gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Toka Dotto Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?

    Wakuu kwema? Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo? Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea...
  2. JamiiForums Tanzania Drama haziishi. Tujuzane huko ulipo sukari inauzwa bei gani?

    Tusikwepe ukweli kwamba kipindi cha mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadan, kimekuwa ni kipindi kinachokuja na neema ya unafuu wa maisha kwa jamii hususani hata wale wasiofunga yaani Wagalatia na wasio na dini. Unafuu wa maisha unatokana na kwamba, Wachuuzi wengi wanachuma rehma na fadhila zitokanazo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani inaweza ingiza atleast faida ya TZS 5M kama nikiwekeza TZS 30M?

    Habari wana jf, Naomba mwenye business idea ambayo nikiwekeza 30m naweza pata faida ya atleast 5m per month.
  4. JamiiForums Tanzania Je, unatamani wasanii gani wafanye ngoma pamoja?

    Binafsi kuna collab natamani zingetokea sio kwa bongo tu mpaka mbele, kwa mfano; 1. Jay Melody ft Mbosso 2 Diamond Platinumz ft Yemi Alade(najua wamewahi fanya ila ilikuwa ni zamani wakati mond hana umaarufu) 3. Kaligraph Jones ft Darassa 4. Ruger ft Rema 5. Jason Derulo ft Chriss Brown 6...
  5. JamiiForums Tanzania Neno gani la kwanza huwa unamwambia mwenza wako baada ya kumaliza faragha?

    Baada ya minyanduano ya hapa na pale, neno gani la shukurani huwa unamwambia mwenza wako?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wakuu kufahamu hii miwani lens gani

    Msaada wakuu naomba kufahamu hii miwani ni lens gani na bei yake Kwa anauefahamu
  7. JamiiForums Tanzania Namuonea huruma binti yangu, sijui ataolewa na kijana wa aina gani

    Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa, 1. Wabahili 2. Wanapenda mtelemko 3. Wanalishana ujinga sana 4. Hawana hofu ya Mungu Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible? Vidume vya zamani vinaenda porini...
  8. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mna mpango gani na Dodoma?

    Salaam, Shalom!! Tumeona maandamano katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza. Nia ya maandamano ni kuamsha umma kudai HAKI zao na kushinikiza Serikali kupunguza Kodi Ili kuondoa mfumuko wa bidhaa, Kupata Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote, nk nk Na...
  9. JamiiForums Tanzania Nitumie vigezo gani kununua pikipiki used

    Jamani nimetafakari kuhusu biashara zangu nikaona bila kuwa na usafiri wangu binafsi nitaendelea kuteseka mno kwa kudandia dandia za watu. Nimeamua kutafuta usafiri wangu binafsi kutoka kwa mtu (watu) yaani used nimepata tatu zote tvs. Moja namba D sikusoma speedometer ya pili namba C...
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni bei ya Laptop yenye specifications hizi

    Naombeni bei ya Laptop yenye specifications hizi Mwenyenayo
  11. JamiiForums Tanzania Hili ni zao gani?

    Linastawi Tanzania? Linatumikaje?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Je, mikutano miwili ya China ina maana gani kwa Afrika?

    "Wakati Mikutano Miwili" inafanyika wiki hii, dunia nzima sasa inaangazia tena China. Mikutano Miwili yaani Bunge la Umma na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa ya kila mwaka ni dirisha muhimu kwa dunia kutazama na kuifahamu China. Hivi karibuni, mkutano wa pamoja wa wataalam wenye kaulimbiu ya...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Happy Women's Day: Una ujumbe gani kwa wanawake leo Siku ya Wanawake Duniani?

    Wakuu mpo salama? Siku ya Kimataifa ya Wanawake tarehe 8 Machi, ni muhimu katika kutambua jitihada, harakati na mchango wa Wanawake Duniani kote Tunasherekea mafanikio ya Wanawake katika nyanja mbalimbali za Maisha kama vile mafanikio binafsi, kihistoria, kiuchumi, kisayansi, kisiasa na...
  14. JamiiForums Tanzania Una tabia gani za kizee?

    Salaam Wadau? Katika maisha yetu tunajikuta tunafanya matendo mbalimbali kila siku. Kuna namna fulani unaweza kujikuta wewe ni kijana lakini baadhi ya matendo yake ukijitafakari unaona kabisa hayaendani na umri wako. Kwa upande wangu najikuta mtu mzima kwa kupenda nyimbo za Wazee wa zamani...
  15. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe alikuwa na nafasi gani ndani ya ACT Wazalendo?

    Haya wajuba wazee wa siasa za Bongo muje munieleze vizuri. Zitto Kabwe alikuwa na nyadhifa gani ACT Wazalendo? Wanahabari wetu wanaishia tu kutuambia kuwa alikuwa kiongozi wa chama.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Offgrid forever: Kwa Tanzania unahitaji pesa kiasi gani kuwatolea nje Tanesco ujitegemee umeme wako kwa matumizi ya nyumbani?

    Ni kuhusu kung'oa kabisa nyaya zao za Tanesco, Mita yao iwe toy ya mtoto kuchezea. Ni nyumba yenye watu 7 TV ipo on kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nne usiku, Fridge haizimwi, Pasi asubuhi na usiku Kucharge simu kwa sana kwa siku ni kama unit 4
  17. JamiiForums Tanzania Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Wadau wiki mbili zilizopita, dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua China plaza. Walipompeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka. Juzi rafiki yangu, google pixel 7...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada je asome kozi gani katika hizi?

    Kuna ndugu yangu ni mtumishi wa serikali anataka kwenda kujiendeleza/kuongeza maarifa mengine anaomba msaada wa mawazo je ni kozi gani akasome kati ya hizo? NB: Ana vigezo vya kusoma hizo kozi zote. 1. Bachelor of Human Resource Management -mzumbe Dar 2. Bachelor of Science in Software...
  19. JamiiForums Tanzania Hali gani ilikufanya ujiulize uwepo wa Mungu?

    Najua wengi tunapitia changamoto mbali mbali zinazopelekea kujiuliza kama kweli Mungu yupo. Binafsi kuna changamoto nazipitia ambazo mara kadhaa zimenifanya nijiulize hili swali. Lakini kitendo cha kwamba bado naishi na sijapata hata nguvu za kuumaliza uhai wangu mwenyewe naamini kweli Mungu...
  20. JamiiForums Tanzania Ulijitafuta ukajipata kwenye maisha ukiwa na umri gani?

    Ndugu zangu safari ya maisha ni ndefu sana kila mmoja ana safari yake, wapo waliotusua kwa mateso makali sana. Wapo waliotusua kiurahisi hawa huenda walikuta tayari njia imeshatengenezwa hivyo kufanikiwa haikuwa kazi kubwa sana. Lengo la kuleta uzi huu ni kuwatia moyo wale ambao wanajiona muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…