapanda mikweche. Panda ma bus ya maana uone huduma zao
 
Je, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na;

Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini kimsingi unakula makapi! Chipsi na zile nyama choma haviivi inavyotakiwa.

Mazingira mazima hasa chooni machafu na yasiyoridhisha.

Hapa shida ni nini wakuu? Maana siamini kama hakuna wawekezaji wanaoweza kuweka mzigo huko na kutoa huduma ya kueleweka.
Wenzako wanalipwa kupeleka wateja hapo ambao ni nyie abiria na huduma zengine wanapata Bure wakiwa kwenye hizo hotel
 
Inategemea unapanda bus Aina gani huwezi kulipa nauli 45000 kufika Arusha then ukapelekwa hotel uchwara
wakuu, hapa yanaongelewa mabasi ya umma haya ya kwenda mikoani.

sio usafiri binafsi maana huo unaweza kusimama popote.

mabasi ya umma mengi yanasimama kwenye hotel izoizo haijalishi iyo basi umelipa pesa ngapi.

mabasi yanayosimama hotel yenye huduma nzuri yapo ila ni machache sana.
 
Back
Top Bottom