fursa

  1. MnllnrD

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapinduzi ya Tatu ya Internet (Web 3) na Fursa Zake kwa Kijana wa KiTanzania

    Vijana wengi tunapenda kutumia internet kufanya mambo yetu mbali mbali ikiwemo, kuperuzi katika mitandao mbali mbali ya kijamii, kutumiana jumbe, kuangalia video na pia kujifunza vitu mbali pia kujiburudisha kwa kucheza michezo mbali mbali inayopatikana mitandaoni maarufu kama games. Lakini je...
  2. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwekezaji wa kumbi na maeneo ya starehe vijijini ni fursa kubwa kwa sasa na sio kilimo na ufugaji pekee

    Inafahamika kuwa kilimo na ufugaji ndio fursa pekee maeneo ya vijijini. Ni kweli ni fursa kubwa asilimia 98 ya wakazi waishio vijijini wanajishughulisha na kilimo pamoja ufugaji kuendesha maisha yao. Wanauza mazao na mifugo na kujipatia fedha nyingi wakati wa mavuno ,fedha zinakuwa ndani muda...
  3. Adili Utotole

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wilaya ya Kiteto na fursa ya mashamba kwa zao la alizeti

    Wilaya ya Kiteto ipo Kusini mwa mkoa wa Manyara. Kiteto ina kilomita za mraba 16,685 na jumla ya wakazi 244,669 kwa mujibu wa Senasa ya mwaka 2012. Upande wa Mashariki Kiteto imepakana na mkoa wa Tanga , Kusini mkoa wa Dodoma, Kusini Mashariki Mkoa wa Morogoro upande wa Kaskazini...
  4. Yazidu Hamza Bitika

    JamiiForums Tanzania Anguko la Rais Samia Suluhu Hassan lipo mikononi mwetu, tusimuangushe, tupambane kwa pamoja kukuza uchumi wetu kwa kuchapa kazi

    Habari za wakati huu enyi walimwengu wa Karne ya mwisho wa dunia, mliopo katika ardhi yenye baraka ya Tanzania, na hata msiokuwa Tanzania. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Awali ya yote nipende kukushukuru wewe unayesoma makala hii kwa kutenga muda wako ili uweze...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukosefu wa ajira unavyotoa fursa kwa wapigaji (matapeli)

    UKOSEFU WA AJIRA UNAVYOTOA FURSA KWA WAPIGAJI (MATAPELI) Kila mwaka vijana maelfu kwa maelfu wanahitimu vyuo vya kati pamaoja na vile vya elimu ya juu. Kundi hili ni wale wahitimu wa fani mbalimbali kama vile mafundi, walimu, madaktari, wahasibu, mahakimu, nakadharika. Wahitimu hawa, wanahitimu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Funguo za kupata fursa zaidi

    Kwa majina naitwa Steven J ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo cha Dodoma, Shahada ya utawala katika elimu. Naomba nikuletee makala fupi kuhusiana na Funguo za kupata Fursa zaidi, ambavyo ni vitu nilivyojifunza kupitia maisha niliyoyaona kwa watu lakini pia niliyoyaishi mimi mwenyewe. Makala...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Vazi la Taifa: Nchi yetu imepata fursa nyingine ya matumizi mabaya ya rasilimali

    Na Ndesumbuka Merinyo Mbunifu wa Mavazi Afrika Sana Kwa mara ingine hivi karibuni tumetangaziwa na Waziri mwenye dhamana na utamaduni wa taifa kwamba imeundwa kamati ya "kutafuta" vazi la taifa. Hii ni mara ya tatu kwa serikali kufanya jambo hili. Mara ya kwanza ilikuwa miaka ya 2003-4 wakati...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Vijana kujua fursa zilizopo kwenye kilimo

    Vijana wengi nchini kwetu Tanzania wanalichukulia suala la kilimo kama ni la kimasikini na lisilo wahusu. Vijana wengi hasa wasomi tunaomaliza Vyuo Vikuu nchini tunalalamika ajira hakuna ni kweli lakini pia yatupasa sisi kufikiri kwa upana ni kwa namna gani tunaweza kutumia elimu tuliyoipata...
  9. Vampirez

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kujua hizi kozi utofauti wake na fursa zake

    Habari wana JF, Naitaji msaada wa kujua hizi kozi utofauti wake na fursa zake, na ipi ni bora zaid kwa soko walau kidogo tu. 1) Bachelor of Accounting and Finance 2) Bachelor of Accounting and Taxation 3) Bachelor of business Information and communication technology.
  10. Tape measure

    JamiiForums Tanzania SoC02 Athari na Fursa za utajiri kwenye Teknolojia ya Intaneti

    Uvumbuzi wa teknolojia ya intaneti/mtandao ulianza mwaka 1966 na kupamba moto mwanzoni mwa mwaka 1999 hii ilibadilisha kabisa namna binadamu wanavyofanya shughuli zao na kufanya dunia kuwa kama kijiji. Kila vumbuzi zina madhara yake kwa kuwa kitu kinapokuwa kigeni huendelea kutumika na matokeo...
  11. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Anguko la Euro; Je, ni fursa au hasara kwa nchi za kiafrika?

    Habari wakuu nawasalimu, Siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa pesa ya ulaya ikipoteza thamani na kuwa sawa na dola ya kimarekani. Huku Urusi wakiendelea kupokea malipo yote kwa pesa yao, na India wakitaka kuanza kufanya miamala yote kwa pesa yao(rupee). Je, hili linatafsiri gani kwa nchi za...
  12. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Fursa kadhaa za Biashara / Ujasiriamali Abraar (Waja Wema)

    Abraar (waja wema) Asalaam Alaikum. Hapa Abraar Complex licha ya kuwa na kituo cha elimu "Abraar EducationCentre", pia tuna kituo cha biashara na ujasiriamali "Abraar Business Centre" chenye vitengo kadhaa ambavyo vyote vimelenga kufanya biashara na ujasiriamali utaowezesha (empowerment)...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rayvanny aaga rasmi WCB- Wasafi, ashukuru kwa fursa aliyopewa ya kuwa mwanafamilia wa Wasafi

    Msaani Rayvanny ameweka vedio fupi kwenye akaunti yake ya Instagram, anayoeleza kuwa alikuwa WCB, Wasafi kwa muda wa miaka 6, amepata vitu vingi ikiwemo tuzo kubwa mbalimbali pia kuwa msanii wa kwanza kupanda katika majukwaa makubwa Duniani. Amesema kuwa anamshukuru Diamond kwa kumpa nafasi...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Wakuu hizi Fursa maliasili zitatoka Lini?

  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa

    Rais Samia Suluhu Hassan kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa. RAIS Samia Suluhu Hassan yuko nchini Senegal kuhudhuria mkutano wa ngazi ya juu wa utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Kimataifa (IDA20), Mkutano huu utawezesha nchi ya...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walimu wa Kenya changamkieni fursa kama kawaida, Uganda yarasimisha Kiswahili

    Sasa Kiswahili ni lugha rasmi Uganda, na kitatahiniwa kuanzia shule za msingi hadi sekondari, hii fursa nzuri kwa walimu wetu hususan ale ambao ako vizuri kingereza maana lazima upate pakuanzia kuwafunza Kiswahili..... Kampala. Uganda’s cabinet on Tuesday July 5, approved the implementation of...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wameshaanza kupigana vikumbo wakipigania fursa ya kuijenga upya Ukraine baada ya vita: Wanajua pesa ipo-ile iliyozuiwa ya Urusi na Warusi!

    Mabeberu hawana kabisa mshipa wa aibu hata kidogo!! Wakati ikraine inaambulia kipigo kikali toka kwa urusi na watu wengi wanauawa, mawazo ya mabeberu sasa hivi ni kupigania fursa ya kuijenga upya ukraine baada ya vita. Hao ndio mabeberu!! Poland iliyokuwa inajitia kimbelembele imeanza kulalamika...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara Ngudu, Kwimba

    Kwema wadau poleni na majukumu Nina swali kidogo naomba tusaidiane kuhusu kata ya Ngudu, kwimba. Je Ngudu, Kwimba kuna fursa gani nzuri za biashara zinafaa kuwekeza kule kwa wakati huu?
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote, Juni 27, 2022

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Sherehe ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa sawa kwa wote (Silver Jubilee of Equal Opportunities for All Trust Fund - EOTF ) katika Ukumbi wa JNICC - Dar es Salaam leo tarehe 27 Juni, 2022. Rais Samia ameanza kuzungumza, ameanza kwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa BRICS waleta fursa mpya kwa Afrika

    Mkutano wa 14 wa viongozi wa nchi za BRICS utafanyika hapa Beijing kwa njia ya mtandao. Kaulimbiu ya mwaka huu ya BRICS ni “Kujenga uhusiano wa kiwenzi wa hali ya juu, kuanzisha kwa pamoja zama mpya ya maendeleo ya kimataifa”. Likiwa jukwaa la ushirikiano kati ya nchi zinazoendelea, BRICS...
Back
Top Bottom