Huu ndio ukweli mchungu kwa wote waliowahi kuwa Maraisi wa nchi hii baada ya Mwalimu Nyerere kuondoka madarakani.Raisi Mstaafu Kikwete alikaribia sana kupata nafasi hii ya kihistoria ila inawezekana alipotoshwa na wenzake ndani ya chama na huenda hili ni jambo analolijutia katika maisha yake na...
Baada ya DRC kuingia rasmi EAC , mataifa makubwa katika Jumuiya hii Uganda Kenya na Tanzania,yanaendelea kupambana kukamata fursa ili kushika soko la nchi hii yenye watu zaidi ya Milioni 100
Wakati Uganda akijenga Barabara kuingia majimbo ya kaskazini mwa Congo, Kenya anafungua Ofisi Mombasa...
Kilimo cha parachichi kimekua n fursa sana kwa vijana kulingana na uhalisia wa soko kubwa lililopo ndan na nje ya nchi.
Unaweza kutengeneza pesa kwa kuuza miche ulio iandaa au kuiotesha wewe mwenyew, matunda na kufanya biding na mengineyo.
Tunawezaje kuotesha miche na kujipatia pesa, nataman...
Nimekuwa mwalimu wa Serikali tangia mwaka 2015, niliyajua haya kabla ya kuajiriwa na baada ya kuajiriwa nimeyathibitisha, ualimu ni moja ya kazi ambazo zinatoa nafasi kidogo sana kwa wajiriwa kufanikiwa kiuchumi kiasi kwamba mtumishi yoyote ukiijitambulisha ni mwalimu watu hukuunganisha na...
Sijuwi leo nililalia ubavu gani! Nimeamka na wazo hilo hapo juu. Ni baada ya wiki iliyoishia jana kupokea simu nyingi mno za ndugu na rafiki zangu kuomba ushauri na misaada mbalimbali.
Elimu yetu Bado haijabadili mitizamo yetu kuwa kusoma ni kuajiliwa haswa Serikalini na si vinginevyo.
Ufike...
Habari. Mimi nina mpango wa kuhamia Iringa. Ni jinsi ya kiume. Natamani sana kufahamiana na wenyeji, mtu mchakarikaji na mwenye maono na mwenye hofu ya Mungu. Sijali jinsi wala dini. Yoyote karibu.
Kwa mawasiliano zaidi pm iko wazi
Je wazanzibari wananufaika na fursa za bara Au wabara wananufaika na fursa za Wazanzibari?
Kipindi hiki nimeona wabara wakilalamikia sana Wazanzibari mpaka kufikia hatua wanatamani katiba ya Zanzibar ibadilishwe ambayo imekuweko miaka na miaka.
Kwa mfano suala la umiliki wa Ardhi watanganyika...
Haiwezekani vijana under 20 years wakawalaza macho juu.
Kuuwaua sio njia sahii kwani most of them they know nothing About life so kuwaua kwa Risasi it about killing innocent kids so Panya road are supposed to live last longer
Njia za kumaliza hili tatizo ni kutumia njia za haki na kuhakikisha...
Tumelishwa imani nisiyojua nini maana yake. Licha ya Tanzania kuungana na Zanzibar bado Mombasa wana maingiliano makubwa ya kitamaduni na Unguja na Pemba nadhani kuzidi hata Dar es Salaam.
Je, Nani anaweza kufafanua manufaa ambayo Tanganyika imeyapata kutokea muungano ya kiuchumi, kisiasa na...
Hii inatia hasira sana hizi hela zimeliwa kama muchwa bila huruma yaani zimepigwa vikundi hewa hivi viko vya kutosha watu wameingia front wakapita na hizi pesa bila aibu
===
Vikundi hewa 30 vyakopeshwa fedha za halmashauri Mwanza Bilioni 4.9 zayeyuka
Imebainishwa kuwa jumla ya vikundi hewa 30...
Distributors
Business opportunity
As said, Dutch Farm International operates a global network of Distributors to market our products. We are constantly seeking opportunities to expand our business to new countries and markets. And in our business model we do so by cooperation with exclusive DFI...
Come June this year, nataraji kuwa na likizo ndefu ambayo sehemu ya muda wa likizo natamani kutumia kutafuta fursa katika biashara ya nafaka. Kusafirisha nafaka kutoka Tanzania kwenda nchi jirani hasa Uganda, Sudani kusini au Burundi.
Ni biashara ambayo naifatilia juujuu tu ila safari hii...
Habari wana JF,
Kuna fursa tunaweza ku ungana kama vijana na tukajiajiri wenyewe(kwa walio serious tu)
Nahitaji vijana wasiopunguwa kumi(10) ili tuweze ku ungana na kujiajiri wenyewe
Vijana hao wawe na Sifa zifuatazo
1. Sifa ya msingi; Angalau awe na elimu ya shahada ya kwanza
2. Awe ana...
FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa"
Mradi una malengo makuu mawili:
1. Beekeeping transformation from local/primitive...
Wafanya biashara wa Uganda wamehojiwa wengi wameanza jitihada za kuchangamkia soko la DRC na fursa zilizopo, hii ni baada ya DRC kuwa mwanachama ndani ya EAC. Wakenya tusichelewe, bahari Hindi na Atlantic zimeunganishwa, tupambane.... Naomba pia serikali zetu zirahisishe suala la vyeti kama...
Wafanyabiashara wetu kweli hamna huruma maana vitu vimepanda na mnashindana kupandisha bei kweli.
Hata kama mafuta yamepanda ila mbona nauli za magari azijapanda? Na pia kuna bidhaa tu za humu ndani ambazo hata hazitoki nje nazo mmeoandisha maradufu.
Ila sawa tu, tutaishi tu amtukomoi
Hii ni CcM isiyokubalika kwa wananchi na ilishachafuka huko nyuma na kuwapa nyie fursa ya kukubalika kama chama cha upinzani kinachopinga mafisadi.
Hii ndoo fursa ya kunyanyuka tena na kupaa kisha kukamata dola.
Changamkeni mtumie hii fursa.
Wahenga walisema, 'Kufa kufaana'. Kwenye kila tatizo linalotokea hapa duniani huwa linafungua fursa kwa baadhi kufaidika nalo. Badala ya kukaa tunalialia linapotokea tatizo, tunapaswa kutazama upande wa pili wa shilingi kwamba tutafaidikaje na hilo tatizo. Hata lile tatizo kubwa la mlipuko wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.