Rayvanny aaga rasmi WCB- Wasafi, ashukuru kwa fursa aliyopewa ya kuwa mwanafamilia wa Wasafi

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,191
4,104
Msaani Rayvanny ameweka vedio fupi kwenye akaunti yake ya Instagram, anayoeleza kuwa alikuwa WCB, Wasafi kwa muda wa miaka 6, amepata vitu vingi ikiwemo tuzo kubwa mbalimbali pia kuwa msanii wa kwanza kupanda katika majukwaa makubwa Duniani.

Amesema kuwa anamshukuru Diamond kwa kumpa nafasi amabyo imefanya kipaji chake alichopewa na Mungu kuonekana na kukua hadi kufikia hatua ya mafanikio aliyofikia.

Amesema mtoto anapokua inabidi atke nyumba aende kujitegemea na kuanza maisha mapya na hiyo inakuwa fursa kwa vijana wengine pia kupata fursa na yeye kuweza kutengeneza fursa kwa wengine.

Amesema WCB, imemlea, imemkuza na imemuonesha upendo mkubwa sana amshukuru Diamond na kumuombea baraka tele kwa upendo wake kwake.

Pia soma:

1657624770938.png
 
Mhhhh ukiondoka label kubwa kama wasafi kibongo bongo! Ddio mwanzo wa kupotea, Harmonize tangu atoe kwangalu, wimbo. Pekee mzuri aliotoa akiwa nje ya wasafi ni attitude, nyingine amebaki kulalama kama kichaa, mtu wa vijembe kama Binti wa kizaramo, kiki nyingi tu Ili abaki ana trend.

Ingekuwa vizuri kama Vanny boy atakuwa peke yake ila aendelee kufanya colabo na Simba, kama Mond/Simba anaenda nje kufanya kolabo na Davido, kizz Daniel kwa nini kufanya colabo na Vanny boy, Harmonize, au Alikiba, Iwe shida?? Hapo ndio Kuna uchawi
 
Baada ya kuona Harmonize katoka WCB kayumba kidogo halafu akarudi kwenye mstari na yeye ameona kuwa anaweza.

Mondi na Zuchu wakipigana chini dada la dada naye atakuja na ujumbe Kama huu kuwa amekuwa na yuko tayari kutoka kwenye nyumba ya jamaa hili kuacha room kwa watu wengine.
 
[QUOTE="JUAN MANUEL, post: 4315kwa mimi Mtaje ndio nyimbo nzuri zaidi in and out of WCB
Mhhhh ukiondoka label kubwa kama wasafi kibongo bongo! Ddio mwanzo wa kupotea, Harmonize tangu atoe kwangalu, wimbo. Pekee mzuri aliotoa akiwa nje ya wasafi ni attitude, nyingine amebaki kulalama kama kichaa, mtu wa vijembe kama Binti wa kizaramo, kiki nyingi tu Ili abaki ana trend,

Ingekuwa vizuri kama Vanny boy atakuwa peke yake ila aendelee kufanya colabo na Simba, kama Mond/Simba anaenda nje kufanya kolabo na Davido, kizz Daniel kwa nini kufanya colabo na Vanny boy, Harmonize, au Alikiba, Iwe shida?? Hapo ndio Kuna uchawi
[/QUOTE]
 
Kikubwa nilicho nna uhakika nacho ni kwamba Rayvanny ana kipaji kikubwa sana. Pengine nje ya Wasafi anaweza kufanya vizuri zaidi. Tusubirie tuone.
 
Mhhhh ukiondoka label kubwa kama wasafi kibongo bongo! Ddio mwanzo wa kupotea, Harmonize tangu atoe kwangalu, wimbo. Pekee mzuri aliotoa akiwa nje ya wasafi ni attitude, nyingine amebaki kulalama kama kichaa, mtu wa vijembe kama Binti wa kizaramo, kiki nyingi tu Ili abaki ana trend.

Ingekuwa vizuri kama Vanny boy atakuwa peke yake ila aendelee kufanya colabo na Simba, kama Mond/Simba anaenda nje kufanya kolabo na Davido, kizz Daniel kwa nini kufanya colabo na Vanny boy, Harmonize, au Alikiba, Iwe shida?? Hapo ndio Kuna uchawi
Sijui lakin naona Konde boy yupo poa ana vibe saf kabisa na ni mbadala wa mondi hapa nchni
 
Hawa watoto wanavyozidi kuondoka WCB Alikiba anazidi kupata ushindani sokoni.

Maana ushindani wake na Diamond ulikuwa unambeba sana Ally Kiba

Sasa hawa watoto wanaenda nje ya Wcb na kuanza kushindanishwa na Diamond.. hapo Ally Kiba anakuwa hashindanishwi na Diamond tena na anakosa soko
 
Back
Top Bottom