fundi

  1. SUBMAC

    JamiiForums Tanzania City Garage/ Mechanic Experience: tusanue, tudokeze ama tutahadharishe kuhusu fundi gari au huduma

  2. A

    JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi simu nipo kanda ya ziwa

    SAMAHANI MIMI NI FUNDI SIMU NAHITAJI CONNECTION YA KAZI KANDA YA ZIWA MWENYE CONNECTION
  3. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering naweza kufanya haya?

    Habari wandugu, Je kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering (namaanisha Certificate, Diploma au ni lazima iwe Bachelor Degree) mtu anaweza kufanya yafuatayo:- Kufanya Diagnosis, Ku-interpret na ku-analyse data Engine swapping ECU Remapping Electrical system maintainance Mechanical...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa Pajero Min, Arusha

    Hello wana JF, Naomba mtu anayefahamu fundi wa Mitsubishi anisaidie kwa Arusha. Gari inachelewa sana kubadili gear na inatembea kwa rpm kubwa sana kwa speed ndogo na kuna muda inakosa nguvu kabisa. Asanteni sana.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mungu fundi: Kutoka kwenye maono ya kuwa Air Hostess hadi kuwa nafasi ya juu

    Binadamu yeyote mwenye akili inayofanya kazi huwa ana maono/ ndoto ya kuja kuwa mtu fulani katika jamii. Maono haya yanatokana na uwezo wa mtu wa kufikiri, mazingira, elimu aliyonayo, vitu anavyoona au kusikia. Katika mazingira yote hayo, mtu mmoja alikuwa na ndoto ya kuja kuwa air...
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha moto Kitambaa Cheupe ni fundi kuchomelea (Welding)

    Baada ya Baa ya Kitambaa Cheupe kuteketea kwa moto na kupelekea hasara kubwa kwa mmiliki wa Baa hiyo, chanzo cha moto chatajwa. Fundi wa idara ya dharura wa TANESCO, Jackson Henry amesema chanzo cha moto ulioteketeza baa ya Kitamba Cheupe iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam ni fundi aliyekuwa...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kushona viatu anahitajika

    Kuna karakana ndogo inahitaji fundi wa kushona viatu vya kiume hasa travolta. Mjuzi, awe na uwezo wa kutengeneza hivyo viatu na vionekane vipya kabisa. Malipo kwa kila pea ni sh. 5000/= Kama una huo ujuzi, na huna kazi kwa sasa; njoo ujumuike na timu yetu kwa kazi. Karibu pm, kwa mwenye ujuzi tu.
  8. Brightly

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi fundi bomba

    Habarii Wanajf, Mimi ni Mhitimu wa level 3 VETA mwaka 2023. Naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia nikapata kazi inayoendana na fani yangu hapo juu!!! Nipo tayarii kufanya Kazi sehemu yeyote ndani ya Tanzania. Nb: Naweza kazi na nina uzoefu wa kutoshaa!!!
  9. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Fundi Ujenzi Nnapatikana Moshi, Kilimanjaro

    Fundi Ujenzi (Mason Contractor), Naitwa Hussein Machui,Napatikana Moshi,Kilimanjaro najihusisha na maswala ya ujenzi kama Fundi. Nmekizi vigezo vyotee.. Naomba kazi 0673817130
  10. Mpagama

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa Mitsubishi Outlander Dar es Salaam

    Wana jamvi nauliza garage au fundi mzuri wa Mitsubishi Outlander Dar es Salaam
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mafundi naombeni mnishike mkono mimi saidia fundi

    Habari za muda huu wanajamii nimerudi tena, Jamani kama kuna fundi yeyote atakae saidia fundi nipo tayari kufanya ili namimi niweze kupata ujuzi.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Fundi kapasua kioo cha simu yangu mpya, wakati akiweka protector. Je, nina haki yoyote ya kumripoti?

    Habari wakuu, Juzi nilinunua simu aina ya Samsung galaxy, sasa nikaona niiwekee protector. Kwa bahati mbaya fundi wakati anajaribu kuweka protector akawa amepasua , kioo cha simu yangu hadi kikavuja. alikuwa mbishi kukilipa, hadi nilipomtishia kwenda polisi akaniomba nimpe siku mbili. Sasa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Fundi Samico kuhusu ukamataji wa makahaba kiufundi; Tujifunze pamoja

    Heshima kwenu ndugu zangu! Nashawishika kuandika maoni haya Leo nikitambulika kama fundi Samico, Fundi bora kabisa wa umeme na ujenzi kwa bei nafuu kwa watu wote na taasisi! Wateja wangu ni wengi wakiwemo hata makahaba wenyewe! Napatikana kwa simu 0711756341 au Instagram tafuta...
  14. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Fundi kaniambia gharama zake za kujenga msingi 750,000 ni fair au ananipiga?

    Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room. Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu. Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga. Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe...
  15. Sheillah Sheillah

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi fundi kupiga picha kazi aliyopewa aifanye, na kuitumia kujitangaza bila makubaliano na mwenye kazi?

    Habari? Unamtafuta fundi kisha unampa kazi yako na unampa malipo yake kama mlivyokubaliana. Akimaliza kufanya kazi yako anaipiga picha na kuianika mitandaoni akijitangaza kwamba ni yeye kaifanya. Hapa mfano mkubwa ni fundi wa ujenzi, deco, kupaua ,rangi nk. Wanafanya kazi kisha wanapiga...
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania RC mstaafu, Engineer Robert Gabriel kujiita Local Fundi ni fedheha kwa fani ya uhandisi

    Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi. Huyo amajiita LOCAL FUNDI katika MRADI wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Geita Eng. Robert Gabriel ambaye amewahi kuwa MKUU wa MIKOA ya GEITA, MWANZA na MARA ktk kipindi cha Awamu ya Tano chini ya...
  17. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi mzuri wa kuflash simu

    Habarini wanajamvi, nina simu BASIO KYV43 ambayo nilikuwa nahitaji kuiflash. Kwa bahati mbaya nimeenda kwa mafundi wawili wamehangaika mwisho wakashindwa. Kama kuna fundi (Dar es Salaam) anaweza kuflash simu hii basi anipm ili tufanye kazi. Pesa ipo mfuko wa shati
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kazi ya fundi Maiko katika ubora wake!

    Nyumba zilizojengwa na fundi Maiko na zile za Fosi Akaunti.
  19. The bump

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafundi hawa Fundi Blandering, Fundi Gypsum, Fundi Skimming kwa wanaowajua wazoefu niunganisheni nao/nae

    Naombeni msaada ndugu zangu wa Mafundi wazuri wanaoweza kazi kwa bei nafuuu kabisa. Nyumba imeisha ila bado blandering, nyumba imepigwa plasta nnje na ndani ila bado haijafanyiwa skiming wala rangi. Nahitaji Fundi wa skiming na rangi kisha Blandering na Gypsum au Ceiling Board. Naomba...
  20. FirstClass

    JamiiForums Tanzania Fundi wa Skimming/Rangi anatafuta kazi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, fundi mbobezi wa hizi kazi nipo Daresalama na ninahitaji kazi. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya na kusimamia kazi za serikali, hivyo ubora wa kazi yako ni kipaumbele cha kwanza. Karibuni sana..
Back
Top Bottom