App gani za Tanzania unazo kwenye simu yako?

KENGE 01

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
1,592
3,839
Na Bwn Kenge!

"Entire third world shall change when consumers turn into producers" Ni Maneno ya mwalimu mmoja aliyekua akijibu swali la Mwanafunzi aliye Uliza "Ni lini Africa(Dunia ya 3) itaacha kutegemea Dunia ya kwanza...Mwalimu huyo alijibu ni ile siku watumiaji(Consumer) wageukapo Wazalishaji(Producer)..Basi tuachane na hizi story za Shigongo.Twende kwenye Mada

Ni Application gani Made in Tanzania unayo na unatumia kwenye Mishe za kila siku.?

Kwa mujibu wa Takwimu zinaonesha App inayoongoza kwa kudownlodiwa ukanda huu wa EAC ni Mange Kimambi App Inatia ukakasi kidogo.Hapa wengi watasema hawatumii hiyo App lakini "Namba hazidanganyi" .

Ukiachana na WhatsApp,Telegram,X na Social Media App zote hakuna App ya kiTanxania ambayo ukienda abroad wanaijua.kifupi hakuna tunachoweza kujisifia.Wengi ukitoa JF na za Miamala ya simu(Mpesa App,Airtel App etc).Hakuna App ya hapa nchini ya kujivunia??

Je Developer ni kweli wameshindwa kuja na Project za kufanya Nchi ijivunie?Mbona kudevelop App inazidi kuwa rahisi kila uchwao.Ni nini hasa kinachofanya tukose App za kujivunia.?

Hizi ndio App made in TZ zinazofanya vizuri 2023.
1.Mange App(Umbea)
2.Millard Ayo App(Habari)
Screenshot_20231118-225832.png

3.Swahiliflix(Movies na Series)
4.Azam max App(Online TV)
5.Jumia (E-commerce)
6.Tunzaa(E-commerce)
7. Yanga App
Screenshot_20231118-230010_1.jpg

8.Simba App
Screenshot_20231118-230041_1.jpg

Ukitoa JF,wengi watasema Uber,Bolt ni za TZ..Hapana hao wote ni project za Mabeberu tena huko kwao kuna UberFood n.k

Pia ukitoa Mpesa,Airtel,Crdb,NMB App nyingine ni hizi za Mikopo..Aisee kuna utitiri wa App za mikopo yani kila kona.

Kuna yule Benjamin Fernandez wa NALA.Naona alikosq sababu tu ya kuwaelezea waTanzania ukweli akaamua kutupia Lawama Serikali kwamba wamemnyima vibali..ila kiukweli aliona akijenga HQ hapa nyumbani atachelewa sana kufika duniani(Kukuza Soko,kwamaana Duniani kashafika) Akaamua kujenga Kenya...Wakenya kidogo wameadjust kwenye Tech hata Kikuu nafkiri ni Yao
Screenshot_20231118-230412_1.jpg

Kuna kipindi WhatsApp ilipata itilaf ya kiufundi ikawa down kwa masaa kadhaa nchi nzima ikawa kimyaa.Je Siku wakisema washushe App kwa siku au Miezi si vitaumana?Kukosa mbadala ni kitu kibaya sana thats why mwalimu akasema Tutabadilika siku ambayo Consumer tukiamua kuwa Producer Kwa lugha ya Tech tutaendelea kuwa End-User na wao mabeberu wataendelea kuwa Developer.

JE!wewe kama Mtanzania unatumia App gani Made in TZ na unapenda mfano wa App gani iwepo TZ??

Nawasilisha!!
 
Na Bwn Kenge!

"Entire third world shall change when consumers turn into producers" Ni Maneno ya mwalimu mmoja aliyekua akijibu swali la Mwanafunzi aliye Uliza "Ni lini Africa(Dunia ya 3) itaacha kutegemea Dunia ya kwanza...Mwalimu huyo alijibu ni ile siku watumiaji(Consumer) wageukapo Wazalishaji(Producer)..Basi tuachane na hizi story za Shigongo.Twende kwenye Mada

Ni Application gani Made in Tanzania unayo na unatumia kwenye Mishe za kila siku.?

Kwa mujibu wa Takwimu zinaonesha App inayoongoza kwa kudownlodiwa ukanda huu wa EAC ni Mange Kimambi App Inatia ukakasi kidogo.Hapa wengi watasema hawatumii hiyo App lakini "Namba hazidanganyi" .

Ukiachana na WhatsApp,Telegram,X na Social Media App zote hakuna App ya kiTanxania ambayo ukienda abroad wanaijua.kifupi hakuna tunachoweza kujisifia.Wengi ukitoa JF na za Miamala ya simu(Mpesa App,Airtel App etc).Hakuna App ya hapa nchini ya kujivunia??

Je Developer ni kweli wameshindwa kuja na Project za kufanya Nchi ijivunie?Mbona kudevelop App inazidi kuwa rahisi kila uchwao.Ni nini hasa kinachofanya tukose App za kujivunia.?

Hizi ndio App made in TZ zinazofanya vizuri 2023.
1.Mange App(Umbea)
2.Millard Ayo App(Habari)
View attachment 2818322
3.Swahiliflix(Movies na Series)
4.Azam max App(Online TV)
5.Jumia (E-commerce)
6.Tunzaa(E-commerce)
7. Yanga App
View attachment 2818323
8.Simba App
View attachment 2818324

Ukitoa JF,wengi watasema Uber,Bolt ni za TZ..Hapana hao wote ni project za Mabeberu tena huko kwao kuna UberFood n.k

Pia ukitoa Mpesa,Airtel,Crdb,NMB App nyingine ni hizi za Mikopo..Aisee kuna utitiri wa App za mikopo yani kila kona.

Kuna yule Benjamin Fernandez wa NALA.Naona alikosq sababu tu ya kuwaelezea waTanzania ukweli akaamua kutupia Lawama Serikali kwamba wamemnyima vibali..ila kiukweli aliona akijenga HQ hapa nyumbani atachelewa sana kufika duniani(Kukuza Soko,kwamaana Duniani kashafika) Akaamua kujenga Kenya...Wakenya kidogo wameadjust kwenye Tech hata Kikuu nafkiri ni Yao
View attachment 2818326

Kuna kipindi WhatsApp ilipata itilaf ya kiufundi ikawa down kwa masaa kadhaa nchi nzima ikawa kimyaa.Je Siku wakisema washushe App kwa siku au Miezi si vitaumana?Kukosa mbadala ni kitu kibaya sana thats why mwalimu akasema Tutabadilika siku ambayo Consumer tukiamua kuwa Producer Kwa lugha ya Tech tutaendelea kuwa End-User na wao mabeberu wataendelea kuwa Developer.

JE!wewe kama Mtanzania unatumia App gani Made in TZ na unapenda mfano wa App gani iwepo TZ??

Nawasilisha!!
CRDB Bank, na MPESA tho sijui kama ni za Bongo
 
Back
Top Bottom