fursa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Lubumbashi: Kongamano la Fursa za TEHAMA kati ya Tanzania na DRC kuanza leo Oktoba 18, 2022

    Kongamano la Fursa za TEHAMA kati ya Tanzania na DRC kuanza Kesho Lubumbashi Na Innocent Mungy, Lubumbashi. Kongamano la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji katika sekta ya TEHAMA linafanyika kuanzia kesho tarehe 18 na 19 Oktoba 2022, jijini Lubumbashi DRC likiwa na kauli mbiu ya “Kukuza Fursa za...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kifurushi chako cha DSTV kina channel za michezo! Fursa hii hapa

    Kifurushi Cha ofisi
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Vituo vya kujaza CNG kwenye magari vinavyotembea vitasaidia kujaza CNG kwenye magari kwenye mikoa mbalimbali

    Tahadhari ndugu msomaji andiko hili linaandikwa namimi mwenyewe ili kuwaonyesha kwamba vituo vya CNG vinavyotembea unaweza kuwa uwekezaji wa haraka sana utakao saidia watanzania kunufaika na CNG kwa katika mikoa yetu yote Tanzania. Vituo vya kujaza gesi asilia iliyoshindiliwa kwenye magari...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu

    Ni ukweli usiopingika kwamba sekta ya mafuta na gesi imefungua fursa kwa wawekezaji wakubwa na wadogo katika taifa letu, na kutoa mwanya kwa wale wanaotaka kuwa wajasiriamali katika sekta hii. Sekta hii imendelea kutengeneza utajiri kwa wawekezaji mbalimbali waliojizatiti kuwekeza hasa...
  5. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Watu Wenye Ulemavu Wanastahili Kuwezeshwa Kutumia Fursa za Teknolojia ya Digitali

    Dunia inapitia mapinduzi ya kidigitali yenye uwezo wa kuharakisha utatuzi wa matatizo katika jamii, hivyo kuwezesha watu na jamii kwa ujumla kustawi. Teknolojia na ufikiaji nafuu wa intaneti vinaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kuondoa utofauti mkubwa wa kijamii uliopo. Teknolojia na intaneti...
  6. May Day

    JamiiForums Tanzania Sio kila fursa ni fursa, tuwe makini kuchuja jamani

    Leo asubuhi kupitia redioni nimesikia wakisoma moja ya Gazeti lenye kichwa cha habari kinachosema, vifuu, machicha, ungawa mbao n.k vinahitajika huko kwa wenzetu. Sidhani kama hii ni fursa sahihi, kwa nini tusifikirie kwenye kuuza bidhaa tayari? hivi kweli bidhaa za nishati zinaweza kukosa soko...
  7. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hii fursa ppra je ni kweli ya 900 billion kwa vijana

    Wadau kuna vitu kweli watu wengi sijui ni elimu au shida inakuwa watu wanapiga hela kimya kimya nimesikiliza redio moja kuna jambo wanalizungumzia nimepata mshangao mkubwa sana kwamba serikali kumbe ina utaratibu maalum kwa vijana ambao mnaweza kujiunga na kwenda kujisajiri katika halmashauri...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Fursa tunajifunza kwa kuona kwa watu

    Siku moja niliamua kufunga safari, kwenda kutalii kwenye kijiji kimoja, ili niweze kupata hewa safi ya asili itokanayo na misitu, pamoja na mimea ya asili. Baada ya kufika kwenye kile kijiji, nikawa nashangaa shangaa mifugo inayouzwa katika mazingira yale. Wengi walikuwa ni kuku,mbuzi, kondoo...
  9. 2Laws

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufikiri kujiajiri hapa bongo na ukakosa jibu la nini ufanye?

    Fursa ni nyingi ila wanaoziona ni wachache na mara nyingine ni wale ambao tayari ni watu walio busy sana kiasi cha kushindwa kuchangamkia. Nimepitia mtandaoni kuangalia fursa zinazohitaji mtaji kidogo nimeona kadhaa na hizi ni miongoni mwa zilizotajwa sana; Kupika kwa oda Urembo( kusuka, make...
  10. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kigoma mjini kuna fursa za maisha kweli? Naiona Kasulu ikiipita kigoma mjini

    Hivi inakuaje mkoa uliozungukwa na Congo na Burundi kuwa chini vile? Singida wasemaje? Nilipata fursa ya kutembelea mji wa Kigoma wiki iliyopita nikaanza na Nyakanazi, Kibondo, Kasulu, Manyovu na Kigoma mjini. Kuanzia kibondo mpaka kasulu ni vumbi la kutosha na kuna Kilometer Nyingi saana...
  11. Vontec

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wahitimu kutoka Vodacom (Programu za Ajira za Mapema za Vodacom 2022)

    Vodacom Early Careers Programmes 2022 (Programu za Ajira za Mapema za Vodacom 2022) Maelezo: Vodacom, tunafanya kazi kwa bidii ili kujenga maisha bora ya baadaye. Ulimwengu uliounganishwa zaidi, jumuishi na endelevu. Kama jumuiya ya kimataifa yenye nguvu, ni roho yetu ya kibinadamu pamoja na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania CCM kushirikiana na cpv - Vietnam kukuza fursa za ajira nchini

    CCM KUSHIRIKIANA NA CPV - VIETNAM KUKUZA FURSA ZA AJIRA NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesisitiza umuhimu wa kuendeleza na kuimarisha zaidi ushirikiano wa kisiasa, kiuchumi na kijamii kati ya CCM na Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV), kupitia udugu...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sijui na London pia kutatokea Fursa ya 'Kupaishwa' kama ya Nairobi ili 'niwarembulie' zaidi na 'Macho Kungu' yangu..!!!!

    Ikitokea nitaamini kuwa kweli Wasukuma wana Dawa Kali ya Mvuto mbele ya Wageni wanazowapa Wageni wao hasa hasa Wasio Wasukuma japo Dawa ya Kutuliza Hasira ya Tozo Kali kwa Watanzania mpaka hii leo wameikosa.
  14. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana na samaki kwani hii ni fursa kubwa sana

    Ufugaji wa Samaki ni fursa kubwa sana kwa mikoa ya Shinyanga na Tabora kwa kutumia maji ya ZIWA victoria. --- UFUGAJI WA SAMAKI(Sato) UNAWEZA KUTATUA HALI NGUMU YA KIUCHUMI KWA VIJANA WA MIKOA INAYOPITIWA NA MRADI WA MAJI TOKA ZIWA VICTORIA (Hasa SHINYANGA Na TABORA) Ufugaji wa Samaki aina ya...
  15. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Kampuni 19 za Kimarekani kuangalia fursa za uwekezaji Tanzania

    DAR ES SALAAM, TANZANIA, 13 Septemba, 2022 – Leo Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na Idara ya Huduma za Biashara ya Marekani umetangaza washiriki wa ziara ya siku mbili ya ujumbe wa Wafanyabiashara wa Kimarekani kutembelea Tanzania Bara na Zanzibar. Ziara hiyo itafanyika kutoka tarehe 27...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo fursa kubwa

    KILIMO FURSA KUBWA. Chanzo cha binadamu ni uumbaji wa Mungu. ‘’Mungu akasema , Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi...Mwanzo 1:26. Na pia, Biblia...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa kilimo kati ya China na Afrika umeibua fursa nyingi na kuleta ushindi kwa pande zote mbili

    Sekta ya kilimo katika bara la Afrika ni muhimu sana na inapaswa kupewa kipaumbile zaidi kwani kwa hivi sasa imekuwa ikiendelea kukua na kuleta mabadiliko mengi ya kiuchumi. Sekta hii ndio inashikilia ufunguo wa siri za mafanikio ya kuondoa uhaba wa chakula, kuleta usalama wa chakula na...
  18. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Fursa: Wakati wa kuuza maua UK!

    Wauza maua sasa ni wakati wenu huu ku-export Maua huko Uingereza kufuatia msiba wa Dunia. NB: Air Tanzania badala ya kupakia waombolezaji wasiolipa nauli, pakia maua tukauze London.
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Fursa iliyobadilisha maisha yangu

    FURSA ILIYOBADILISHA MAISHA YANGU UTANGULIZI Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, najua mtakua mmeitikia “Kazi iendeleee”. Twende kwenye fursa sasa. Hii ni fursa amabayo inayoweza kumsaidia kijana au mtu yoyote kutoka kwenye wimbi kubwa la umasikini kuelekea kwenye safari ya...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Vijana kunufaika na fursa za mafunzo ya uzoefu wa kazi na uanagenzi

    VIJANA KUNUFAIKA NA FURSA ZA MAFUNZO YA UZOEFU WA KAZI NA UANAGENZI. Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Vijana, Kazi na Ajira na kukutana na Mkurugenzi wa Ajira na ukuzaji ujuzi Ndugu. Ally Msaki; Lengo likiwa ni kuona namna gani vijana...
Back
Top Bottom