fursa

  1. JamiiForums Tanzania Warehouse Co-Ordinator at Serengeti Breweries January, 2024

    Position: Warehouse Co-Ordinator Worker Type: Regular Primary Location: Moshi Purpose of Role: To ensure that inbound and outbound inventory SAP/WMS postings happen real time and are support by the right documentation for a specific warehouse. They system should always reflect what is on the...
  2. JamiiForums Tanzania Ya Magufuli kujirudia, anahisi kuwa ndiye Rais wa Nchi. Atumia fursa ya Rais Samia kuwa nje kikazi

    Wakati Mh Samia Suluhu yupo nje ya nchi kikazi , Paul Makonda anatumia ziara zake ambazo zimepewa jina la 'OPERESHENI CHAFUA MBOWE" kujijenga kisiasa na siyo kujenga chama wala bosi wake , yaani mwenyekiti wa chama. RC na WAZIRI hawana mamlaka hata ya kumfukuza mtu kazi. Ila wanaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Muda ambao Mungu anafungua milango hakuna cha kuzuia, endeleeni kupambana kutafuta fursa za ajira na tenda

    Kuna miaka kama mitatu hivi nilipitia changamoto na fursa zikawa haziji. Nilikuwa natamani hata kupata kazi ya kulipwa chini ya milioni na haikupatikana. Sasa hivi hata siamini namna miaka mitano tu inavyoweza kubadilisha maisha ya mtu. Nikaendelea kuomba fursa karibu kila sehemu. Kumbuka nina...
  4. JamiiForums Tanzania Head of Internal Audit at Access Microfinance January, 2024

    Position: Head of Internal Audit Responsibilities: • Ensure the strategic development of the Internal Audit Function • Manage the Internal Audit Function including developing a Risk based Annual Audit plan, ensuring its proper and timely implementation. • Ensure audit assignments are planned...
  5. JamiiForums Tanzania Wabongo tungekuwa tunaaminiana vijana tungepata fursa hii kwenye majiji yenye foleni mfn. Dar

    Kwenye folen kuna fursa hii pia.
  6. JamiiForums Tanzania Chef De Partie at Hakuna Matata Bookings Limited January, 2024

    Position: Chef De Partie Hakuna Matata Booking Limited a limited liability company incorporated in Tanzania under the Companies Act, Chapter 212 of the Laws of Tanzania and having its registered offices within the City of Arusha, we are currently looking to fill the position of Chef De Partie...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya CRDB Bank Foundation, UNDP kuwajengea uwezo wajasiriamali fursa za AfCFTA

    Dar es Salaam. Tarehe 16 Januari 2024: Katika kuimarisha uwezo wake na ushirikishaji wa wadau, Taasisi ya CRDB Bank Foundation imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Mkataba huo wa miaka mitano unakusudia kufanikisha uwezeshaji wananchi hasa...
  8. JamiiForums Tanzania Fursa ya Masomo ngazi ya Umahiri Chuo Kikuu Tsukuba Japan, 2024

    TAARISA YA FURSA YA MASOMO NGAZI YA UMAHIRI, PROGRAMU YA SERA YA UMMA NA UCHUMI KATIKA CHUO KIKUU TSUKUBA NCHINI JAPAN Ubalozi umepokea taarifa kutoka Chuo Kikuu Tsukuba kilichopo nchini Japan kuhusu fursa za mazomo ngazi ya Umahiri, Programu ya Sera ya Umma na Uchumi kwa Mwaka wa Masomo 2024 –...
  9. JamiiForums Tanzania TANAPA yawasili visiwani Zanzibar kunadi vivutio na fursa za uwekezaji

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) wamewasili Visiwani Zanzibar kushiriki kwa mara ya kwanza Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yaliyofunguliwa tarehe 10.01.2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussen Ali Mwinyi eneo la Dimani - Fumba Zanzibar ili kunadi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Dola (USD) ni fursa iliyojificha

    Uhaba wa Dola nchini utaibua mabilionea wapya kupitia "black market" bado Kuna kijana analalamika ukosefu wa ajira?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kombe la Mapinduzi ni mashindano ya kutoa fursa kwa wachezaji wanaochipukia

    Japo sijui kama hii ndio ilikuwa dhamira ya viongozi wa Yanga na kocha wa timu hiyo, ila ukweli ni kuwa kwa kocha makini na viongozi makini wa timu za ligu kuu, mashindano haya ni fursa ya kuona vipaji na uwezo wa wachezaji chipukizi pamoja na wale wa kikosi cha pili. Kutumia proffesinal players...
  12. JamiiForums Tanzania Sasa tunayo fursa ya kihistoria ya kukomboa kila eneo la Lebanon pamoja na eneo la mashamba ya Shebaa

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇱🇧Nasrallah, kiongozi wa Hizbullah: SASA TUNAYO FURSA YA KIHISTORIA YA KUKOMBOA KILA INCHI YA ENEO LA LEBANE, PAMOJA NA ENEO LA MASHAMBA YA SHEBAA. - Tuliwaua wanajeshi wengi wa Israeli, wakiwemo majenerali, lakini adui anaficha majeruhi wake. -Idadi ya walemavu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Fursa ya kukuza brand ya mpira Tanzania

    Ni swali la msingi kama sio hoja, hivi kwa hatua tuliyofikia Tanzania kwenye maendeleo ya mpira inawezekana vipi TFF au wadau kwa ujumla au mamlaka husika ya mpira Tanzania kukosa udhamini kwenye mpira unaotumika uwe rasmi? Yaani ijulikane moja kama msimu wa 2023/24 Ligi yetu itatumia mpira wa...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi Arusha yaahidi kuulinda mkoa Kidijitali, Wananchi waombwa kutumia fursa hiyo

    Jeshi la Polisi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kuhakikisha linakwenda na mifumo ya kisasa na mabadiliko ya kitekinolojia ikizingatiwa mji huo ni kitovu cha utalii hapa nchini huku Mkoa huo ukipokea wageni wengi kutoka ndani ya nchi na mataifa mengine ambapo umeamua kuja na mfumo mpya...
  15. JamiiForums Tanzania Wizara ya Biashara ya Tanzania isingekuwa Goi Goi hii haikuwa Fursa ya Kiuchumi na Kibiashara kwa Tanzania na Watanzania?

    Ugandans cross Kenya border for Christmas shopping Hundreds of Ugandans are crossing the Busia border into Kenya to buy relatively cheap goods, especially textiles, ahead of the Christmas holidays. David Basalirwa, a trader and resident of Bugiri district in eastern Uganda, says he prefers to...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania Watakiwa Kuanza Kujiandaa Fursa SGR

    MOROGORO; Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), Augustine Vuma ametoa rai kwa watanzania kuwa wajiandae kuanza kutumia fursa mbalimbali za kiuchumi mara baada ya Treni ya Kisasa kuanzaia mapema 2024. Vuma ametoa rai hiyo wakati wa ziara ya wajumbe...
  17. JamiiForums Tanzania Ununuzi wa awali wa pointi za matumizi 1,000 zenye thamani ya $10 million kwa bei ya TZS 300,000 tu

    Mradi wa kimapinduzi wa tovuti ya udalali wa mauzo ya bidhaa na huduma kutoka pembe zote za dunia kwa kutumia teknolojia mpya ya private blockchain ijulikanayo kama Hyperledger Besu. Niko mbioni kutengeneza tovuti ya kipekee kabisa ambayo haijawahi kutengenezwa hapa duniani...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu ukipata fursa tembelea Ethiopia hakika hutajutia nauli yako

    Wadau hamjamboni nyote Karibuni tujadili
  19. JamiiForums Tanzania Hamas waliobakia wanapaswa kutumia hii fursa ya kuachiliwa mateka na wao kujisalimisha, wasisubiri kuangamizwa!

    Ni fursa adimu sana jeshi la Israel limetoa la kusimamisha vita kwa siku chache ili kupisha zoezi la kubadilishana mateka na kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingiza Gaza kabla ya zoezi la mashambulizi mazito kuendelea mbele ili kuhakikisha hakuna punje inayoitwa Hamas inabakia Gaza. Kama Hamas...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake Hawa kujichora tattoo ya Nabii Geo Davie, ni mahaba au kutafuta fursa?

    Hapo chini ni mgongo wa mwanamke kwa Jina la Elizabeth Benjamin aliyejichora tattoo ya Jina la Geo Davie, na kupelekea Ndoa yake kuvunjika. Lakini alipofika kanisani kwa Nabii Huyo aliweza kuvuta mkwanja kama hongera kwa kujichora tattoo hiyo. Na Sasa msanii Amber Rutty Naye amefuata kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…