fursa

  1. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania World Bank wadhihirisha Dawa za wazungu ni fursa inayowatajirisha

    Benki ya dunia kupitia moja ya blogi yao wanakiri kabisa kwamba fursa hii imerahisishwa na uwepo wa biashara ya kimataifa. Uwepo wa soko huria pamoja na mambo mengineyo yanayorahisisha biashara ya kimataifa imekuwa chachu kwa wazungu wanaotengeneza magonjwa (wasiwasi ) na kuyasambaza...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kuboresha Vituo vya Walimu kwa lengo la kutoa fursa kwa Walimu kupata mafunzo wakiwa kazini

    Serikali imesema inaboresha vituo vya walimu kwa lengo la kuendelea kutoa fursa kwa walimu kupata mafunzo wakiwa kazini ili kuwejengea uzoefu. Hatua hiyo inakwenda sambamba na maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mitaala ili kuwa na wahitimu wenye ujuzi na...
  3. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Ajira ya IT

    Abraar Computer Class. Fursa ya ajira ya kudumu. Kuna nafasi ya ajira ya Mwalimu wa kufundisha "short courses" za Basic Computer Applications. Mwalimu awe na uwezo wa kufundisha kwa vitendo (practical) kwa aslimia 90 na theory asilimia 10, kuanzia watoto wadogo mpaka watu wazima adult...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nasikia vibuyu vinaliwa, ni kweli?

    Na ni fursa gani zingine za kichumi zinatokana na vibuyu? Wapi Tz vinalimwa sana?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ulezi wa wanyama Kenya: Fursa mpya ya ajira Kenya

    Kwa wale wanaopenda wanyama,nchini Kenya kuna fursa kubwa ya kulea wanyama kama paka na mbwa. Malipo ya kazi hii ni shilingi 1000 ya Kenya sawa na shilingi 18000 ya Tanzania kwa saa. Kazi ya mlezi wa mnyama ni kumpa chakula ,kucheza naye, kumsafisha na kumpeleka hospitali mnyama Kabla...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Fursa za Ajira na Kazi kwa Vijana ni Muhimu kwa Maendeleo ya Dunia

    Kazi\ajira ni sehemu muhimu ya maisha ya watu. Ina maana kubwa zaidi ya malipo anayopata mtu. Inamaanisha kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi binafsi kuhusu jinsi anavyotaka kuishi maisha yake. Hata hivyo, wapo ambao wanakabiliwa na ukosefu wa kazi/ajira za kuwawezesha kiuchumi hivyo kuathiri kwa...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Wapigaji wamgeuza Sabaya fursa

    Baada ya kuenea taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kumchangia Sabaya, nimefuatilia na kugundua kuwa hakuna mchango wa maana zaidi ya kikundi Fulani Cha Wapigaji wanaotaka kumfanya Sabaya fursa. Mkumbuke wakati wa awali wa kesi yake liliibuka kundi kama hili likachangisha Watu na...
  8. Kitandu Nkoru

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

    Taarifa hiyo kwamba raia wa Zimbabwe wanauza vidole vyao vya miguuni ili kukabiliana na umasikini imesambaa sana nchini Nigeria. Mwanablogu mmoja wa Zimbabwe amedai kwamba biashara hiyo inafanyika katika kituo kimoja cha maduka katika mji mkuu Harare. Inanukuua ujumbe wa WhatsApp ukiwa na...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kumbe Watanzania Wana Uwezo Kuwa Mabilionea, Walikosa Mitaji na Mbinu!. TotalEnergy Mkombozi, Yamwaga Fursa za DODO Nchi Nzima!. Tuchangamkie Fursa?.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa". Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri sana yenye Rasilimali lukuki, ila watu wake ni masikini Kwa Umasikini wa files. "Umasikini m-mbaya kabisa ni umasikini wa fikra"-JK Nyerere...
  10. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Fursa usafirishaji wa bidhaa kwenda visiwa vya Comoro

    Biashara ya usafirishaji wa bidhaa Kati ya Tanzania kwenda visiwa vya Comoro umeendelea kuwa changamoto kutokana na uchache wa Vyombo na baadhi ya vyombo kutokidhi uwezo wa speed na uhitaji wa Mzigo kufika haraka. Mizigo inayotoka Tanzania kwenda Comoro ni Vyakula, Vinywaji,vifaa vya...
  11. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ni Muhimu Sana Kuwajumuisha Watu Wenye Ulemavu Katika Fursa za Ajira

    Watu bilioni moja (takribani asilimia 15 ya idadi ya watu duniani) wana ulemavu na takribani milioni 785 kati yao wana umri wa kufanya kazi. Kote duniani, watu wenye ulemavu wanakumbana na viwango vya juu vya ukosefu wa ajira kuliko watu wasio na ulemavu. Wanapoajiriwa, pia wana uwezekano...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wanaobahatika kuwa Marais wa nchi hii wanapoteza fursa ya kuingia katika historia ya kudumu kwa kushindwa tu kuwapa Watanzania Katiba Mpya

    Huu ndio ukweli mchungu kwa wote waliowahi kuwa Maraisi wa nchi hii baada ya Mwalimu Nyerere kuondoka madarakani.Raisi Mstaafu Kikwete alikaribia sana kupata nafasi hii ya kihistoria ila inawezekana alipotoshwa na wenzake ndani ya chama na huenda hili ni jambo analolijutia katika maisha yake na...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Fursa Congo: Sasa tuboreshe Tazara kuwa SGR, njia nne Mbeya -Songwe na tujenge Barabara na reli ya Kisasa hadi bandari ya Kalemi, Katavi

    Baada ya DRC kuingia rasmi EAC , mataifa makubwa katika Jumuiya hii Uganda Kenya na Tanzania,yanaendelea kupambana kukamata fursa ili kushika soko la nchi hii yenye watu zaidi ya Milioni 100 Wakati Uganda akijenga Barabara kuingia majimbo ya kaskazini mwa Congo, Kenya anafungua Ofisi Mombasa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha parachichi kimekuwa fursa kwa vijana wasio na ajira

    Kilimo cha parachichi kimekua n fursa sana kwa vijana kulingana na uhalisia wa soko kubwa lililopo ndan na nje ya nchi. Unaweza kutengeneza pesa kwa kuuza miche ulio iandaa au kuiotesha wewe mwenyew, matunda na kufanya biding na mengineyo. Tunawezaje kuotesha miche na kujipatia pesa, nataman...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Fursa pekee zinazopatikana kwa mwalimu wa Tanzania

    Nimekuwa mwalimu wa Serikali tangia mwaka 2015, niliyajua haya kabla ya kuajiriwa na baada ya kuajiriwa nimeyathibitisha, ualimu ni moja ya kazi ambazo zinatoa nafasi kidogo sana kwa wajiriwa kufanikiwa kiuchumi kiasi kwamba mtumishi yoyote ukiijitambulisha ni mwalimu watu hukuunganisha na...
  16. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali itoe fursa ya watumishi waliotumikia kwa zaidi ya miaka 15 kustaafu kwa hiyari

    Sijuwi leo nililalia ubavu gani! Nimeamka na wazo hilo hapo juu. Ni baada ya wiki iliyoishia jana kupokea simu nyingi mno za ndugu na rafiki zangu kuomba ushauri na misaada mbalimbali. Elimu yetu Bado haijabadili mitizamo yetu kuwa kusoma ni kuajiliwa haswa Serikalini na si vinginevyo. Ufike...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana mwenzangu mkoa wa Iringa muaminifu na muona fursa tuje tufanye jambo

    Habari. Mimi nina mpango wa kuhamia Iringa. Ni jinsi ya kiume. Natamani sana kufahamiana na wenyeji, mtu mchakarikaji na mwenye maono na mwenye hofu ya Mungu. Sijali jinsi wala dini. Yoyote karibu. Kwa mawasiliano zaidi pm iko wazi
  18. aleesha

    JamiiForums Tanzania Kati ya watanganyika na wazanzibari, Nani wananufaika zaidi na fursa za upande mwingine?

    Je wazanzibari wananufaika na fursa za bara Au wabara wananufaika na fursa za Wazanzibari? Kipindi hiki nimeona wabara wakilalamikia sana Wazanzibari mpaka kufikia hatua wanatamani katiba ya Zanzibar ibadilishwe ambayo imekuweko miaka na miaka. Kwa mfano suala la umiliki wa Ardhi watanganyika...
  19. n-propanol

    JamiiForums Tanzania Fursa za Biashara Uganda

    Habari wadau. Poleni kwa majukumu. Kwa wale wanaoijua Uganda, naomba kujuzwa fursa zipi za Biashara zinazopatikana kule. Asanteni
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Zero brains societies mnawaza kuua innocent kids than to deal with them in Good way Panya road ni Zao la watu waliotengwa na Fursa.

    Haiwezekani vijana under 20 years wakawalaza macho juu. Kuuwaua sio njia sahii kwani most of them they know nothing About life so kuwaua kwa Risasi it about killing innocent kids so Panya road are supposed to live last longer Njia za kumaliza hili tatizo ni kutumia njia za haki na kuhakikisha...
Back
Top Bottom